Naomi Afya Halisi

  • Home
  • Naomi Afya Halisi

Naomi Afya Halisi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Naomi Afya Halisi, Medical and health, .

Kwanini uendelee kuteseka na changamoto ya kisukari, shinikizo la damu, mifupa kwa ujumla, vidonda vya tumbo, Mambo ya uzazi wanawake na wanaume UTI, fungus PID na changamoto zote za uzazi?.wasiliana nasi kwa ushauri PIGA au watsap 0752400155

14/04/2026

Hello hello WAKAZI wa Dar es salaam na viunga VYAKE
karibuni Sana Jumapili saa Saba mchana .

Hakuna kiingilio

*HORMONES IMBALANCE**(UWIANO MBAYA WA HOMONI ZA UZAZI)* *_HORMONES IMBALANCE;_* Ni upungufu/kiwango kidogo/uwiano mbaya ...
11/04/2026

*HORMONES IMBALANCE*
*(UWIANO MBAYA WA HOMONI ZA UZAZI)*

*_HORMONES IMBALANCE;_* Ni upungufu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homoni za uzazi yaani ESTROGEN HORMONES

*VISABABISHI/VYANZO VYA HORMONES IMBALANCE*
♟️Matumizi ya njia za uzazi wa mpango k**a vidonge, sindano, njiti, kitanzi n.k
♟️U.T.I sugu
♟️Magonjwa ya zinaa k**a kaswende, gonorea n.k
♟️Mlo mbaya/usio kamili
♟️kuugua fangasi ukeni kwa muda mrefu
💦Msongo wa mawazo

*DALILI ZA HORMONES IMBALANCE*
🎯_Siku za hedhi kutokuwa na mpangilio maalumu
🎯_kutoshika mimba
🎯_maumivu ya kiuno, mgongo na tumbo chini ya kitovu
🎯_maumivu ya viungo na uchovu wa mara kwa mara
🎯_kupoteza hamu ya tendo
🎯_maumivu wakati wa tendo
🎯_uke kuwa mkavu
🎯_Kutoka na damu nyeusi au mabonge mabonge
🎯_ kutokupata period na wakati si mjamzito

*MADHARA YA HORMONES IMBALANCE*
🫟kuto shika mimba
🫟mimba kuharibika mara kwa mara
🫟kupata uvimbe kwenye kizazi
🫟kukaribisha magonjwa katika mfumo wa uzazi
Habari njema ni kwamba kuna suluhisho yaani matibabu hapa...

*Andika Neno HOMONI kupata Suluhisho lako mapema kabla hujapata madhara makubwa zaid.*

02/04/2026

Ni zamu ya WAKAZI wa Dodoma na VIUNGA VYAKE tutakuwa Safina Hall Jumanne hii tar 07 (Karume day)
Hakuna kiingilio njoo ujiongezee maarifa ya namna yakujipatia KIPATO Cha ziada kwamuda wa ziada

28/03/2026

WANAWAKE NGUVU, WANAWAKE JESHI KUBWA WANAWAKE MNAOJIPENDA NA KUJIJALI MMEFIKIWA........
CHANGAMKIA OFA HII YA SIKUKUU Package Ni TSH. 180,000/- badala ya
TSH 230,000/-

*MAMBO 10 YANAYOSABAISHA MIWASHO UKENI-TIBA YAKE* *Miwasho ni hali ya* kutamani kujikuna au kujikuna kwenye uke hali hii...
28/03/2026

*MAMBO 10 YANAYOSABAISHA MIWASHO UKENI-TIBA YAKE*

*Miwasho ni hali ya* kutamani kujikuna au kujikuna kwenye uke hali hii hupelekea hali ya kuhisi raha na baadae michubuko na maumivu wakativwa tendo la ndoa

*Kuna mambo kadhaa* yanayoweza kusababisha miwasho ukeni, ikiwa ni pamoja na

1. *Maambukizi ya Fangasi (Candidiasis)* Haya ni maambukizi ya kawaida yanayosababishwa na fangasi aina ya Candida, ambayo husababisha miwasho, uchafu mweupe.

2. *Maambukizi ya Bakteria (Bacterial Vaginosis)* Maambukizi haya husababishwa na kuongezeka kwa bakteria mbaya na hupatikana na dalili k**a vile harufu mbaya, miwasho, na uchafu wenye rangi ya kijivu.

3. *Magugu (Trichomoniasis)* Hii ni maambukizi ya zinaa yanayosababishwa na vimelea vinavyoitwa Trichomonas vaginalis. Husababisha miwasho, uchafu wa kijani au njano, na harufu mbaya.

4. *Ugonjwa wa Uchafu wa Mkojo (Urinary Tract Infection)* Ingawa hii ni maambukizi kwenye mfumo wa mkojo, inaweza kusababisha maumivu na miwasho katika maeneo ya karibu na uke.

5. *Matumizi ya Bidhaa Zenye Kemikali* Sabuni zenye harufu kali, sabuni za kuoshea uke, kuweka mate,mafuta ya kulainisha, na bidhaa nyingine za usafi zinaweza kusababisha mizio au miwasho.

6. *Mabadiliko ya Homoni* Wakati wa ujauzito, hedhi, au kukoma kwa hedhi, mabadiliko ya homoni yanaweza kusababisha uke kuwa kavu na kuwasha.

7. *Nguo za Ndani* Mavazi ya ndani yenye nyuzi za sintetiki(nylon)au zinazobana sana zinaweza kusababisha joto na unyevunyevu, ambayo ni mazingira mazuri kwa fangasi na bakteria kukua.

8. *Maambukizi ya Kingono* Maambukizi yanayotokana na mawasiliano ya kingono (STIs) k**a vile herpes, gonorrhea, na chlamydia yanaweza kusababisha miwasho.

9. *Alerji* Alerji kwa kondomu, shahawa za mwanaume, au hata baadhi ya dawa za kutuliza maumivu zinaweza kusababisha miwasho.

10. *Magonjwa ya Ngozi* Magonjwa ya ngozi k**a eczema, psoriasis, au lichen sclerosus yanaweza kuathiri eneo la uke na kusababisha miwasho.

Mimi Mtaalam wa afya Dr.Naomi, ninatibu miwasho ukeni kwa muda wa siku 5 tu
wasiliana nami kwa👇👇👇

0752400155 piga au tuna ujumbe watsap

🌸 MWANAMKE, USIVUMILIE CHANGAMOTO HII🌸Je, unakutana na:❌ Harufu isiyo ya kawaida?❌ Maambukizi ya mara kwa mara (UTI,VPID...
18/03/2026

🌸 MWANAMKE, USIVUMILIE CHANGAMOTO HII🌸

Je, unakutana na:
❌ Harufu isiyo ya kawaida?
❌ Maambukizi ya mara kwa mara (UTI,VPID & fangasi)?
❌ Kukosa kujiamini mbele ya mwenza wako?

💚 MKOMBOZI WA MWANAMKE Imetengenezwa kukusaidia:

✔ Kusafisha uke kwa usalama
✔ Kumaliza na kuzuia maambukizi
✔ Kuondoa harufu mbaya
✔ Kurudisha kujiamini kwako 💃

✨ OF A MAALUM – MWEZI WA WANAWAKE! ✨
🎁 Pata punguzo + ushauri BURE
📞 0752400155 (Piga au WhatsApp sasa)
🚚 Tunakufikishia popote ulipo Kwa gharama nafuu
🚨 Usisubiri hali iwe mbaya… anza leo kujali afya yako!




Jipatie kwa Bei ya ofa leoafya Ni MTAJI namba moja
16/02/2026

Jipatie kwa Bei ya ofa leo
afya Ni MTAJI namba moja

04/02/2026
21/01/2026

I got over 100 reactions on one of my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Naomi Afya Halisi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Health & Beauty Business?

Share