30/01/2026
TEZI DUME: CHANGAMOTO KWA AFYA YA MWANAUME.
Tezi dume ni tatizo linalowasumbua wanaume wengi, hasa kuanzia umri wa makamo na kuendelea. Changamoto hii ikichelewa kushughulikiwa kitaalamu, inaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa ubora wa maisha na afya kwa ujumla. Kenko Care tunatoa suluhisho makini, salama na la kitaalamu kwa kuzingatia hali ya kila mgonjwa.
DALILI KUU 5 ZA MGONJWA WA TEZI DUME
Kukojoa mara kwa mara hasa usiku
Maumivu au kuwashwa wakati wa kukojoa
Mkojo kutoka kwa shida au kwa kusuasua
Maumivu ya chini ya tumbo au sehemu ya nyonga
Kupungua kwa nguvu za kiume au hamu ya tendo la ndoa
HATARI ZA KUCHELEWA KUPATA MATIBABU
• Kuzorota kwa figo kutokana na kushindwa kutoa mkojo vizuri
• Maambukizi ya mara kwa mara ya mfumo wa mkojo
• Kushindwa kabisa kukojoa (urinary retention)
• Kupungua kwa uwezo wa kufanya kazi na kuathirika kwa maisha ya ndoa
• Kuongezeka kwa hatari ya saratani ya tezi dume
Usisubiri hali iwe mbaya. Uchunguzi wa mapema na matibabu sahihi huokoa afya na maisha. Kenko Care tupo tayari kukusaidia kwa njia salama, ya kisasa na inayojali utu wa mgonjwa.
MAWASILIANO
Piga simu au WhatsApp: 0658 977936
Kenko Care – Afya Yako Kwanza.