28/08/2026
🚨 “DOKTA, TUMEJARIBU KWA MUDA… MBONA BADO HATUPATI MTOTO?” 😔
Hii ni hali ambayo wanandoa wengi hupitia kimya kimya…
Mwezi mmoja unapita… mwingine unaanza… matumaini yanaongezeka, lakini hedhi inapokuja tena moyo unaumia. 💔
Na wakati mwingine lawama huanza:
“Labda tatizo ni kwako…”
Lakini je, unajua kwamba changamoto ya kupata mtoto inaweza kumhusu mwanamke, mwanaume, au wote wawili?
👩 KWA MWANAMKE:
Hedhi kutokuwa na mpangilio, maumivu makali ya hedhi, historia ya maambukizi au changamoto nyingine za mfumo wa uzazi zinaweza kuhitaji tathmini.
👨 KWA MWANAUME:
Afya ya mfumo wa uzazi na ubora wa mbegu za kiume pia ni mambo muhimu yanayoweza kuhitaji kuchunguzwa.
Usimlaumu mwenza wako bila kujua chanzo. Mwanamke na mwanaume wote wana nafasi katika uchunguzi wa changamoto za uzazi. Hatua ya kwanza ni kupata taarifa na tathmini inayofaa.
🔥 OFERTA MAALUM — SIKU 3 TU!
Kwa wagonjwa watakaokuja kupata huduma ndani ya SIKU 3, watapatiwa vipimo vya uzazi kwa bei maalum ya OFA: TSH 25,000 TU! 🎯
⏳ OFA HII NI YA SIKU 3 PEKEE.
Usisubiri mpaka ofa iishe ndipo uanze kufikiria kuchukua hatua.
❤️ Usilaumiane. Usibahatishie chanzo. Anza kwa kujua.
NA WEWE JE?
Mmejaribu kupata mtoto kwa muda bila kupata majibu mnayoyatarajia?
📲 Wasiliana na DR. FAYHMA kupitia WhatsApp: 0773506509
DR. FAYHMA
Anza kwa kuelewa, kisha chukua hatua.