Aika Fredrick

  • Home
  • Aika Fredrick

Aika Fredrick Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Aika Fredrick, Nutritionist, .

📍📞☎️
11/09/2022

📍📞☎️

🥳🥳
11/09/2022

🥳🥳

SOYA BABY FLOUR ☘️Ni unga wa uji wenye mchanganyiko wa Soya,mahindi,mchele na nuts mbalimbali ☘️Soya ni chanzo kizuri ch...
11/09/2022

SOYA BABY FLOUR ☘️
Ni unga wa uji wenye mchanganyiko wa Soya,mahindi,mchele na nuts mbalimbali
☘️Soya ni chanzo kizuri cha protein
☘️Soya ina Amino acid zote muhimu kwa ukuaji wa mtoto.(misuli na afya ya akili)
☘️Ina mafuta ambayo ni rahisi mwili kuchakata.(Yaani haina cholesterol)
☘️Ina wingi wa madini ya Calcium,Vitamin A,vitamin D.
➡️ protini mwilini huongeza uwezo wa mwili kuhifadhi na kunyonya madini ya ‘calcium’ kwenye mifupa.
➡️Ni mlo safi kwa wagonjwa wa kisukari na wenye matatizo ya figo. Kamba lishe (fibre) iliyomo, hurekebisha kiwango cha sukari na uchujaji sumu wa figo.

TAFADHALI PIGA NAMBA HIZI KWA MAHITAJI YA BIDHAA ZETU 👇
📞☎️ +255 68 427 6030 Arusha
📞☎️ +255 77 361 2951 kaweskoni
📞☎️ +255 68 959 1760 Makumbusho
stand

OATS MIX UJI Ni mchanganyiko wa oats na nuts mbalimbali ikiwemo  🟢Almonds 🟢Wallnuts  🟢Brazilian nuts  🟢Pistachio Una kiw...
08/09/2022

OATS MIX UJI
Ni mchanganyiko wa oats na nuts mbalimbali ikiwemo
🟢Almonds
🟢Wallnuts
🟢Brazilian nuts
🟢Pistachio
Una kiwango kikubwa cha protein kwa ajili ya kujenga misuli katika mwili.
Una mafuta rafiki
Una wingi wa vitamini na madini muhimu
Huongeza hamu ya kula
Husaidia kuongeza uzito kwa ufasaha.

❤️😘🤗
03/09/2022

❤️😘🤗

📞TAFADHALI  PIGA NAMBA HIZI KWA MAHITAJI YA BIDHAA ZETU 👇📞0767 700789 Makumbusho kijitonyama 📞 0773 612 951 kwa mpemba k...
28/08/2022

📞TAFADHALI PIGA NAMBA HIZI KWA MAHITAJI YA BIDHAA ZETU 👇
📞0767 700789 Makumbusho kijitonyama
📞 0773 612 951 kwa mpemba kawe sokoni

MAMAZ UJI😋   🟢una mchanganyiko wa mahindi,Mbegu za maboga na nuts mbalimbali 😊   🟢Husaidia mama aliyejifungua kutoa mazi...
28/08/2022

MAMAZ UJI😋
🟢una mchanganyiko wa mahindi,Mbegu za maboga na nuts mbalimbali 😊
🟢Husaidia mama aliyejifungua kutoa maziwa ya kutosha na yenye virutubisho

📞TAFADHALI PIGA NAMBA HIZI KWA MAHITAJI YA BIDHAA ZETU 👇
📞0767 700789 Makumbusho kijitonyama
📞 0773 612 951 kwa mpemba kawe sokoni

UGALI MTAMU 😋🟢unga wa ugali kwa watoto,una mahindi ya njano,mahindi meupe na wallnuts 🟢umesheheni virutubisho vingi ikiw...
27/08/2022

UGALI MTAMU 😋

🟢unga wa ugali kwa watoto,una mahindi ya njano,mahindi meupe na wallnuts
🟢umesheheni virutubisho vingi ikiwemo vitamin A kutoka kwenye mahindi ya njano

📞TAFADHALI PIGA NAMBA HIZI KWA MAHITAJI YA BIDHAA ZETU 👇
📞0767 700789 Makumbusho kijitonyama
📞 0773 612 951 kwa mpemba kawe sokoni

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aika Fredrick posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Health & Beauty Business?

Share