17/03/2026
ASALAM ALEIKUM WARAHMA TULAHI WABARAKATU
🥨((Vidonda SEHEMU YA UKENI))🥨
👉 🥨ni majeraha au mabadiliko ya vidonda yanayojitokeza kwenye ukuta wa ukeni, na mara nyingi husababisha dalili zisizo za kawaida k**a maumivu, kuwasha, au kutokwa na uchafu. Hali hii inaweza kusababishwa na maambukizi, vidonda vya tumbo, au matatizo ya kihisia na kinga ya mwili. Hapa kuna ufafanuzi wa kina🥨
👉1)🥨Aina za vidonda vya sehem ya ukeni🥨
❄️Vidonda vya maambukizi ya bakteria❄️
Hii ni pamoja na maambukizi yaa
❄️bacterial vaginosis❄️
❄️gonorrhea❄️ na ❄️ chlamydia❄️
👉🤧Dalili: uchafu wenye,harufu, kuvimba kwa uke, maumivu wakati wa kukojoa au kupata tendo la ndoa💦
🥨Vidonda vya virusi❄️
👉🥨Hali k**a ((herpes genitalis)) husababisha vidonda vidogo vya kuungua au kuvimba.🥨
👉🥨Dalili: vidonda* *vinavyopasuka na kuunda vidonda vidogo, maumivu, na wakati mwingine homa ya mwili mzima🤒
👉🦠 Vidonda vinavyohusiana* *na fungal (fungi)❄️
👉🥨Kama candidiasis* *(kuvimba na kuwasha kwa ukeni kutokana na (fangasi) 🦠
👉💦Dalili: kuwasha, kuzalisha uchafu mweupe wenye mvua, maumivu kidogo wakati wa kukojoa au tendo la ndoa.*💦
👉🥨((Vidonda visivyo vya maambukizi))🥨
👉🥨Hali zisizo za maambukizi k**a vidonda,vinavyotokana na kuumia au ugonjwa wa ((autoimmune))🦠
👉❄️Dalili: maumivu, kuwasha, au uvimbe wa muda mrefu bila sababu ya maambukizi.❄️
👉2))🥨Dalili za vidonda vya ukeni
,Maumivu au kuungua wakati wa kukojoa au tendo la ndoa,
Uchafu usio wa kawaida ((rangi, harufu, kiasi))💦
👉🥨Kuchekacheka au uvimbe wa uke na sehem zinazozunguka uke🥨
👉🤒Mara nyingine homa au uchovu ikiwa maambukizi ni makali🤒
👉3))🥨Sababu za vidonda vya ukeni))❄️
👉🦠Maambukizi ya ngono ((🦠gonorrhea🦠 ❄️chlamydia❄️ 🦠 herpes))🦠
👉💦Mabadiliko ya homoni 🤰((baada ya ujauzito, au menopause))🤰
👉📌Usafi usiofaa (kupunguza kinga ya uke, kuongeza uwezekano wa 🦠(fangasi)🦠
👉😞Uchungu wa kimwili au kuumia.
Magonjwa ya mfumo wa kinga
🦠 (( UKIMWI, lupus, au matatizo ya autoimmune)🦠
👉4))📌Matibabu na tahadhari*
*Kufanya vipimo vya* *maambukizi ili kubaini chanzo📌
👉💊Kutumia dawa sahihi: antibayotiki, antifungal, au antiviral kulingana na chanzo🌡
👉💦Kuepuka tendo la ndoa hadi vidonda vipoe ili,kuzuia maambukizi❄️
👉🥨Kudumisha usafi wa uke na kula lishe bora 🍜 ili,kuimarisha kinga ya mwili.💪
👉👨🔬Mara nyingine, daktari anaweza kupendekeza mara kwa mara uchunguzi wa uke ili kuzuia matatizo makubwa!!📌
👉KWA VISOMO !! NA DAWA !! 📌
👉WASILIANA NA MWALIMU !! 📌
buy good till number
( 6722029 )
🤙📲🔥WASILIANA NA MWALIMU🤙 📲🔥
Call//whatsupp
0754 092791 airtel
0706 667399 safaricom
🔪⚡️((WAKANYAGENI MASHEITWANI NA WACHAWI NA MJII WA MOMBASA PEMBA TIBBA ZETU BAHARI YA CHUMVI MAWE HARUFU YA KARAFU WACHAWI LAZIMA TU WANYOE MAJINI TU WACHOMOE))⚡️🔪
💥🔪🔪((TIBBA ZA MKUCHAMBA MARIJAH))🔪🔪💥. !!