05/06/2026
Je Waishi na Tuishi Companion?
Kegogi Star TV news journalist anakuelezea huduma zetu zote kwa ufupi.
1. Huduma 12 za Matanga;
Tunaweka heshima mbele wakati wa majonzi:
1. Malipo ya morgue siku 14
2. Sanduku la kifahari
3. Mavazi ya mwili
4. Usafirishaji wa hearse
5. Ng’ombe mmoja
6. Gunia moja la mahindi
7. Hema kubwa 2 za viti 200
8. Viti 200 vya plastiki
9. Hema la gazebo
10. Trolley
11. Zulia nyekundu
12. Vifaa vya kushusha mazishi
2. Huduma ya kulazwa hospitalini na huduma ya uzazi;
Ukiugua na kulazwa, tumekushughulikia. Wamama wajawazito pia tunawatunza hadi kujifungua kwa amani.
Tupo wapi Kisii/Nyamira?
Miruka Road, Kegogi center, opposite Bride corner Restaurant, next to Bovin.
Omwana, genda otoboke na kwegecha oboori bwa abanto bokwe.
Jisajili leo?
Bonyeza *250*16 #
Piga 0730 659 659 | 0730 659 600
WhatsApp 0723 384 255 kwa usaidizi
Kwa ajili yako tunajali
For you we care
Tuishi Companion.