11/06/2026
๐ ๐๐๐๐ก๐ 37 ๐ฌ๐ ๐ช๐๐ง๐ข๐ง๐ข ๐ช๐ ๐๐๐๐ ๐ก๐ ๐ ๐๐๐ก๐ ๐ฌ๐๐๐
1.Khadija maana yake ni furaha
2.Fauzia maana yake ni kufaulu
3.Hawa maana yake ni matamanio au hamu au kupenda
4.Rujainah maana yake ni mwenye neema au mwenye fadhila
5.Fatwima maana yake ni ujasiri yaani sio muoga
6.Warda maana yake ni ua
7.Asmaa maana yake ni mwenye kulindwa na maana nyingine ni mlinzi
8.Ruwayda maana yake ni neema
9.Maryam maana yake ni mtumishi wa mwenyezi Mungu
10.Layla maana yake ni usiku
11.Kawthar maana yake ni mzigo au mto wa peponi
12.Shufaa maana yake ni mwenye uombezi
13.Jumayna maana yake ni lulu yenye ukubwa
14.Khaleeda maana yake ni milele
15.Latifa maana yake ni mpole
16.Amina maana yake ni mwenye kuitika
17.Najma maana yake ni nyota
18.Maymuna maana yake ni kheri
19.Muhayra maana yake ni mtaalamu
20.Munayra maana yake ni mwenye uwezo
21.Najdah maana yake ni mjasiri
22.Nasiha maana yake ni mshauri
23.Nawal maana yake ni zawadi
24.Rahma maana yake ni faida
25.Radhia maana yake ni aliye furahi
26.Ridhwanah maana yake ni mwenye kupendeza
27.Samiya maana yake ni mkubwa
28.Salma maana yake ni amani au salama
29.Samira maana yake ni mwenye upeo
30.Aziza maana yake ni thamani
31.Shakira maana yake ni Asante
32.Sofia maana yake ni ndugu
33.Zahra maana yake ni maua
34.Asiya maana yake ni muuguzi
35.Hadiya maana yake ni zawadi
36.Aysha maana yake ni umakini
37.Zaynab maana yake ni kipenzi cha baba yake
๐๐ป๐ฑ๐ฒ๐น๐ฒ๐ฎ ๐ธ๐๐ณ๐ผ๐น๐น๐ผ๐ ๐ง๐ช๐๐๐ ๐๐๐ฅ๐๐๐ ๐ฃ๐ฅ๐ข๐๐จ๐๐ง๐ฆ
๐๐ฝ๐ฎ๐๐ฒ ๐บ๐๐ฒ๐ป๐ฑ๐ฒ๐น๐ฒ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ท๐ถ๐ป๐ฎ ๐บ๐ฒ๐ป๐ด๐ถ๐ป๐ฒ ๐๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ถ.
๐๐ก๐ฆ๐๐'๐๐๐๐๐๐