Mahoronjo Beauty Store Arusha

Directions

Mahoronjo Beauty Store Arusha Aiming to promote awareness and raise knowledge on the public health issue to the community & global.

😍 Umeshajaribu bidhaa nyingi za skincare, lakini bado hujapata matokeo unayoyatarajia?Pengine tatizo si kwamba bidhaa zo...
16/10/2026

😍 Umeshajaribu bidhaa nyingi za skincare, lakini bado hujapata matokeo unayoyatarajia?

Pengine tatizo si kwamba bidhaa zote hazifanyi kazi… huenda bado hujapata bidhaa inayolingana na mahitaji ya ngozi yako! 👀

💚 ANUA Azelaic Acid 10% + Hyaluron Serum ni mojawapo ya bidhaa zinazoweza kuwa sehemu muhimu ya skincare routine yako, hasa k**a unapambana na chunusi, madoa yanayobaki baada ya chunusi au wekundu wa ngozi.

Lakini kuna siri moja ambayo watu wengi hawaijui… 🤫

Serum nzuri pekee haitoshi. Namna unavyoitumia na bidhaa unazochanganya nayo vina umuhimu mkubwa pia!

Na ndiyo maana Mahoronjo hatutaki kukuuzia tu bidhaa. Tunataka pia uelewe unachoweka kwenye ngozi yako. ❤️

✨ Usiendelee kutumia pesa kwa majaribio yasiyo na mpangilio.

📩 Tutumie ujumbe WhatsApp +255 714 074 547 utuambie aina ya ngozi yako na changamoto unayopitia.

👇 SWALI LA LEO: Ni kipi kinakusumbua zaidi kwenye ngozi yako kwa sasa?

A. Chunusi 😩
B. Madoa meusi 🥺
C. Wekundu na muwasho 😭
D. Vyote kwa pamoja 😅

Andika A, B, C au D kwenye comment. Tunataka kusikia kutoka kwako! 💚

MAHORONJO BEAUTY STORE 🌿

DarkSpots

Nilipenda sana Dada alivyokuwa anamkazia jamaa ile picha ya mwisho, nafkri jamaa atakuwa haamin k**a mwenzake yupo serio...
15/10/2026

Nilipenda sana Dada alivyokuwa anamkazia jamaa ile picha ya mwisho, nafkri jamaa atakuwa haamin k**a mwenzake yupo serious namna hioo, hakika wanawake wakiamua wanaweza.

Follow us, kuendelea kufikiwa na post zetu zingine zjazo.

Like, share and comment.

゚viralfollowersシ゚

15/10/2026

Je wajua namna ingredients zinavyofanya kazi? Angalia video hii hadi mwisho.

Follow ili uendelee kuona zaidi.

Like, comment na usisahau kushare.

Skincare consultation: +255714 074547

゚viralfollowersシ゚

Una rough skin, this goes fit for you. Wasiliana nasi leo kujipatia yako na namna ya kutumia. Tunafanya deliveryb popote...
08/10/2026

Una rough skin, this goes fit for you.

Wasiliana nasi leo kujipatia yako na namna ya kutumia. Tunafanya deliveryb popote 🚚
0714 074547

06/10/2026

Wahenga walisema huwezi kuuwa ndege wawili kwa wakati mmoja?
Je kuna ukweli katika hili? Sikilza hadi mwisho…andka comment yako…

゚viralfollowersシ゚

Kuna kitu nataka nikwambie? Jamaaa alimwambia nini?Swipe hadi mwisho ……Kwa huduma ya kusoma skincare na utunzaj ngozi wa...
01/10/2026

Kuna kitu nataka nikwambie?

Jamaaa alimwambia nini?

Swipe hadi mwisho ……

Kwa huduma ya kusoma skincare na utunzaj ngozi wasiliana nasi leo: 0714 074547

Wasiliana nasi leo kwa ajili ya kupata virutubisho hivi na vingine vingi. Pia unaweza kuvipata kwa bei nafuu zaidi au ku...
01/10/2026

Wasiliana nasi leo kwa ajili ya kupata virutubisho hivi na vingine vingi. Pia unaweza kuvipata kwa bei nafuu zaidi au kuwa muuzaji kamili wa bidhaa hizi.

wasiliana nasi leo: +255714074547.

Ila bata katika picha ya mwisho hio lol 🙌🏽
27/09/2026

Ila bata katika picha ya mwisho hio lol 🙌🏽

27/09/2026

Ile stress ya kuona bidhaa unayoipenda imeisha ghafla wakati ndio kwanza umepata hela! 😩💔

Usikubali hii ikukute tena! Ukiwa na Mahoronjo Kibubu, unaweka akiba kidogo kidogo kwa ajili ya skincare yako.

Ukimaliza malipo, unachukua bidhaa yako safi kabisa! 🎉

Wasiliana nasi leo 0714 074547

Aloe Vera gel  kwa Afya bora.Wasiliana nasi leo kujipatia yako: +255714 074547       ゚viralfollowersシ゚
27/09/2026

Aloe Vera gel kwa Afya bora.

Wasiliana nasi leo kujipatia yako: +255714 074547
゚viralfollowersシ゚

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mahoronjo Beauty Store Arusha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share