G_Trending_collections

G_Trending_collections Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from G_Trending_collections, Tegeta.

""Hello lovers.... Soon mambo mazuri  yanaingia stay tuned.....🥰🥰🥰 NAWAPENDAA....
02/04/2021

""Hello lovers.... Soon mambo mazuri yanaingia stay tuned.....🥰🥰🥰 NAWAPENDAA....

  tunakuletea skirt nzuri...Unaweza kuivaa mahali popote.. Utaipata kwa 30000 tuWe do delivery_ Karibuni 🙏
26/03/2021

tunakuletea skirt nzuri...Unaweza kuivaa mahali popote..
Utaipata kwa 30000 tu

We do delivery_ Karibuni 🙏

Karibuni🙏  Kwa mahitaji yote yanayohusiana na Urembo.... ndio mahali sahihi...Call: 0786565453
17/03/2021

Karibuni🙏 Kwa mahitaji yote yanayohusiana na Urembo.... ndio mahali sahihi...Call: 0786565453

✨Morrocan super soap 1kilo..✨Get your skin soft,smooth,shining,healthy and naturally..✨hii ni sabuni kutoka morroco inap...
28/12/2020

✨Morrocan super soap 1kilo..

✨Get your skin soft,smooth,shining,healthy and naturally..
✨hii ni sabuni kutoka morroco inapendwa sana,hutumiwa na watu huko morroco,inatakatisha mwili,inasafisha ngozi,inakua ya kuteleza na inang'aa vizuri..
✨wenye tatizo la chunusi zinakauka,hii ndio ya kutumia,inaondoa uchafu na mafuta yalioganda kwenye vitundu vya ngozi..
✨unatumia usoni na kuogea mwilini..
✨inaondoa uchafu kwenye ngozi,chunusi,madoa,weusi wa kuungua na jua au cream kali..
✨uso unakua laini,nyororo,rangi ya kung'aa na mvuto..
✨pia inaondoa mikunjo usoni,ngozi inarudi kua young..

Utaipata kwa 30,000 tu🌸🔥🔥🔥

ni suluhiso la ngozi yako KARIBU 🙏🙏

27/12/2020

Simple makeup set si ya kukosa kabisa..unapata,
✨Powder ambayo ni 2in1 ina na fondation yake
✨contour palette inafanya kazi 3 kwa wakat mmoja(highlight,contouring,finishing powder)
✨beautyblender
✨eyeshadow palette
✨pro concela
✨concela pen
✨lipstic
✨mascara& eyelienr yake ya 2in1
✨waterproof eyeliner pen
✨wanja wa kajal..
Hii set yote utaipata kwa 25,000 tu🌸

Oudwood set,unapata...✨bodyspray✨waterperfum✨perfumeUtaipata set kwa 20,000 tu🌸  ni🔥🔥🔥        KARIBUNI......🙏
27/12/2020

Oudwood set,unapata...
✨bodyspray
✨waterperfum
✨perfume
Utaipata set kwa 20,000 tu🌸

ni🔥🔥🔥

KARIBUNI......🙏

Bodysplash zinanukia sanaaa 10000 tu👌wale wa jumla 8000🌸Pcs 3 kwa 20,000✨
27/12/2020

Bodysplash zinanukia sanaaa 10000 tu👌
wale wa jumla 8000🌸

Pcs 3 kwa 20,000✨

Luxury cocoa butter body cream nzur sanaa kwa mwili,inakufanya kua soft,inasaidia kuufanya mwili kua na unyevu unyevu md...
27/12/2020

Luxury cocoa butter body cream nzur sanaa kwa mwili,inakufanya kua soft,inasaidia kuufanya mwili kua na unyevu unyevu mda wote pia inandoa ukavu ktk mwili kwa 10000 tu👌
Wale wa jumla 8000 kuanzia pc 5 🌸

   TUNAKULETEA.....HIIVITAMIN C Set kiboko ya kuondoa weusi,sugu na nongo zote mwilini, inang'arisha mwili na kukufanya ...
27/12/2020

TUNAKULETEA.....HII

VITAMIN C Set kiboko ya kuondoa weusi,sugu na nongo zote mwilini, inang'arisha mwili na kukufanya uwe na ngozi safi na ya kipekee kabisa,unapata vitamin c lotion,soap na spa salt yake kwa 15000 tu🌸 CALL 0786565453

We do Delivery.....🙏🙏

Hair set unapata✨shampoo✨hair lotion✨hair oil✨stiming✨capKwa 20000/= tu🌸🌸       Call 0786565453🙏🙏
27/12/2020

Hair set unapata
✨shampoo
✨hair lotion
✨hair oil
✨stiming
✨cap
Kwa 20000/= tu🌸🌸



Call 0786565453🙏🙏

MAMBO YA OUD....🔥🔥🌸🌸💐         Simu 0786565453.....🙏
27/12/2020

MAMBO YA OUD....🔥🔥🌸🌸💐



Simu 0786565453.....🙏

Address

Tegeta

Telephone

0786565453

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when G_Trending_collections posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to G_Trending_collections:

Share