Afya Maridhawa

Afya Maridhawa ๐“๐ฎ๐ง๐š๐ง๐š๐ญ๐ฎ๐š ๐‚๐ก๐š๐ง๐ ๐š๐ฆ๐จ๐ญ๐จ ๐ณ๐จ๐ญ๐ž ๐ณ๐š ๐ค๐ข๐š๐Ÿ๐ฒ๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐š ๐“๐ข๐›๐š ๐‹๐ข๐ฌ๐ก๐ž
๐Ÿ‘‰ ๐Œ๐Ÿ๐ฎ๐ฆ๐จ ๐ฐ๐š ๐Œ๐ฆ๐ž๐ง๐ ๐ž๐ง๐ฒ๐จ ๐ฐ๐š ๐œ๐ก๐š๐ค๐ฎ๐ฅ๐š
๐Ÿ‘‰ ๐๐š๐ฐ๐š๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข
๐Ÿ‘‰ ๐‚๐ก๐จ๐จ ๐ค๐ข๐ ๐ฎ๐ฆ๐ฎ
๐Ÿ‘‰ ๐•๐ข๐๐จ๐ง๐๐š ๐ฏ๐ฒ๐š ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐›๐จ

15/01/2026

USIKUBALI KUFANYIWA UPASUAJI WA BAWASILI K**A UNAJIPENDA
NITAFUTE NIKUPE SULUHISHO LA KUDUMU BILA KUFANYIWA UPASUAJI
TUCHEK KUPIYIA NO.
๐Ÿ“ž+255656786572 kwa ushauri na tiba

14/01/2026

FAHAMA NAMNA NZURI YA KUONDOKANA NA CHANGAMOTO YA BAWASILI๐Ÿ“ž0656786572
# #

12/01/2026

Unapo puuzia Dalila za bawasili jua kabisa changamoto inability kuwa kubwa na kukuletea madhara makubwa zaidi
So uonapo Dalila Anza Tina mapema tupigie simu
๐Ÿ“ž0656786572 kupata ushauri na tiba

19/12/2025

BAWASILI INATIBIKA. ENDAPO TU UTAANZA MATIBABU MAPEMA
ANZA SASA KUTIBU CHANGAMOTO YAKO

 # # # **UJUE UGONJWA WA BAWASILI (HEMORRHOID)**  **Dalili, Madhara na Suluhisho Bila Upasuaji****Bawasili** ni hali ya ...
18/12/2025

# # # **UJUE UGONJWA WA BAWASILI (HEMORRHOID)**

**Dalili, Madhara na Suluhisho Bila Upasuaji**

**Bawasili** ni hali ya kuvimba kwa mishipa midogo ya damu (vena) inayozunguka eneo la tundu la haja kubwa. Mishipa hii inapovimba, husababisha vimbe au vinyama kuota katika eneo hilo, na mara nyingine kupasuka na kutoa damu. Hali hii huweza kusababisha maumivu, usumbufu mkubwa na hata kuathiri maisha ya ndoa au afya ya akili.

---

# # # **AINA ZA BAWASILI**

1. **Bawasili ya Ndani** โ€“ Hutokea ndani ya tundu la haja kubwa.
2. **Bawasili ya Nje** โ€“ Huonekana k**a uvimbe au kinyama nje ya tundu la haja kubwa.

---

# # # **CHANZO CHA BAWASILI**

- Kukaa kwa muda mrefu bila kusimama (madereva, maofisini)

- Kutumia nguvu nyingi wakati wa kujifungua

- Kufanya ngono kinyume na maumbile

- Choo kigumu (constipation) mara kwa mara

- Kutumia vyoo vya kukaa bila kujisaidia kikamilifu

- Kunyanyua vitu vizito au kufanya mazoezi mazito

- Lishe duni isiyo na nyuzi nyuzi (fiber)

---

# # # **DALILI ZA BAWASILI**

- Kuwashwa mara kwa mara sehemu ya haja kubwa

- Maumivu makali wakati wa kujisaidia

- Kutoka damu wakati wa haja kubwa

- Kuota kinyama ndani au nje ya tundu la haja kubwa

- Kukosa hamu ya tendo la ndoa, kushindwa kukaa vizuri, au kupungua nguvu za kiume

---

# # # **MADHARA YA BAWASILI**

- Upungufu wa damu kutokana na kutokwa na damu mara kwa mara

- Kudhoofika kwa mwili na kinga ya mwili

- Kukosa hamu ya tendo la ndoa au nguvu za kiume

- Kuathirika kisaikolojia (msongo, huzuni)

- Kupoteza uwezo wa kujizuia kujisaidia
- Hatari ya kupata saratani ya utumbo mpana

---

# # # **SULUHISHO SALAMA BILA UPASUAJI**
Watu wengi hupelekwa hospitali kwa ajili ya upasuaji wa bawasili, lakini ukweli ni kwamba ugonjwa huu mara nyingi hurudi tena hata baada ya upasuaji.

**Habari njema ni kwamba sasa kuna bidhaa asilia, salama na zenye nguvu ya kuondoa kabisa uvimbe wa bawasili bila haja ya upasuaji.** Bidhaa hizi husaidia:

- Kupunguza uvimbe kwa haraka
- Kuponya mishipa iliyopasuka
- Kupunguza maumivu na kuwashwa
- Kurudisha afya ya mfumo wa haja kubwa

---

# # # **JE UNASUMBULIWA NA BAWASILI?**
Usikubali kuishi na maumivu au aibu. Wasiliana nasi kwa ushauri na tiba salama.

**Dr Honoratha*
**Mawasiliano: Whatsapp 0656786572**
kawaida ๐Ÿ“ž 0621886572

28/11/2025

๐Ÿ”ฅ *UNATESWA NA BAWASIRI?*
(Ya ndani au ya nje?)
โœจ Maumivu wakati wa choo?
โœจ Kuvuja damu au kuwashwa?
โœจ Kuwepo kwa uvimbe sehemu ya haja kubwa?

*Usiogope, usione haya.*
*Bawasiri inatibika!*

๐Ÿฉบ *๐ก๐จ๐ง๐จ๐ซ๐š๐ญ๐ก๐š ๐ก๐ž๐š๐ฅ๐ญ๐ก ๐œ๐š๐ซ๐ž* tunakuletea *tiba za asili zisizo na madhara*, zenye matokeo ya haraka!
โœ… Hupunguza maumivu
โœ… Hukausha uvimbe
โœ… Husaidia mfumo wa choo kuwa laini

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi kwa haraka:
๐Ÿ“ฒ *+255 656 786 572

 # # # **UJUE UGONJWA WA BAWASILI (HEMORRHOID)**  **Dalili, Madhara na Suluhisho Bila Upasuaji****Bawasili** ni hali ya ...
27/11/2025

# # # **UJUE UGONJWA WA BAWASILI (HEMORRHOID)**

**Dalili, Madhara na Suluhisho Bila Upasuaji**

**Bawasili** ni hali ya kuvimba kwa mishipa midogo ya damu (vena) inayozunguka eneo la tundu la haja kubwa. Mishipa hii inapovimba, husababisha vimbe au vinyama kuota katika eneo hilo, na mara nyingine kupasuka na kutoa damu. Hali hii huweza kusababisha maumivu, usumbufu mkubwa na hata kuathiri maisha ya ndoa au afya ya akili.

---

# # # **AINA ZA BAWASILI**

1. **Bawasili ya Ndani** โ€“ Hutokea ndani ya tundu la haja kubwa.
2. **Bawasili ya Nje** โ€“ Huonekana k**a uvimbe au kinyama nje ya tundu la haja kubwa.

---

# # # **CHANZO CHA BAWASILI**

- Kukaa kwa muda mrefu bila kusimama (madereva, maofisini)

- Kutumia nguvu nyingi wakati wa kujifungua

- Kufanya ngono kinyume na maumbile

- Choo kigumu (constipation) mara kwa mara

- Kutumia vyoo vya kukaa bila kujisaidia kikamilifu

- Kunyanyua vitu vizito au kufanya mazoezi mazito

- Lishe duni isiyo na nyuzi nyuzi (fiber)

---

# # # **DALILI ZA BAWASILI**

- Kuwashwa mara kwa mara sehemu ya haja kubwa

- Maumivu makali wakati wa kujisaidia

- Kutoka damu wakati wa haja kubwa

- Kuota kinyama ndani au nje ya tundu la haja kubwa

- Kukosa hamu ya tendo la ndoa, kushindwa kukaa vizuri, au kupungua nguvu za kiume

---

# # # **MADHARA YA BAWASILI**

- Upungufu wa damu kutokana na kutokwa na damu mara kwa mara

- Kudhoofika kwa mwili na kinga ya mwili

- Kukosa hamu ya tendo la ndoa au nguvu za kiume

- Kuathirika kisaikolojia (msongo, huzuni)

- Kupoteza uwezo wa kujizuia kujisaidia
- Hatari ya kupata saratani ya utumbo mpana

---

# # # **SULUHISHO SALAMA BILA UPASUAJI**
Watu wengi hupelekwa hospitali kwa ajili ya upasuaji wa bawasili, lakini ukweli ni kwamba ugonjwa huu mara nyingi hurudi tena hata baada ya upasuaji.

**Habari njema ni kwamba sasa kuna bidhaa asilia, salama na zenye nguvu ya kuondoa kabisa uvimbe wa bawasili bila haja ya upasuaji.** Bidhaa hizi husaidia:

- Kupunguza uvimbe kwa haraka
- Kuponya mishipa iliyopasuka
- Kupunguza maumivu na kuwashwa
- Kurudisha afya ya mfumo wa haja kubwa

---

# # # **JE UNASUMBULIWA NA BAWASILI?**
Usikubali kuishi na maumivu au aibu. Wasiliana nasi kwa ushauri na tiba salama.

**Dr Honor
**Mawasiliano: 0656786572

UONAPO DALOLO.HIZI USIPUUZIE PATA MATIBABU MAPEMA
27/11/2025

UONAPO DALOLO.HIZI USIPUUZIE PATA MATIBABU MAPEMA

Chanzo kikubwa cha bawasiri ni MFUMOM'BOVU WA CHAKULA ambao hupelekea kuwa na choo kigumu au Kuharisha ambako kunapeleke...
27/11/2025

Chanzo kikubwa cha bawasiri ni MFUMO
M'BOVU WA CHAKULA ambao hupelekea kuwa na choo kigumu au Kuharisha ambako kunapelekea bawasiri watu wengi wakipata bawasiri hutaka KUIONDOA bila KUREKEBISHA MFUMO WA CHAKULA ambao ndio chanzo kikuu,
*Bawasiri ni matokeo ya kuwa na mfumo m'baya wa mmeng'enyo wa chakula*

_Zifuatazo ni dalili zinazoonesha mfumo wako wa chakula una matatizo na unaweza kupata bawasiri:_

๐Ÿ“Unapata choo kigumu mara kwa mara
๐Ÿ“Unapata gesi tumboni na tumbo lina unguruma mara kwa mara
๐Ÿ“Ukila kidogo tu unashiba
๐Ÿ“Hupati choo kwa wakati

*Hizi ni sababu zinazoonesha mfumo wako wa chakula umeyumba lazima urekebishwe ili usipate bawasiri au k**a umepata bawasiri kabla ya kuiondoa hakikisha mfumo wako wa chakula upo sawa๐Ÿค,,,*

Nimewasaidia watu wengi kuondokana na changamoto iyo chukua namba yangu nikusaidie leo

๐Ÿ“ž0656786572

 #  # #The day today in A town ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
07/11/2024

# # #
The day today in A town ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Jifunze kutokana na makosa, na uyatumie k**a ngazi za mafanikio. Kila kushindwa ni darasa la mafanikio ya baadaye
30/10/2024

Jifunze kutokana na makosa, na uyatumie k**a ngazi za mafanikio. Kila kushindwa ni darasa la mafanikio ya baadaye

Address

Arusha Kalolen
Arusha

Telephone

+255656786572

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Maridhawa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Afya Maridhawa:

Share