Al Aqsa Sunna Clinic

Al Aqsa Sunna Clinic ZINGATIA SANA ULAJI WAKO KWA AFYA BORA ZAIDI. FAHAMU KWAMBA MALI HUTAFUTWA LAKINI SIO AFYA
(1)

17/08/2026
16/08/2026

FAIDA ZA KUNGU MANGA KATIKA ULIMWENGU WA TIBA.
Dawa hii ilianza kutumika zamani sana kwasababu katika taifa la misri ya zamani tunaambiwa kwamba mafuta ya kungu manga ndo yalikuwa yanatumika kujifadhia mili ya maiti ili isiharibike kwa haraka
Asilimia kubwa wanaifahamu hii dawa ijapokuwa huwa wanaijua tu kwasababu ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa.Lakini ina faida zingine nyingi ijapokuwa hapa chini nitaelezea kwa ufupi wake k**a ifuatavyo.
✍️Kungu manga huondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa
✍️Ukizoea kusukutua mafuta ya kungu manga kila wakati huua bakteria ambao ndo wanaokuwaga sababu kuu ya kutoa harufu mbaya kinywani
✍️Mafuta ya kungu manga ni mazuri sana kwa kuzibua mishipa ya ubongo na utakuwa unapaka kila siku mara 2 kwa siku au kunusa mvuke wake baada ya kuweka kijiko kidogo kimoja kwenye maji nusu glasi halafu baada ya maji hayo kupoa kidogo unywe
✍️Kungu manga ni tiba nzuri sana ya kutoa bakteria kwenye njia ya mkojo na hivyo huweka kinga dhidi ya maradhi mbalimbali kupitia njia hio.
✍️Ni dawa nzuri sana ya kuongeza uwezo wa tendo la ndoa na kuchelewesha tendo hilo kwa wale wenye kuwahi kumaliza
✍️Kutumia kungu manga kila wakati ni tiba ya maradhi ya viungo vya mwili k**a baridi yabisi,na maradhi ya Gout na mengine mengi ambayo yanatokana na viungo kuuma.
✍️Kungu manga pia hurekebisha homoni na huondoa maumivu makali wakati wa hedhi
✍️ Hurekebisha mmeng'enyo wa chakula tumboni na huondoa kiungulia na kuvimbiwa na tumbo kila wakati na hata kukosa hamu ya kula na pia huondoa gesi
✍️Huuchangamsha mwili kila wakati na pia huleta usingizi kwa wale wenye tatizo la kupata usingizi kwa haraka kwasababu ya msongo wa mawazo na matatizo mengine mengi mfano wake
✍️ Kungu manga ni tiba nzuri sana ya matatizo ya wengu na ini na huweka kinga madhubuti dhidi ya maradhi nyemelezi
Kwa wale ambao wanahitaji tuko-
Kwa ushauri zaidi kuhusu maradhi na tiba yake wasiliana nasi
Na kwa wale ambao wanahitaji dawa za kiasili na kisunna za kutibu maradhi mbalimbali sugu wasiliana nami Dr Suleyman kwa namba zifuatazo za imo/Telegram

📞+254708995244. 📞+254734872938

12/01/2026

14.2K likes, 236 comments. Check out Al Aqsa Sunna Clinic’s post.

Address

Likoni
Mombasa

Telephone

+254708995244

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Al Aqsa Sunna Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Al Aqsa Sunna Clinic:

Shortcuts

Share