KAM Pharmacy

KAM Pharmacy Huduma Zetu:

1. Vipodozi aina zote (Lotion, Perfume, Mafuta)

2. Dawa aina zote

3. Ushauri wa Daktari bure

4. Location:
1. Kamextra Chunya Mjini: Kibaoni

2.

Kuunganishwa na Daktari bingwa kwa wenye uhitaji bure. Kamextra Makongolosi: Round about

26/08/2026

Karibu Kamextra Pharmacy kwa huduma bora na za kisasa.

‎Tunapatikana:
‎1. Chunya mjini
‎2. Makongolosi
‎3.Itumbi

‎Tupigie: 0757267885

‎ 🤣🤣

26/08/2026

Tar 22/08/2026 tuliendesha zoezi la uchangiaji damu maeneo ya Itumbi Chunya. Tunashukuru kwa ushirikiano tuliopewa na Ofisi ya Mganga Mkuu wa Wilaya Chunya.

Tujenge. utaratibu wa kichangia damu kwa hiari kwani damu haiuzwi wala haitengenezwi. Changia damu Okoa Maisha.

Imedhaminiwa:
Kamextra Pharmacy
Dr Kamugisha Investment

24/08/2026

Karibu Kamextra Pharmacy
Itumbi Branch kwa Huduma Bora za Afya na Vipodozi

Karibu tukuhudumie❤🙏
09/08/2026

Karibu tukuhudumie❤🙏

08/08/2026

Heri ya Sikukuu ya Nanenane❤️
Tupigie: 0757267885

Address

Kibaoni
Chunya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KAM Pharmacy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share