08/05/2026
Jumamosi hii Mei 09 | Kuanzia Saa 3:00 Usiku | Intagram LIVE Session
Hair Loss After 30.. Sio umri tu… ni afya ya ngozi ya kichwa na pengine kuna kinachoendelea ndani ya mwili wako.” jibu lako linaweza kuwa hewani kesho! Kwa wale tuliopo mbali hii session sio ya kukosa
Jiunge nasi kwa Q&A ya moja kwa moja 🔥
👉 Tag rafiki, yako unaehisi anahitaji session hii, like, share, comment
NYWELE ZENYE AFYA HUANZA NA WEWE
📝Jumamosi hatutakua wazi, Tunawatakia jmosi njema, Tutakua wazi tena J2, Tuendelee kujiandaa kwa Workshop yetu ya Hair recovery for mothers, itakayofanyika jpili - Njiro nanenane sa 7mchana