Rachel na afya yako

  • Home
  • Rachel na afya yako

Rachel na afya yako Rachel na afya yako
tunashughulika na afya za agonjwa mbalimbali yasioambukiza, na tunakupatia tiba yake
karibu sana
Wasiliana nasi
0747188086

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-■Kukojoa Mara 5-10 wakati wa usiku (kukojoa saana usiku.)■kubakiza mkojo kwenye kibofu....
14/05/2025

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-
■Kukojoa Mara 5-10 wakati wa usiku (kukojoa saana usiku.)
■kubakiza mkojo kwenye kibofu.
■Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.
■Kupungukiwa nguvu za kiume
■UTI ya Mara kwa mara.
■Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.
■Figo kujaa maji,hii Ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.
■Damu katika mkojo
■kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
■kutokuishiwa hamu ya kukojoa

*MADHARA YA TEZI DUME*
●Kushindwa kabisa kukojoa.
●Kupatwa na maambukizi ya UTI
●Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.
●Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.
●Kibofu cha mkojo kuuma, hivyo kupelekea mkojo kurudi juu na kuharibu figo na Ini
●Njia ya mkojo kuziba kabisa
●Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure) ●Kushindwa kumudu tendo la ndoa
●Ugumba (infertility+frigidity for men)
●Kutokea kwa majibu sehemu za tezi dume
*○○bfsuma company tunayo bidhaa pekee ambayo ni prostaterelax ambayo inaenda kuondoa hilo tatizo bila upasuaji wowote�nitafute kwa namba…*
*0747188086*

*FAHAMU KUHUSU TATIZO LA KUJIKOJOLEA KWA WATOTO*Kukojoa kitandani ni pale mtoto anaposhindwa kubana mkojo na kudhibiti k...
29/12/2022

*FAHAMU KUHUSU TATIZO LA KUJIKOJOLEA KWA WATOTO*

Kukojoa kitandani ni pale mtoto anaposhindwa kubana mkojo na kudhibiti kibofu cha mkojo hasa nyakati za usiku.

Kukojoa kitandani wa watoto ni jambo la kawaida kabisa, ni hatua mojawapo katika ukuaji wa viungo vya mtoto. Japo inapokuwa kupita kiasi inaweza kuashiria tatizo kubwa la kiafya.

*VYANZO VIKUBWA KWA WATOTO KUJIKOJOLEA*

1. Kibofu kuwa kidogo
2. Maambukizi kwenye njia ya mkojo
3. Kukosa choo na kupata choo kigumu
4. Kukosa pumzi wakati wa usiku (sleep apnea)
5. Kuvurugika kwa homoni
6. Historia ya kifamilia (Kurithi)

*TIBA YA KUZUIA KUJIKOJOLEA*

1. Kubadili mtindo wa maisha k**a kutokunywa maji mengi wakati wa usiku.
2. Kufanya mazoezi ya kubana mkojo.

K**A TATIZO LINAJIRUDIA TUNA SULUHISHO KAMILI.

Wasiliana nasi kwa namba +255747188086 au bonyeza link hii kuja moja kwa moja inbox. 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

https://wa.me/+255747188086 ?text=Nahitaji%20TIBA%20kwa%20ajili%20ya%20%20TATOZO-LA-KUJIKOJOLEA

Karibu sana nikuhudumieAu piga simu/ whatsapp Namba 0747188086
02/12/2022

Karibu sana nikuhudumie
Au piga simu/ whatsapp Namba 0747188086

Haya ndio Maradhi yanayo sababisha Miguu Kuvimba na Kubonyea hivi k**a Kiazi kilicho chomwa.1. Kuwa na Uzito mkubwa Kupi...
03/11/2022

Haya ndio Maradhi yanayo sababisha Miguu Kuvimba na Kubonyea hivi k**a Kiazi kilicho chomwa.

1. Kuwa na Uzito mkubwa Kupindukia
2. Kupanuka kwa Moyo na shinikizo la damu
3. Magonjwa ya Figo
4. Magonjwa ya Ini
5. Magonjwa ya Valve za mishipa ya damu
6. Maradhi ya Mzunguko hafifu wa damu

Je ushawahi kupata hali k**a hii? Uliponaje? K**a bado inakusumbua tuambie pia.

*Tuambie kupitia Namba 0747188086/0679443484*

*JE, WAJUA VYANZO NA DALILI ZA UVIMBE WA FIBROID?* Fibroid ni tishu ndogo ambazo huanza kuota ndani ama nje ya tumba la ...
11/10/2022

*JE, WAJUA VYANZO NA DALILI ZA UVIMBE WA FIBROID?*

Fibroid ni tishu ndogo ambazo huanza kuota ndani ama nje ya tumba la kifuko cha uzazi la mwanamke. Na ieleweke kuwa, wakati mwingine uvimbe huu hukua na kuwa mkubwa zaidi na kusababisha Maumivu makali ya tumbo la chini na kutokwa na damu muda mrefu kipindi cha hedhi. Tatizo hili linapoanza wakati mwingine unaweza usione dalili zozote. Uvimbe wenyewe huwa sio Saratani.

*AINA ZA UVIMBE WA FIBROIDS.*
Vivimbe mbalimbali tofauti huanza kujitokeza katika maeneo tofauti ndani na nje ya kifuko cha uzazi(uterus).

*Fibroid aina ya:*
1️⃣ *Intramural:* Uvimbe huu ni wa kawaida kabisa. Aina hizi za uvimbe huonekana katikati ya misuli ya ukuta wa kizazi(uterus). Uvimbe huu unaweka kuku na ukawa mkubwa zaidi na unaweza kumfanya muhusika kuwa na tumbo k**a mjamzito.

2️⃣ *Subserosal Fibroids:* Aina hizi za uvimbe hujitokeza nje ya tumbo lako la uzazi(uterus), ambazo hujulikana kwa jina la serosa. Vivimbe hivi vinaweza kuendelea kukua na kuwa vikibwa sana kuliko kawaida na pia kulifanya tumbo lako kuwa kubwa.

3️⃣ *Submucosal Fibroids:* Aina hizi za uvimbe hujitokeza katika tabaka la kati la ukuta wa kizazi. Aina hii ya uvimbe sio ya kawaida sana k**a vivimbe vingine, bali wakati vinapojitokeza, humsababishia muhusika kutokwa na damu nyingi sana wakati wa hedhi na hivyo kushindwa kubeba ujauzito.

*Je, Nini Visababishi Vyake?*
Vyanzo vyake huwa k**a ifuatavyo;
▶️ Kutopata ujauzito kwa muda mrefu.
▶️ Kutoshiriki tendo la ndoa muda mrefu (yaani dada ama mama anapofikia umri wa miaka 25-30 bila kushiriki tendo la ndoa).
▶️ Matumizi ya pedi zisizokuwa na uthibitisho wa madaktari.
▶️ Kutoa mimba
▶️ Mapungufu ya virutubisho mwilini.

*Dalili Zake*
Kwa kawida dalili za uvimbe wa Fibroid huwa k**a ifuatavyo;

▶️ Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi, ama kupata hedhi mara mbili kwa mwezi.
▶️ Maumivu makali wakati wa hedhi.
▶️ Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya ama usiokuwa na harufu lakini mwingi.
▶️ Maumivu makali wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma uvimbe huo.
▶️ Maumivu ya tumbo chini ya kitovu.
▶️ Hedhi zisizokuwa na mpangilio.
▶️ Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

*Uvimbe huu unapokuwa

*UTAJUAJE K**A UNA FANGASI SUGU??  👇👇**Na Mshauri 0747188086*Kuna dalili nyingi zinazoonyesha kuwa una dalili za kua na ...
11/10/2022

*UTAJUAJE K**A UNA FANGASI SUGU?? 👇👇*

*Na Mshauri 0747188086*

Kuna dalili nyingi zinazoonyesha kuwa una dalili za kua na fangasi ukeni k**a zifuatazo;

1.Kuwa na miwasho sehemu za siri mara kwa mara

2.Vipele vidogo vidogo ukeni

3.Kutokwa na uchafu mweupe au wa rangi ya kijivu ukeni wenye harufu mbaya

4.Vidonda au kuwa na michubuko ukeni

5.Kutokwa na harufu mbaya ukeni

6.Kupatwa na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

7.Kuvimba au kuwa mwekundu katika mdomo wa nje ya uke.

8.Kuwaka moto ndani na nje ya uke.

Je una dalili hizi tunayo tiba kwa ajili ya wanawake ambayo itakusaidia kutibu fangasi sugu eneo la siri.

Kwa msaada wa hitaji lako kuhusu tiba hii tupigiee,,0747188086

http://wa.me/255747188086
"AFYA YAKO NI MTAJI WAKO, ELIMIKA NA CHUKUA HATUA

0747188086
http://wa.me/+255747188086

usikose Kwa pochi Yako au bag lako muhimu sana
06/10/2022

usikose Kwa pochi Yako au bag lako
muhimu sana

uyoga mwekundu Kwa afya yako
06/10/2022

uyoga mwekundu Kwa afya yako

*FAIDA /UMUHIMU WA REFINED YUNZHI*📞>>KUIMARISHA KINGA YA MWILI >>KUZUIA KUKUA NA KUENEA KWA SELI ZA KANSA >>KUIMARISHA H...
06/10/2022

*FAIDA /UMUHIMU WA REFINED YUNZHI*

📞
>>KUIMARISHA KINGA YA MWILI

>>KUZUIA KUKUA NA KUENEA KWA SELI ZA KANSA

>>KUIMARISHA HORMONES na kuondonsha kabisa tatizo la HORMON IMBALANCE

>>KUYEYUSHA UVIMBE KWENYE KIZAZI BILA UPASULIWAJI na Vimba sehemu mbali mbali za mwili

>>HUWASAIDIA WENYE TATZO LA KUTOPATA UJAUZITO/mimba

>>HUONDOSHA TATIZO LA MIMBA KUHARIBIKA MARA KWA MARA

>>HUWASAIDIA WANAWAKE WANAOPATA MAUMIVU WAKATI WA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA

>>Huwasaidia wenye tatzo la kutokua na HAMU Ya kushiriki Tendo la Ndoa

>>Nzuri Kwa Wenye P.I.D na MATATIZO mbali mbali kwenye MFUMO WA UZAZI Kwa wanawake

>>NZURI KWA WALIOFANYIWA VIPIMO/Tiba za mionzi

>>HUONGEZA UTETE sehemu za Siri za Mwanamke na kumsaidia kutopata maumivu wakati wa Tendo la Ndoa

•••Ni kinga ya KUZUIA kutokewa na vimbe sehemu mbalimbali za mwili na kuzuia SELI za kansa,HIVYO HUWEZA KUTUMIWA NA MTU YEYOTE.

Note:NI BIDHAA YA ASILI ISIYO NA KEMIKALI YOYOTE na Haina madhara kwa watumiaji.

& SHARE UJUMBE HUU KUWASAIDIA WENYE MATATIZO HAYA

*Wasiliana nasi 0747188086*

30/09/2022

karibuni sana mjipatie virutubishi lishe Kwa ajili ya afya Yako
napatikana Kwa namba za simu
0747188086
Wahi mapema vipo vichache

K**a umekuwa mlaji wa kuku wa kisasa jua Kwamba umekula sumu nyingi sana mwilini mwako *Wasiliana nasi 0747188086*utoe S...
14/09/2022

K**a umekuwa mlaji wa kuku wa kisasa jua Kwamba umekula sumu nyingi sana mwilini mwako
*Wasiliana nasi 0747188086*
utoe Sumu uliyoila ambayo Ina athari kubwa mwilini

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rachel na afya yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Rachel na afya yako:

  • Want your business to be the top-listed Health & Beauty Business?

Share