28/02/2023
CeraVe product 236 mls zipo
📌 CeraVe product ni nzuri sana yakupaka usoni na mwilini, na hii inawafaa wenye ngozi zote za mafuta na kavu sana wale wenye ngozi kafu ambayo inapauka kila wakati.
📌Inafanya uwe na ngozi safi na yenye utelezi. 📌Inatakatisha na siyo kuchubua.
📌Inakupa kutereza mwili mzima
📌Inaondoa kabisa madoa yoyote mwilini or sugu or weusi
📌Inafanya ngozi ing’ae na kuwa nyororo 📌Inaondoa rough and dry skin .
📌 CeraVe product zina rudisha ngozi ziliyochoka na mikorogo.
📌Ngozi kavu sana zile ambazo zinasinyaa CeraVe cream or lotion zitafanya ngozi iwe sawa kwa mda mfupi ata wale wenye ngozi za mafuta zitawapa muonekano nzuri wa haraka 💥
Cleanser 236 mls tsh. 40,000
Lotion 236 mls tsh. 50,000
Cream 236 mls tsh. 50,000
WhatsApp 0719975087
Tunapatikana Arusha tunatuma mizigo ndani na nje ya Tanzania Kwa uwaminifu kabisa
Karibuni jessybeauty store kwa vipodozi original kabisa kutoka UK na korea