Imarisha Afya yako Leo

Imarisha Afya yako Leo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Imarisha Afya yako Leo, Medical and health, 3000, Dar es Salaam.

JINSI UUME UNAVYOSIMAMA 👉Katika uume kuna chembe yenye mishipa laini sana ambayo ndio huufanya uume uweze kusimama. Mish...
05/06/2022

JINSI UUME UNAVYOSIMAMA
👉Katika uume kuna chembe yenye mishipa laini sana ambayo ndio huufanya uume uweze kusimama. Mishipa hii ipo k**a sponji hivyo huweza kutanuka na kusinyaa. Damu inapoingia ndani ya mishipa hii huufanya uume kusimama na kuwa mgumu k**a msumari. 👉Damu inapoendelea kuhifadhiwa ndani ya mishipa hii wakati wa tendo la ndoa huufanya uume uendelee kusimama -Mwanaume unapopatwa nawazo la kufanya tendo la ndoa mishipa ya fahamu iliyo kwenye ubongo hupeleka ishara kwenye uti wa mgongo ambao nao hufikisha taarifa kwenye mishipa ya uume.
👉Taarifa ikishafika kwenye mishipa ya uume, huifanya mishipa ya uume kutanuka na mishipa ya uume inapotanuka hufanya mambo makuu mawili:-
1. Kwanza hufanya mishipa ya ateri kufunguka hivyo kufanya damu kutiririka kwa kasi sana na kuingia kwenye mishipa ya uume. -(Mishipa ya ateri ndio inayotumika k**a njia ya kuingiza damu kwenye uume. Bila mishipa ya ateri kuwa imara na yenye afya damu haiwezi kuingia kwenye mishipa ya uume, na damu isipoweza kuingia kukaa kwenye mishipa ya uume, basi uume hauwezi kusimama ).
2. Pili -Huibana mishipa ya vena na hivyo kuzuia kunyonya damu kutoka kwenye uume na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili. Matokeo yake kuufanya uume uendelee kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.
NB: kazi kubwa ya mishipa ya neva iliyokaribu na mishipa na mishipa ya uume ni kunyonya damu kutoka ndani ya mishipa ya uume kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili. -Mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa ya uume uliosimama. -Kadri damu inavyozidi kuingia ndani ya mishipa ya uume ndivyo unavyozidi kuwa mgumu na kukak**aa. -Na kadri damu inavyohifadhiwa ndani ya mishipa ya uume ndivyo uume unavyoendelea kusimama wakati wa tendo la ndoa kwa muda mrefu. Baada ya kumaliza kufanya tendo la ndoa, mishipa ya uume inarudi katika hali yake ya kawaida (inanyauka) ikisha nyauka, mishipa ya ateri inanyauka pia, vena zinafunguka na kunyonya damu katika mishipa ya uume na kuirejesha katika sehemu nyingine za mwili na hatimaye uume hurudi katika hali ya kawaida ( Flaccid ).

K**a Una changamoto yoyote kuhusu swala la kusimama Kwa uume usisite tupigie simu au tuma neno KIUME kwenda WhatsApp +255762497846 kwa ushauri zaidi.

MWANAUME ZINGATIA HAYA;Katika maisha ya kila siku kutokana na vyakula,mtindo mbovu wa maisha n.k mwanaume unawez jikuta ...
09/04/2022

MWANAUME ZINGATIA HAYA;
Katika maisha ya kila siku kutokana na vyakula,mtindo mbovu wa maisha n.k mwanaume unawez jikuta umepungukiwa nguvu za kiume na ukajiuliza umepungukiwa namna gani? Wanaume wengi nliokutana nao na wengine wamekuwa wakinipigia simu wakisema “mimi sina tatizo la nguvu za kiume ila nawahi kufika kileleni” wengine wakisema “ mimi niko sawa sawa ila tu nakosa hamu ya tendo la ndoa,wengine wanasema mimi tatizo langu ni kuwai kufika kileleni lakini nikifika nashindwa kuendelea na tendo. UKWELI WA MAMBO NI KWAMBA;
💥K**a unakosa hamu ya tendo la ndoa, una tatzo la nguvu za kiume .
💥.K**a uume hausimami barabara , una upungufu wa nguvu za kiume
💥K**a uume unasimama na kulegea kwa muda mfupi au kwa mwanamke fulani unafanya nae sawasawa ila kwa mwingine mambo hayaendi sawa, basi una tatzo la nguvu za kiume.
💥K**a uume wako hulegea tu muda mfupi baada ya kuingia ukeni, una tatizo la nguvu za kiume
💥.K**a unasikia maumivu wakati wa tendo na wakati uume ukisimama una tatzo na nguvu za kiume
💥.K**a unashindwa kutoa mbegu (shahawa) au unatoa mbegu nyepesi una tatzo la nguvu za kiume
💥.K**a unashindwa kurudia tendo mara ya pili una tatizo kubwa la nguvu za kiume
💥.K**a unashindwa kufika kileleni wakati ukiendelea na tendo una tatizo kubwa la ukosefu wa nguvu za kiume. Ndugu yangu k**a una baadhi au unahisi una dalili za kuwa na matatizo yaliyoainishwa hapo juu basi nakushauli uchukue hatua haraka sana, hii ni kwa sababu kuchelewa kwako kutakufanya hapo baadae tatizo liwe kubwa zaidi na huenda ukashindwa kulitibia au ukaja kulitibia kwa gharama kubwa zaidi ya ile iliyotakiwa. LAKINI KABLA HUJACHUKUA HATUA YA KUJITIBU ZINGATIA HAYA; i.Kubali kuwa unatatizo na usijione huna tatizo kumbe unalo litakuwa kubwa zaidi ukilipuuzia na utajilaumu baadae. ii.Thamini afya yako ya mwili na akili iii.Vijue vyanzo vya tatzo lako maana ukishajua chanzo umepiga hatua kubwa katika matibabu TIBA NA USHAURI Call/What'sApp +255 627 362 567

Kila baada ya kumaliza, alipatwa na hasira kwa kuwa alipohitaji zaidi sikuwa na uwezo wa kuendelea.Nilipatwa na msongo m...
06/04/2022

Kila baada ya kumaliza, alipatwa na hasira kwa kuwa alipohitaji zaidi sikuwa na uwezo wa kuendelea.
Nilipatwa na msongo mkubwa sana hasa pale zikinijia fikra za kusalitiwa kwani ni ukweli usio na shaka kabisa kuwa sikuwa namtosheleza.
Mwanzoni alinivumilia lakini ilifikia kipindi saikolojia yake iliharibika na tendo halali kabisa la ndoa lilikuwa kero kubwa kwake kwani ilifikia wakati nikihitaji hataki kwakuwa alijua sitofanya chochote zaidi ya kumchafua tu.
Niliumia zaidi pale alipoanza kuniita "Mr Five seconds"
Natambua kuniita hivo hakuwa anafanya utani bali alikuwa anafikisha ujumbe kuwa haridhiki,
Utamsikia anasema, "Mr Five Seconds, Unataka kunipaka shombo?"
Basi hadi hamu yote inaniisha.
Kiukweli niliteseka sana.
Mchezo wa kujichua wakati nipo shule ndio uliosababisha yote hayo
Sikujua kuwa kufanya vile nilikuwa najiandalia madhila makubwa baadae.
Tatizo langu kubwa lilikuwa ni kuwahi kumaliza kabla safari haijafika mwisho.
Nikiupanda tu mnazi dakika mbili nyingi, Chali.
Hali ilizidi kuwa tete baada ya kufika hatua ya kushindwa kusafiri hata kwa dakika moja tu.
Nikaanza kuona dalili zote za ndoa kuvunjika,
Ukifika muda wa kulala akawa anachukua rimoti ananiambia "tangulia kuna tamthilia naifuatilia".
Sikuwa na jinsi, nilianza kujaribu kila kitu nitachosikia kinasaidia kutibu tatizo hili.
Nakumbuka siku moja niliharisha sana baada ya kununua dawa fulani za kimasai lakini mwisho wa yote tatizo liliendelea kubaki pale pale.
Kwa kujaribu jaribu huku nilijikuta natumia pesa nyingi bila mafanikio.
Siku moja wakati naperuzi mtandaoni nikapata jarida moja la kikorea lililotafsiriwa kwa kiingereza ambalo baada ya kulisoma nikapata kitu ambacho kimerudisha heshima ya ndoa yangu kwa usiku mmoja tu.
Sasahivi Baada ya kumaliza nikimgeukia, huniangalia kwa tabasamu nami kwa kujiamini kabisa huwa namuuliza,
vipi unataka tena?
Hakuna anachojibu zaidi ya tabasamu lililojaa bashasha.
Ndoa imeimarika, kazi nafanya Kwa kujiamini zaidi. Karibu whatsup 0627362567 Kwa msaada z

Kila baada ya kumaliza, alipatwa na hasira kwa kuwa alipohitaji zaidi sikuwa na uwezo wa kuendelea. Nilipatwa na msongo ...
06/04/2022

Kila baada ya kumaliza, alipatwa na hasira kwa kuwa alipohitaji zaidi sikuwa na uwezo wa kuendelea.

Nilipatwa na msongo mkubwa sana hasa pale zikinijia fikra za kusalitiwa kwani ni ukweli usio na shaka kabisa kuwa sikuwa namtosheleza.

Mwanzoni alinivumilia lakini ilifikia kipindi saikolojia yake iliharibika na tendo halali kabisa la ndoa lilikuwa kero kubwa kwake kwani ilifikia wakati nikihitaji hataki kwakuwa alijua sitofanya chochote zaidi ya kumchafua tu.

Niliumia zaidi pale alipoanza kuniita "Mr Five seconds"

Natambua kuniita hivo hakuwa anafanya utani bali alikuwa anafikisha ujumbe kuwa haridhiki,

Utamsikia anasema, "Mr Five Seconds, Unataka kunipaka shombo?"

Basi hadi hamu yote inaniisha.

Kiukweli niliteseka sana.

Mchezo wa kujichua wakati nipo shule ndio uliosababisha yote hayo

Sikujua kuwa kufanya vile nilikuwa najiandalia madhila makubwa baadae.

Tatizo langu kubwa lilikuwa ni kuwahi kumaliza kabla safari haijafika mwisho.

Nikiupanda tu mnazi dakika mbili nyingi, Chali.

Hali ilizidi kuwa tete baada ya kufika hatua ya kushindwa kusafiri hata kwa dakika moja tu.

Nikaanza kuona dalili zote za ndoa kuvunjika,

Ukifika muda wa kulala akawa anachukua rimoti ananiambia "tangulia kuna tamthilia naifuatilia".

Sikuwa na jinsi, nilianza kujaribu kila kitu nitachosikia kinasaidia kutibu tatizo hili.

Nakumbuka siku moja niliharisha sana baada ya kununua dawa fulani za kimasai lakini mwisho wa yote tatizo liliendelea kubaki pale pale.

Kwa kujaribu jaribu huku nilijikuta natumia pesa nyingi bila mafanikio.

Siku moja wakati naperuzi mtandaoni nikapata jarida moja la kikorea lililotafsiriwa kwa kiingereza ambalo baada ya kulisoma nikapata kitu ambacho kimerudisha heshima ya ndoa yangu kwa usiku mmoja tu.

Sasahivi Baada ya kumaliza nikimgeukia, huniangalia kwa tabasamu nami kwa kujiamini kabisa huwa namuuliza,

vipi unataka tena?

Hakuna anachojibu zaidi ya tabasamu lililojaa bashasha.
Ndoa imeimarika sas
0627362567

Address

3000
Dar Es Salaam

Telephone

+255627362567

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Imarisha Afya yako Leo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Imarisha Afya yako Leo:

Share