Ma Stacy's

Ma Stacy's Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ma Stacy's, Medical and health, Ilala Dar es salaam, Dar es Salaam.

UNGA WA MBEGU ZA PARACHICHI  KARIBU SANAπŸ₯‘πŸ₯‘πŸ₯‘πŸ₯‘πŸ₯‘πŸ₯‘πŸ₯‘
03/08/2021

UNGA WA MBEGU ZA PARACHICHI KARIBU SANAπŸ₯‘πŸ₯‘πŸ₯‘πŸ₯‘πŸ₯‘πŸ₯‘πŸ₯‘

03/08/2021

Unga wa mbegu za parachichi ni tiba tosha ya matatizo yako ,tumia vitu vya asili ili kupambana na matatizo yanayoshambulia afya yako

Umuhimu wa unga wa mbegu za parachichi ni:-
1.Hutibu na kuzuia shinikizo la damu.

2.Hupunguza ukali wa malazi yatokanayo na Moyo.

3.kukuza kuimarisha kinga ya mwili.

4.kuboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.

5.Huuwa na kuzuia uzalishaji wa vijidudu vienezavyo Saratani mwilini.

6.Kupunguza unene.

7.Kurutubisha ngozi na kufanya iwe na muonekano mzuri.

8.kutibu maumivu ya mifupa,kiuno na misuli

9.VIdonda vya tumbo n.k
Karibu sana

Address

Ilala Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
-

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ma Stacy's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share