16/03/2026
🚨 ONYO KWA WANAWAKE WOTE!
Je, unakosa kuona hedhi yako kwa muda mrefu?
Je, siku zako zina chelewa sana au zimepotea kabisa?
Usipuuzie hali hiyo! Watu wengi hudhani ni jambo la kawaida, lakini ukweli ni kwamba kukosa hedhi kunaweza kuwa ishara ya tatizo la kiafya, k**a vile:
• Mabadiliko ya homoni
• Msongo mkubwa wa mawazo
• Matatizo ya mfuko wa uzazi
• Magonjwa ya ndani ya mwili
• Au sababu nyingine zinazohitaji uchunguzi wa kitaalamu
⚕️ Katika Eternal Health Care tunatoa:
✔ Uchunguzi wa kina wa afya ya mwanamke
✔ Ushauri wa kitaalamu kuhusu hedhi na afya ya uzazi
✔ Matibabu ya matatizo ya homoni
✔ Huduma za afya kwa wanawake kwa usiri na uangalizi wa karibu
💡 Usisubiri mpaka tatizo liwe kubwa. Chukua hatua mapema kwa afya yako.
📲 WhatsApp / Simu: 0744203343
👨⚕️ Dr. Daud
Angalia picha hapa chini ujifunze baadhi ya sababu zinazoweza kufanya mwanamke kukosa hedhi.