Vinnahlicious_afya point

Vinnahlicious_afya point MTAALAMU WA AFYA

�UZAZI KE&ME
� UTI SUGU
� FANGASI
� VIDONDA VYA TUMBO
� MIFUPA n.k

K**A HUPATI UJAUZITO (Infertility) JIULIZE MASWALI YAFUATAYO👇✍️ Je, mzunguko wa siku zako upo vizuri?✍️ Je, unapata maka...
08/02/2024

K**A HUPATI UJAUZITO (Infertility) JIULIZE MASWALI YAFUATAYO👇
✍️ Je, mzunguko wa siku zako upo vizuri?
✍️ Je, unapata makali wakati wa hedhi?
✍️ Je, una uvimbe kwenye KIZAZI?
✍️ Je, unapata siku zako vile inavyotakiwa, yani mzunguko wa siku zako upo sawa?
✍️ je, unapata Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa?
✍️ Je, Ulishawahi kutoa ujauzito?
✍️ Je, unapata Maumivu ya tumbo chini ya kitovu upande wa kushoto na kulia?
✍️ Je, unatokwa na uchafu aina yoyote Ile ukeni?
✍️ Je, huwa haupati Ute wa Uzazi siku za hatari?
✍️ Je, umeshawahi kuugua PID (Mashambulizi ya bacteria kwenye kizazi)?

🌹K**a jibu ni ndio, kwa sababu yoyote tajwa hapo juu. Basi tambua hiyo NDIYO sababu inayokuchelewesha kupata ujauzito.

KWA TIBA NA USHAURI ZAIDI
Nipigie/WhatsApp
☎️ +255(0)719666364

 #0719666364 call/Whatsapp
21/01/2024

#0719666364 call/Whatsapp

Jiunganishe na hizi baraka .... Mwaka huu upate hitaji la moyo wako
20/01/2024

Jiunganishe na hizi baraka .... Mwaka huu upate hitaji la moyo wako

20/01/2024
 #0719666364 Whatsapp/call
20/01/2024

#0719666364 Whatsapp/call

Jifunze
23/12/2023

Jifunze

Karibu upate suluhisho, na urejeshe heshima yako meanaume
10/10/2023

Karibu upate suluhisho, na urejeshe heshima yako meanaume

MVURUGIKO WA HOMONI ( HORMONE IMBALANCE)⭕ Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua  kwa vi...
30/09/2023

MVURUGIKO WA HOMONI ( HORMONE IMBALANCE)

⭕ Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapopata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%.

VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI
🔶 Uwepo wa sumu mwilini
🔶 Unbalanced lifestyle (mfumo mbovu wa maisha)
🔶 Kukoma kwa hedhi
🔶 Uzito mkubwa
🔶 Mabadiliko ya mazingira
🔶 Msongo wa mawazo
🔶 Upungufu wa lishe mwilini
🔶 Matumizi ya njia za kisasa za UZAZI wa mpango
🔶 Abortion (Utoaji mimba)
🔶 Ongezeko la homoni ya Androgen (kuita ndevu, sauti K**a mwanaume).

DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI
🔘 Uke kuwa mkav7
🔘 Maumivu wakati wa tendo la ndoa
🔘 Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
🔘 Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa mda mrefu unaozidi siku 7. ( Heavy bleeding, au kujaza Pedi moja kwa saa moja
🔘 Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi.
🔘 Uchovu wa Mara kwa Mara
🔘 Kuharibika kwa Ngozi ( chunusi, vipele ..)
🔘 Kupata hedhi wakati wa ujauzito
🔘 Kuongeza kwa tumbo na nyama uzembe
🔘 Maumivu ya kichwa Mara kwa Mara

USIENDELEE KUTESEKA, SULUHISHO LIPO KWA KUTUMIA TIBA ASILIA KABISA ZISIZO NA KEMIKALI SUMU

#0719666364 Call/WhatsApp

PID ni ugonjwa hatari Sana, Tibu sasa #0719666364
28/09/2023

PID ni ugonjwa hatari Sana, Tibu sasa
#0719666364

Kitunguu swaumu u napokitumia asubuhi bila chochote tumboni kina faida zifuatazo⭕ Kuzuia bacteria kwenye kinywa⭕ Kuzuia ...
23/09/2023

Kitunguu swaumu u napokitumia asubuhi bila chochote tumboni kina faida zifuatazo

⭕ Kuzuia bacteria kwenye kinywa
⭕ Kuzuia meno kuharibika
⭕ Kuimarisha mfumo wa tumbo
⭕ Kuboresha uwezo wa tumbo kusaga chakula
⭕ Kuimarisha mzunguko wa chakula tumboni

🍃 Vipi K**a utakunywa kitunguu swaumu na maji moto, zipi faida zake🍃

-Huyeyusha mafuta tumboni
-Hutibu magonjwa ya minyoo tumboni
-Kusaidia kutibu Typhoid ya tumbo
-Kuzuia matatizo ya kifua
-Kuongeza uwezo wa nguvu za kiume

🍃Vipi K**a utamix kitunguu swaumu na tangawizi🍃

♦️Husaidia magonjwa ya upumuaji
♦️ Huimarisha uwezo wa kuhema
♦️ Huondoa matatizo presha ya damu
♦️ Hushusha pesha

🍃Vipi K**a utamix kitunguu swaumu na Asali

🔷 utakuwa unatibu magonjwa 24 yasiyo kuwa na jina sababu hayajatambuliwa
🔷 Utaongeza mbegu za kiume
🔷 Kutaongezeka Virutubisho kwenye mapafu
🔷 Utazuia vikohozi na vumbi kwenye mapafu

Umejifunza kitu, Save post hii itakusaidia kwa matumizi

#0719666364 Call/WhatsApp

K**a unapenda Afya yako ya UZAZI Usikubali kubaki na hili tatizo.Tunayo package kwa 20,000/= tu unaenda kumaliza tatizo....
23/09/2023

K**a unapenda Afya yako ya UZAZI Usikubali kubaki na hili tatizo.
Tunayo package kwa 20,000/= tu unaenda kumaliza tatizo.

#0719666364 call/WhatsApp

Address

Mwenge
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vinnahlicious_afya point posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share