06/07/2026
JE, MWILI WAKO UNAKUPA ISHARA HIZI? USIZIPUUZE!
Maumivu wakati wa tendo, kukosa ute, kuwashwa sehemu za siri, kutokwa na uchafu usio wa kawaida, mzunguko wa hedhi usio wa kawaida au kuchelewa kupata ujauzito si mambo ya kuyavumilia.
Wanawake wengi huendelea kuteseka kimya kimya kwa kuhofia kuzungumza au kutokujua pa kupata msaada sahihi. Lakini kumbuka, kadiri unavyowahi kuchukua hatua, ndivyo nafasi ya kupata suluhisho inavyoongezeka.
✅ Ushauri wa kitaalamu
✅ Huduma kwa usiri wa hali ya juu
✅ Uchunguzi makini wa chanzo cha tatizo
✅ Matibabu yanayolenga chanzo cha tatizo
Usiache tatizo likuzuie kuishi maisha yenye afya na furaha. Chukua hatua leo.
👨⚕️ DR. JUMA A. SULEIMAN
📞 0627818331
"Afya ya mwanamke ni msingi wa familia yenye furaha."