Zaphoa

Zaphoa We are under zanzibar private hospital advisory board of Revolution Government of zanzibar.

Leo Tarehe 2/9/2025 kwenye kikao cha kumchagua CO wa Shirika letu (Zaphoa).
02/09/2025

Leo Tarehe 2/9/2025 kwenye kikao cha kumchagua CO wa Shirika letu (Zaphoa).

Kamati tendaji tulikutana katika kikao chetu cha kawida.                                                                ...
27/08/2025

Kamati tendaji tulikutana katika kikao chetu cha kawida.

Tulipata kufanya kikao na uongozi wa Pharmacess Internal Lengo la kikao hicho ni kutaka kujua maendeleo ya ZAPHOA kwenye...
16/07/2025

Tulipata kufanya kikao na uongozi wa Pharmacess Internal
Lengo la kikao hicho ni kutaka kujua maendeleo ya ZAPHOA kwenye Quality Improvement
Pamoja na Strategies katika kuikuza Jumuiya

26/06/2025
Mmoja katika watoa huduma wetu ametumia utaratibu wa kisheria kupitia mkataba wa watoa Huduma na zhsf kusitisha huduma m...
21/06/2025

Mmoja katika watoa huduma wetu ametumia utaratibu wa kisheria kupitia mkataba wa watoa Huduma na zhsf kusitisha huduma mkataba utakapomaliza
Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni
Lack of transparency, Delay of payment for service providers ,Tension kati ya zhsf na watoa huduma ni kubwa na haina Afya kwa mustakabali wa kutoa huduma bora kwa Jamii

Kumsimamisha mtoa huduma bila kufuata utaratibu  wa bodi na kusikilizwa au kurekebishwa alipokosea hatutafikia lengo la ...
21/06/2025

Kumsimamisha mtoa huduma bila kufuata utaratibu wa bodi na kusikilizwa au kurekebishwa alipokosea hatutafikia lengo la Afya bora kwa wote.

Kamati tendaji ilikaa kikao chake cha kawaida Lengo la 1.Kuimarisha uwezo wa shirika na usimamizi wa chama.2.Kuboresha u...
18/06/2025

Kamati tendaji ilikaa kikao chake cha kawaida
Lengo la
1.Kuimarisha uwezo wa shirika na usimamizi wa chama.
2.Kuboresha uwezo wa kifedha na ustahimilivu wa kifedha.
3.Kuimarisha utetezi wa sera kuhusu mfumo wa huduma za afyaKamati tendaji ilikaa kikao chake cha kawaida.

ZAPHOA tunawatakia heri ya Eid Al Adha.  πŸŒ™πŸ•Œ
07/06/2025

ZAPHOA tunawatakia heri ya Eid Al Adha.
πŸŒ™πŸ•Œ

25/05/2025

Hongera Proffesor Mohammed Janabi kwa kuchaguliwa kuwa mkurugenzi wa shirika la afya duniani (WHO) kanda ya Africa      ...
20/05/2025

Hongera Proffesor Mohammed Janabi kwa kuchaguliwa kuwa mkurugenzi wa shirika la afya duniani (WHO) kanda ya Africa

Address

Mombasa, Zanzibar
Zanzibar

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zaphoa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share