Nafaka Bora Tz

Nafaka Bora Tz Wauzaji na wasambazaji wa nafaka bora. Mbaazi zipo, mchele wa biryani na maharage yapo. whatsapp/piga 0762501432.

Tuna mchele wa katani na magugu super grade 1, soya ya njano, ya kijivu na pishori rice zote, brown na nyeupe kwa wenye pressure na sukari.

21/12/2021

Msimu huu wa Sikukuu, Kataa kulisha familia yako mchele wenye ladha ya makande..

Takwimu zetu zinaonyesha kwamba, kila aliyeonja mchele wa katani, aliacha michele mingine yooteeee..

Umeitwa Katani sababu umenyooka na ni mwembamba kuliko michele mingine.

Kwa mapishi ya pilau au wali uliochambuka, jaribu huu mchele, hautajuta!

Mchele unanukia saaanaa..

Ukipika unachambuka na haushikani..

Ni mtamu sana, hata ukiutafuna kawaida tu, utamu wake unausikia..
Hauna haja ya kuchambua, ni kupika tuu..☺️

Mchele wa aina hii, ni adimu sana na huwa unalimwa kwa kiwango kidogo sana nchini.

Mchele huwa unauzwa mpaka 2,600/kg ila kwa makusudi ya kila mmoja aonje, Ukinunua leo, utapata kwa sh 2300/kg. Dar, Arusha, Moshi, Tanga & Dodoma, huu mchele unapatikana kwetu tu!

Tunapaki kwenye kg 1, kg 2 na kg 5.. Mikoani tunatuma pia.

K**a unauhitaji, weka order mapema kabla stock haijaisha, maana toka tumeingia kwenye offer, order ni nyingi.

Piga/whatsapp 0762501432 kwa order na maelezo zaidi, au bonyeza hapo chini kuongea na sisi moja kwa moja whatsapp.

Tunapatikana Arusha, mtaa wa pangani, karibu na soko kuu.
Karibu Mfalme tukuhudumie..

Address

Pangani
Arusha
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nafaka Bora Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nafaka Bora Tz:

Share