AKULA TV

AKULA TV radio presenter and a news anchor onlline work

31/08/2026

Kiongozi wa chama cha DCP Rigathi Gachagua na mkewe Pastor Dorcas wanapunga unyunyu Marekani.

"Wakati umefika wa Kirinyaga kujitenga na mlima ili kuafiki maendeleo sawia na maeneo mengine nchini.." Dennis Itumbi.
31/08/2026

"Wakati umefika wa Kirinyaga kujitenga na mlima ili kuafiki maendeleo sawia na maeneo mengine nchini.." Dennis Itumbi.

31/08/2026

Watu wa mount Kenya wanajidai Sana kuhusu kuwa na Kura nyingi,Sisi tutatembea Kenya mzima kuhakikisha Jamii ya wa luo inampa rais William Ruto Kura millioni nne.

Sabato njema popote ulipo ,hizi ni taarifa kuu Magazetini Jumamosi ya Leo
29/08/2026

Sabato njema popote ulipo ,hizi ni taarifa kuu Magazetini Jumamosi ya Leo

28/08/2026

Waziri wa madini na uchumi samawati Ali Hassan Joho amkabili mkandarasi kufuatia kazi duni Lamu

Naibu kinara wa chama cha Jubilee Dr Fred Matiang'i amekutana na balozi wa Uingereza humu nchini Matt Brough.
28/08/2026

Naibu kinara wa chama cha Jubilee Dr Fred Matiang'i amekutana na balozi wa Uingereza humu nchini Matt Brough.

28/08/2026

Bungoma Gavana ni Tim Wanyonyi hakuna mwingine"- John Waluke mbunge Sirisia.

28/08/2026

Wafanyibiashara jijini Nairobi wameandamana Kulalamikia kuongezeka Kwa ushuru.

28/08/2026

Seneta Edwin Sifuna:Meru tunakuja Kwa kishindo.

Prime Cabinet Secretary and Cabinet Secretary for Foreign and Diaspora Affairs, Musalia Mudavadi, EGH, leaves the countr...
28/08/2026

Prime Cabinet Secretary and Cabinet Secretary for Foreign and Diaspora Affairs, Musalia Mudavadi, EGH, leaves the country for Luanda, Angola, where he will represent Kenya at the 21st Extraordinary Session of the Assembly of the African Union (AU) scheduled for 30 August 2026.

Address

Kenyatta
Kitale
ERE4

Telephone

+254743137253

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AKULA TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AKULA TV:

Shortcuts

Share