AFYA NI MTAJI

  • Home
  • AFYA NI MTAJI

AFYA NI MTAJI Nawasaidia watu kudhibiti changamoto ya sukari (diabetes mellitus):
👉kupitia tibalishe ilio salama
📌 Tuma ujumbe dm kwa ushauri na msaada zaidi

BILLIONAIRES MINDESTS:KEEP FOCUSING
22/03/2023

BILLIONAIRES MINDESTS:

KEEP FOCUSING

KARIBU TUZUNGUMZENi Mimi Mshauri Makini.+255 768 311 512Je Kuna mtu unamjua anaeteseka na magonjwa haya:-1.Magonjwa kati...
29/07/2021

KARIBU TUZUNGUMZE

Ni Mimi Mshauri Makini.

+255 768 311 512

Je Kuna mtu unamjua anaeteseka na magonjwa haya:-

1.Magonjwa katika mzunguko wa damu kisukari, Moyo, Shinikizo La Damu la Juu na Chini, Matatizo ya Seli na DNA, ( Magonjwa ya Kurithi)

2• Na vipi kuhusu Matatizo Sugu ya Mifupa na Nerves, (K**a Umeumwa Mifupa au Nerves kwa mda mrefu)

3• He, Umewahi kuona au kukutanana na mtu mwenye Matatizo Ya Saratani na Vimbe Mbalimbali Zisizokuwa Saratani.

4• Na vipi kuhusu matatizo ya Uzee (Anti Aging and DNA Repair), Kutengeneza na Kusaidia DNA zilizoharibika na Kuathiriwa na Matatizo Mbalimbali. Makunyanzi,Michaniko ya Ngozi (Stretch Marks),Ngozi iliyoathiliwa na Mionzi au Sumu.

5•Vipi matatizo ya Uwezo wa Genes kufanya kazi mwilini kwa muda mrefu, kurefusha maisha, magonjwa yanayoathiri seli hai za mwili. Magonjwa ya saratani katika maeneo mbali mbali ya mwili,kuongeza kinga za mwili na kuzuia uzalishwaji wa seli zisizohitajika mwilini.

6• Vipi kuhusu magonjwa ya Afya ya akili magonjwa k**a dementia;Mishipa na Misuli ya damu mwilini,usafirishwaji wa Damu kutoka katika moyo mpaka kwenye ubongo na sehemu nyingine za mwili, matatizo k**a ya Stroke (kiharusi) Paralysis (kupooza) pressure (shinikizo la juu na la chini la damu).

Mpe taarifa yakuwa atapata suluhisho la kudumu:-

+255 768 311 512

Wino wa Mshauri wako Makini Kambarage Laurent!!Tujadiliane kwa kina kidogo kuhusu Magonjwa yasiyoambukizwa(NON COMMUNICA...
26/07/2021

Wino wa Mshauri wako Makini Kambarage Laurent!!

Tujadiliane kwa kina kidogo kuhusu Magonjwa yasiyoambukizwa(NON COMMUNICABLE DISEASES)

Haya Ni magonjwa yote ambayo tafiti zinaonesha si matokeo ya mwingiliano baina ya mwili wa binadamu na vimelea vya magonjwa(bacteria,virusi au germs) ila Ni matokeo ya udhaifu ama upungufu(defects/failure) katika mifumo ya mwili wa binadamu!!

Magonjwa haya yanaweza yakawa ya kurithi ama matokeo katika hatua za ukuaji wa mwili wa binadamu!!

Leo naomba tuangalie katika hoja ya ulinganifu wa mizania na historia katika jamii zetu juu ya magonjwa haya yasiyoambukizwa!!

✓Nyakati tunazoishi Sasa ni nyakati za Tafiti(Research) na Gunduzi (Innovations and Inventions) za kisayansi nyingi na kubwa kuliko vipindi vyote!!

©Kwanini bado ndizo nyakati ambazo Dunia inashuhudia ongezeko la kubwa kwa magonjwa haya yasiyoambukizwa??!

✓Nyakati tunazoishi Sasa ndizo nyakati ambazo kumekuwa na wataalamu na wabobevu wengi wa magonjwa yasiyoambukizwa!!

©Kwanini ndizo nyakati ambazo masuluhisho ama matibabu juu ya magonjwa haya yanazidi kuwa na changamoto kubwa kuliko nyakati zote??

✓Nyakati tunazoishi Sasa ndizo nyakati ambazo kumekuwa na uboreshaji mkubwa wa miundombinu ya Afya kuliko nyakati zote

©Ni kwanini bado ubora wa huduma unaotolewa haukidhi ongezeko na ugumu wa magonjwa haya yasiyoambukizwa!!?

✓Nyakati hizi Ni nyakati ambazo kwa kiwango flani kumekuwa na ubora wa viwango vya maisha na ongezeko la ustaarabu katika maisha ya watu!!

©Kwanini bado asilimia kubwa ya magonjwa yanayosumbua watu na kugharimu maisha ya wengi katika jamii zetu Ni magonjwa yasiyoambukizwa??

TATIZO SI HAYO YOTE!!

Karibu Uzungumze na Mshauri wako ikiwa wewe ni Miongoni mwa wenye changamoto kwa Magonjwa haya Yasiyoambukizwa!!

Tumia +255 768 311 512 au. +255 789 861 119

*FAHAMU MAGONJWA YANAYOSHAMBULIA TEZI DUME NA SULUHISHO LAKE*Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la kiume ambalo kila mwa...
13/06/2021

*FAHAMU MAGONJWA YANAYOSHAMBULIA TEZI DUME NA SULUHISHO LAKE*

Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la kiume ambalo kila mwanaume analo, tezi hili lipo chini ya kibofu cha mkojo na linazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume. Tezi Dume ni kiungo kilichopo kwa wanaume pekee ambacho kazi yake ni kutengeneza majimaji ya shahawa ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume. Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume nalo huongezeka ukubwa ambao unaweza kuwa wa kawaida au saratani. Wanaoathirika zaidi ni wanaume kati ya miaka 30–75 na kuendelea

*Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dume:*

1) Maambukizi ya Bakteria (Prostatitis).
2) ukua kwa tezi dume ambalo sio saratani (Benign Prostatic Hypertrophy-BPH).
3) Saratani ya tezi dume.

Vyanzo vinavyopelekea Tezi dume kutanuka

- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini
- Uwepo wa sumu nyingi mwilini
- Kutokufanya mazoezi
- Matumizi ya pombe kali na uvutaji wa sigara
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)
- Msongo wa mawazo ( Stress )
- Magonjwa ya zinaa
- Umri mkubwa
- Upasuwaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja
- Historia ya Familia (Kurithi)
- Sababu za kimazingira (Ethnicity)

*Dalili za kutanuka kwa Tezi dume*

Kukojoa mkojo wenye msukumo kidogo
2. Kukojoa mkojo wenye mchanganyiko na damu
3. Maumivu kwenye kibofu cha mkojo au wakati wa kukojoa
4. Kuhisi kibofu kimejaa mda wote na ukienda kukojowa mara utokapo msalani hujihisi tena kukojoa
5. Homa
6. Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku
7. Miguu kuwa dhaifu
8. Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo kiuno na mbavu
9. Kushindwa kuzuia mkojo pindi uhisipo kukojoa (kujikojolea)
10. Tumbo kujaa gesi mara kwa mara
11. Kushindwa kumudu tendo la ndoa (upungufu wa nguvu za kiume)
12. Kuhisi maumivu makali unapo maliza tendo la ndoa (kileleni)
13. Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha majimaji)

Madhara ya Tezi dume iliyotanuka

- Kibofu cha mkojo kuuma:(hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini n.k.)
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (upungufu wa nguvu za kiume)
- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
- Kifo

*SULUHISHO/ CHANGAMOTO ZA TIBA KWA TEZI ILIYOTANUKA*

Suluhisho linalopendwa

Madawa: Maadhi wa watumiaji wa madawa ya kikemikali baada ya miaka kadhaa hujigunduwa wameathirika ini, moyo na kuvimba magoti kutokana na side effects za hayo madawa ya kikemikali

Upasuwaji: Njia hii ambayo madaktari hutumia hupelekea 70% ya wagonjwa wawe mahanithi, na baada ya upasuwaji 40% hushindwa kuuzuia mkojo pindi wabanwapo na haja ndogo (kujikojolea/mkojo hutiririka wenyewe)

Karibu tukuhudumie kwa suluhisho la KUDUMU bila upasuaji na kwa gharama nafuu!!

0768311512/0789861119

Siku za hivi karibuni magonjwa yasiyoambukiza-NCDs yameshamiri sana....>Matatizo ya akili>Uzito mkubwa(overweight) >inso...
09/06/2021

Siku za hivi karibuni magonjwa yasiyoambukiza-NCDs yameshamiri sana....
>Matatizo ya akili
>Uzito mkubwa(overweight)
>insomnia (kukosa usingizi)
>Migraine /severe headache (kipanda uso/ maumivu makali ya kichwa)
>premature aging
>kisukari
>Anemia
>matatizo ya figo,moyo

Sababu znazotajwa ni nyingi ikiwemo mfumo wa maisha. Lakini stress ( msongo wa mawazo) ukitajwa k**a sababu kuu.

Stress zinapokuwa nyingi mwili huzalisha kwa wingi homoni ambayo hutumika kupambana na msongo wa mawazo.
Homoni hii huitwa cortisol ama stress hormone.
Uzalishwaji mwingi wa homoni hyo ndiyo huleta matatizo tajwa hapo juu.

NINI UFANYE ILI KUZUIA MWILI USIZALISHE CORTISOL KWA KIWANGO KIKUBWA?

Mwili sio mkaidi, mara nyingi huitikia na kutii sheria za maisha yako.
Katika kukabiliana na stress ambazo husababisha uzalishwaji wa cortisol fanya yafuatayo:

1. PATA USINGIZI WA KUTOSHA
Wataalam wanashauri tulale masaa 8, usingizi mzuri husaidia mwili kupumzika na kuufanya uwe active.
Vile vile husaidia kupunguza mawazo.

2.FANYA MAZOEZI KWA KIASI SAHIHI.
Mazoezi ya viungo husaidia sana kushusha kiwango cha cortisol pamoja na stress. Lakini pia huupa mwili ukak**avu na kuunguza kalori mwilini.

3.PATA MUDA WA KUFURAHIA MAISHA.
Tenga muda ambao utautumia ktk kujichangamsha aidha kwa kusikiliza mziki unaoupenda kutoka kwa waimbaji unaowapenda au kwa kufanya vitu ambavyo ni hobi yako.

4. CHAGUA WATU SAHIHI WA KUAMBATANA NAO.
Sio kila mtu anafaa kwa kila mtu, haimaanishi ni mbaya ila tu hamucope/hamclick pamoja.
Epuka watu wachonganishi, wambea, wagombanishi...bwana hawa watu watakuongezea tu stress.
Epuka watu watakaoku "pressurize", mfano unajijua hali yako ya kiuchumi basi usiambatane na watu ambao wao hawapitwi na fashion. Kwamba wakisikia gucci wamelaunch mkoba mpya basi atakuja kukuambia mkanunue ilhali wewe vyuma vimekaza hapo unajikuta unaingia katika aidha madeni.
Epuka watu wasiokuelewa! Rafiki mzuri ni yule anayetambua ubinadamu wako ambae hatakuhukumu wala kukunyanyapaa kwa madhaifu wako.

5. CHEKA/ TABASAMU KADRI UWEZAVYO.
Hii ni moja ya therapy/ tiba ya mambo mengi sana.
Jizoeshe kutabasamu hata pale mtu atapokuoneshea makasiriko yake kabla hujamjibu ama kumtamkia neno.
Tabasamu liwe utangulizi wa kila jambo ufanyalo.
Unapoamka asubuhi anza kwa kutabasamu.
Kucheka ama kutabasamu huchochea uzalishwaji wa dopamine (happy hormone) pamoja na serotonin (feel good hormone) .
Waliwahi kusema wazungu kwamba "smile is the makeup anyone can wear"
Tabasamu halilipiwi chochote wala TRA hawana tozo la kicheko wala tabasamu kwahyo jiachie tu kiongozi.

6. FANYA IBADA.
Sali/swali, omba kila wakati na uamini yupo yeye ambaye anakupigania ktk hali zote unazopitia. Weks tumaini kwa muumba wako kwamba hatokuacha ujaribiwe zaidi ya uwezo wako. Uonapo mambo yanakuwa magumu , ongea na Mungu kwa njia ya sala na maombi.
Imba mapambio, nyimbo za sifa na kuabudu badala ya kukaa kujikunyata na mawazo.

8. KUNYWA MAJI YA KUTOSHA
Jitahidi kuhydrate vya kutosha, usiogope kubanwa mkojo, maji ni tiba nzuri sana.

9. JALI MAISHA YAKO / MIND YOUR OWN BUSINESS
Achana na maisha ya watu, acha kufuatilia vitu havikuongezei ktk maisha yako. Una yako ya kufuatilia una uchumi wa kuuongeza, una afya ya kuijali etc.

10. SAMEHE/ACHILIA MAMBO YAPITE
Chuki humuumiza zaidi yule mwenye kuibeba kuliko yule mwenye kuchukiwa.
Umebeba makasiriko, chuki, visasi vya miaka buku jero, for what then?
Uache mwili na roho vipumue, kuna faida kubwa sana katika kusamehe.
Magonjwa mengi husababishwa na chuki, unaharibu mfumo wa hormone kwa kuhold grudges, unazeeka mapema kwa kujinunisha nunisha, una umwa mgongo na joints kwa kujibesha lawama.
Unaenda hospital unaambiwa hawaoni tatizo,ushameza dawa debe zima hadi serikali inalalamika upungufu wa dawa .
Hebu SAMEHE upone!!

0768311512/0789861119

18/04/2021

Distribution of Health Products and Services

TIBA YA ASILI KWA MAUMIVU YA VIUNGO, VIUNGO KUSAGIKA , NYONGA, MGONGO,KIUNO,  MAGOTI ,MIGUU NK.UFUMBUZI UMEPATIKANA.MAUM...
18/04/2021

TIBA YA ASILI KWA MAUMIVU YA VIUNGO, VIUNGO KUSAGIKA , NYONGA, MGONGO,KIUNO, MAGOTI ,MIGUU NK.

UFUMBUZI UMEPATIKANA.
MAUMIVU YA VIUNGO HUSABABISHWA NA VIUNGO KUSAGANA.

Kwa nini mifupa husagana na kusababisha maumivu ya viungo?
Kwenye maungio kati ya mfupa na mfupa kuna CARTILGE / MFUPA LAINI unao zunguka mfupa. kazi yake ni kuzuia mfupa usisagane na mfupa mwingine. Na hiya Cartilage inatengenezwa na kirutubisho kinachoitwa GLUCOSEAMINE kinachotengenezwa na mwili.
Pia kati ya mfupa na mfupa kuna ute ute unaoitwa SYNOVIAL FLUID unao tengenezwa na kirutubisho kinachoitwa CHONDROTIN .
SYNOVIAL FLUID NA CARTILAGE kwa pamoja mifupa isisagane kwenye mjongeo ( MOVEMENT).
Mtu anapofikisha miaka 30 na kuendelea GLUCOSEAMINE inashindwa kutengenezwa ya kutosha , hivyo CARTILAGE inaanza kupotea na CHONDROTIN inashindwa kutengenezwa na kusababisha mifupa kwenye maungio kuanza kusagana na kusababisha maumivu makali.

Ndio maana unakuta watu wazima wengi wana tatizo la maumivu ya viungo.

UFUMBUZI WA TATIZO HILI UMEPATIKANA.
ARTHROXTRA ni bidhaa ya asili GLUCOSAMINE kutoka kwenye mimea ambayo inakwenda kutengeneza CARTILAGE ( mfupa laini , gegedu) pia INA CHONDROTIN asilia inayokwenda kutengeneza SYNOVIAL FLUID/ uteute .
Huondoa maumivu ya viungo , mifupa, mgongo ,nyonga nk.

ZAMINOCAL - ina madini ya CALCIUM na ZINC bidhaa hii hufaa sana kuimarisha mifupa na maungio sababu haya madini ni muhimu sana mwilini.

-K**a utaitumia bidhaa hii basi mifupa yako itakuwa imara na yenye afya pia kamwe haitakuwa dhaifu na kuathiriwa na magonjwa.

-Hutibu matatizo yote ya mifupa na maungio.

Hazina kemikali ni salama kwa matumizi ya wanadam zimethibitishwa na TFDA .
Zina ubora wa Kimataifa kwa Huduma na ushauri zaidi mawasiliano,
+255768311512

Mafanikio yetu Ni Matokeo ya Afya Bora kiakili na kimwili,, Karibu Tujenge Afya zetu!!
12/04/2021

Mafanikio yetu Ni Matokeo ya Afya Bora kiakili na kimwili,, Karibu Tujenge Afya zetu!!

Address


Telephone

+255768311512

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA NI MTAJI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AFYA NI MTAJI:

  • Want your business to be the top-listed Health & Beauty Business?

Share