Kairo Healthy Foods

Kairo Healthy Foods We sell healthy foods as a means of curbing lifestyle diseases in promoting a healthy lifestyle. Tu

Siri kuu 4 za unga wa mbegu za maboga.1. Husaidia kuondoa tatizo la kukosa usingizi kwa kuwa ina "Tryptophan" kwa wingi ...
21/07/2021

Siri kuu 4 za unga wa mbegu za maboga.

1. Husaidia kuondoa tatizo la kukosa usingizi kwa kuwa ina "Tryptophan" kwa wingi ambayo husaidia kuleta usingizi.
2. Una kambakamba (fibre) ambazo husaidia mmeng'enyo wa chakula na kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu.
3. Husaidia afya ya moyo kwa kuwa na kiwango kikubwa cha madini ya Magnesium.
4. Una viondoa sumu mwilini (antioxidants) ambavyo huukinga mwili wako na msongo wa sumu na magonjwa.

03/07/2021
Unga wa korosho una MAGNESIUM kwa wingi. Madini haya huratibu shughuli zaidi ya 100 ndani ya mwili ikiwemo afya ya moyo,...
02/07/2021

Unga wa korosho una MAGNESIUM kwa wingi. Madini haya huratibu shughuli zaidi ya 100 ndani ya mwili ikiwemo afya ya moyo, kurekebisha kiwango cha sukari mwilini.

Unga huu una kiasi kidogo cha wanga, hivyo hufaa kwa wanaopunguza uzito na kulinda afya yao na magonjwa ya mtindo wa maisha.

Waweza utumia ktk mapishi mbalimbali k**a keki, mkate, chapati na uji ili kulinda afya yako.

Tupigie kwa 0622759324 kuupata unga huu na ufurahie free delivery kokote ndani ya DSM.

Pia tunapatikana Mwanza na Shinyanga mjini & Kahama. Mikoani tunatuma ukihitaji.

Our list of products..
27/06/2021

Our list of products..

Address

Riverside
Ubungo

Opening Hours

Monday 06:30 - 13:30
Tuesday 06:30 - 13:30
Wednesday 06:30 - 13:30
Thursday 06:30 - 13:30
Friday 06:30 - 11:00
Sunday 09:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kairo Healthy Foods posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share