17/03/2024
๐ฃ๐๐ง๐ ๐ฆ๐จ๐๐จ๐๐๐ฆ๐๐ข ๐๐ ๐๐จ๐๐จ๐ ๐จ - ๐ง๐๐๐จ ๐ฉ๐๐ฅ๐๐๐ข๐ฆ๐ ๐ฉ๐๐๐ก๐ฆ ๐๐๐๐ ๐จ๐ฃ๐๐ฆ๐จ๐๐๐ - ๐ง๐ข๐๐ข๐ ๐๐ญ๐ ๐ฉ๐๐ฅ๐๐๐ข๐ฆ๐ ๐ฉ๐๐๐ก๐ฆ ๐ก๐๐๐ก๐ ๐ฌ๐ ๐ช๐๐๐ ๐ด:
Mishipa ya varicose, au varicosities veins.
Ni mishipa ya damu iliyovimba na kupinda pinda kwa Kawaida mishipa hii hutokea au kukaa kwenye miguu na wakati mwingine mishipa ya varicose huunda katika sehemu nyingine za mwili tofauti na miguuni k**a vile Vifundoni ikiwa na rangi ya Blue, Zambarau au nyekundu.
Vipuli hivi vya bluu au zambarau kawaida huonekana kwenye miguu, na vifundo vyako.
Inaweza kuambatana na maumivu au kuwasha.
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐!.
Mtu yeyote anaweza kupata mishipa ya varicose. Sababu fulani huongeza uwezekano wako wa kupata mishipa ya varicose, ikiwa ni pamoja na:
[ 1 ] Umri: Kwa sababu ya mchakato wa kuzeeka, kuta za mshipa na vali hazifanyi kazi vizuri k**a zilivyofanya hapo awali. Mishipa hupoteza elasticity ya kuimarisha mishipa iyo.
[ 2 ] Jinsia: Homoni za k**e zinaweza kuruhusu kuta za mishipa ya miguuni kuanza kuonyesha varicose.
Watu ambao ni wajawazito, wanaotumia kidonge cha kudhibiti uzazi au kutumia njia za uzazi wa mpango au wanaopitia kipindi cha kukoma kwa hedhi wana hatari kubwa ya kupata mishipa ya varicose kwa sababu ya mabadiliko ya viwango vya homoni.
[ 3 ] Kujifungua kwa Oparesheni
[ 4 ] Kutumia njia za uzazi wa mpango
[ 5 ] Unene au mwili mkubwa
[ 6 ] Kuwa na damu nyingi
[ 7 ] Kuwa na damu Ya kuganda au nzito
[ 8 ] Kukoma kwa hedhi
[ 9 ] Historia ya Familia: Hali hii inaweza kurithiwa (huendeshwa katika familia) Genitics Factors.
[ 10 ] Mtindo wa maisha: Kusimama au kukaa kwa muda mrefu hupunguza mzunguko wa damu. Kuvaa nguo zinazobana, k**a vile mikanda au suruali yenye mikanda ya kiunoni kunaweza kupunguza mtiririko wa damu.
[ 11 ] Afya kwa ujumla: Hali fulani za kiafya, k**a vile kuvimbiwa sana au uvimbe fulani, huongeza shinikizo la damu kwenye mishipa.
[ 12 ] Matumizi ya tumbaku: Watu wanaotumia bidhaa za tumbaku wana uwezekano mkubwa wa kupata VARICOSE VEIN.
[ 13 ] Uzito: Uzito wa ziada huweka shinikizo kwenye mishipa ya damu.
๐ ๐๐๐๐๐ฅ๐ ๐ฌ๐๐ง๐ข๐๐๐ก๐๐ฌ๐ข ๐ก๐ ๐๐๐๐ก๐๐๐ ๐ข๐ง๐ข ๐ฌ๐ ๐ฉ๐๐ฅ๐๐๐ข๐ฆ๐ ๐ฉ๐๐๐ก๐ฆ ๐๐ฆ๐๐ฃ๐ข ๐ง๐๐๐๐ช๐ ๐ ๐๐ฃ๐๐ ๐:
[ 1 ] Maumivu ya mara kwa mara ya miguu na misuri kukaza
[ 2 ] Saratani au Kansa ya kudumu
[ 3 ] Hupelekea kushindwa kutembea kabisa pindi ugonjwa huu usipo tibiwa mapema.
๐จ๐ฆ๐๐๐จ๐ฅ๐ ๐ก๐ ๐๐จ๐ ๐จ๐ข๐ก๐ ๐๐๐๐ง๐๐ฅ๐ ๐๐จ๐ง๐ข๐๐๐ช๐ ๐๐จ๐ฅ๐.
Kwa mawasiliano zaidi na huduma usisite kuwasiliana nasi kwa kupiga simu au WhatsApp
0628 361 104
+255628361104
Thamani ya Dozi TZS 86, 000/=
TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM KIMARA STOP OVER :
๐๐๐ซ๐ข๐๐ฎ ๐๐ฎ๐ค๐ฎ๐ก๐ฎ๐๐ฎ๐ฆ๐ข๐ - ๐ค๐ฐ๐ ๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ฆ๐จ๐ญ๐จ ๐ณ๐ ๐๐๐ฒ๐ ๐ญ๐ฎ๐ง๐๐ญ๐จ๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐.