Hamidati "Mpira live"

  • Home
  • Hamidati "Mpira live"

Hamidati "Mpira live" Mpira Pesa

๐ŸšจTutaongea yote kuhusu Yanga, lakini nadhani hatupaswi kushangaa sana kwasababu hii timu tunayoona sasahivi imeshuka ime...
23/06/2026

๐ŸšจTutaongea yote kuhusu Yanga, lakini nadhani hatupaswi kushangaa sana kwasababu hii timu tunayoona sasahivi imeshuka imekuwa on top kwa miaka minne mfurulizo, imepiga watu Tano, sita za kutosha tu.

Tena ikiwa inatawala kweli kweli, hapo imefika Fainali ya CAF Confederation, na robo Fainali ya Champions league ikiwa ni miaka zaidi ya 20 hawajawahi kufika.

Dominance ya aina hii ulitegemea lazima ipo siku watapitia kipindi kigumu, kwasababu hakuna timu haipitii kipindi cha mpito. Hawa viongozi walioifikisha kule wanaweza tena wakawafikisha juu, hakuna haja ya kupanic.

Vipo vingi ambavyo vimewafanya wafike hapa na ni uzembe wa viongozi, mfano yale mabadiriko ya makocha walofanya last season mpaka season hii ๐Ÿค“, mambo ya failures za usajili n.k.

Ni muda wa kuandaa Project mpya, hii imeshafika mwisho. Hakuna haja ya Zimamoto.

Sisi wa kwetu tayari hatumdai ๐Ÿ™Œ๐ŸฟSteve Champion
22/06/2026

Sisi wa kwetu tayari hatumdai ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ

Steve Champion

๐Ÿšฉ ๐‡๐€๐‹๐… ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : World Cup ๐ŸŒŽ ARGENTINA ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท 1๏ธโƒฃโž–๏ธ0๏ธโƒฃ AUSTRIA ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น โŽ๏ธ 10" Messi (p)โšฝ๏ธ 39" Messi
22/06/2026

๐Ÿšฉ ๐‡๐€๐‹๐… ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : World Cup ๐ŸŒŽ

ARGENTINA ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท 1๏ธโƒฃโž–๏ธ0๏ธโƒฃ AUSTRIA ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น
โŽ๏ธ 10" Messi (p)
โšฝ๏ธ 39" Messi

๐Ÿšจ๐Ÿšจ MESSIIII!!! MESSIIII!!! MESSI SCORED!!! HISTORY!!! MESSIIIII!!! ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ทHE SCORED AFTER MISSING THE PENALTY!!! HE JUST MA...
22/06/2026

๐Ÿšจ๐Ÿšจ MESSIIII!!! MESSIIII!!! MESSI SCORED!!! HISTORY!!! MESSIIIII!!! ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท

HE SCORED AFTER MISSING THE PENALTY!!! HE JUST MADE HISTORY!!! ๐Ÿคฉ๐Ÿคฉ

๐ŸšจOFFICIAL Lionel Messi ndio mfungaji bora wa muda wote wa Kombe la Dunia akiwa na mabao 17.๐Ÿ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท
22/06/2026

๐ŸšจOFFICIAL Lionel Messi ndio mfungaji bora wa muda wote wa Kombe la Dunia akiwa na mabao 17.๐Ÿ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท

Mwamuzi wa kati Amin Mohamed Omar kutoka Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ ni pilato wa mechi ya Argentina ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท dhidi ya Austria ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น muda huu Moja y...
22/06/2026

Mwamuzi wa kati Amin Mohamed Omar kutoka Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ ni pilato wa mechi ya Argentina ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท dhidi ya Austria ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น muda huu

Moja ya waamuzi bora kwasasa katika soka la Afrika na Duniani

๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ๐„๐—๐‚๐”๐‹๐”๐’๐ˆ๐•๐„: Simba wako kwenye mazungumzo ya mwisho na kipa namba moja wa timu ya taifa ya Gabon na klabu ya Stella Clu...
22/06/2026

๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ๐„๐—๐‚๐”๐‹๐”๐’๐ˆ๐•๐„: Simba wako kwenye mazungumzo ya mwisho na kipa namba moja wa timu ya taifa ya Gabon na klabu ya Stella Club dโ€™Adjamรฉ ya Ivory Coast,Loyce Mbaba (28).

Mazungumzo yako kasi sana na dilo hilo linaweza kukamilika hivi karibuni.

Simba wanatarajia kuachana na Kassali mwishoni mwa maimu.

ALLY KAMWE๐Ÿ’ฃ " Kwa namna TFF na Bodi ya Ligi wanavyopanga ruti zetu za safari, angalia tumetoka Arusha - Mwanza - Zanziba...
22/06/2026

ALLY KAMWE๐Ÿ’ฃ " Kwa namna TFF na Bodi ya Ligi wanavyopanga ruti zetu za safari, angalia tumetoka Arusha - Mwanza - Zanzibar kwa muda mfupi sana, hii inaonesha kuwa kampeni ya Young Africans SC ikose makombe yote msimu huu .. huu ndio ukweli halisi tofauti na Simba SC kabisa ".

- Akiongea hayo Meneja wa Habari wa Young Africans katika Interview na Waandishi wa Habari baada ya Dar es Salaam Derby.

๐ŸšจAllan Okello sio mchezaji wa mechi kubwa na hilo halibadiliki hata k**a jana ametoa assist mbili, anapaswa kufanya vile...
22/06/2026

๐ŸšจAllan Okello sio mchezaji wa mechi kubwa na hilo halibadiliki hata k**a jana ametoa assist mbili, anapaswa kufanya vile kwenye mechi zaidi ya mbili ndio nitamuelewa zaidi ila sio kwenye mchezo mmoja

๐Ÿšฉ  ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : World Cup ๐ŸŒŽ NEW ZEALAND ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฟ 1๏ธโƒฃโž–๏ธ3๏ธโƒฃ EGYPT ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ โšฝ๏ธ 15" Surman                      โšฝ๏ธ 58" Ziko              ...
22/06/2026

๐Ÿšฉ ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : World Cup ๐ŸŒŽ

NEW ZEALAND ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฟ 1๏ธโƒฃโž–๏ธ3๏ธโƒฃ EGYPT ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
โšฝ๏ธ 15" Surman โšฝ๏ธ 58" Ziko
โšฝ๏ธ 67" Salah
โšฝ๏ธ 82" Trezeguet

Address

157 MWANZA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hamidati "Mpira live" posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Health & Beauty Business?

Share