Jiponye afya herbs

Jiponye afya herbs Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jiponye afya herbs, Health & Wellness Website, makumbusho, Dar es Salaam.

KARIBU TUKUSAIDIE KUTATUA CHANGAMOTO ZA AFYA KAMA ACID REFLUX, VIDONDA VYA TUMBO , UZAZI NA HEDHI , NGUVU ZA KIUME , MIFUPA NA MENGINEYO KWA NJIA RAHISI NA SALAMA.

22/08/2026
16/08/2026

🚨 MAANA HALISI YA KUKOSA CHOO ( CONSTIPATION)🚽
⚠️ IKIWA UNAKULA MARA MBILI AU TATU KWA SIKU, NA HUPATI CHOO WALAU MARA 2, BASI UJUMBE HUU NI MUHIMU SANA KWAKO 📢
🚽 Kukosa choo au haja kubwa ni nini?
Ni hali ya kukaa zaidi ya masaa 24 bila kupata choo au haja kubwa.
Kawaida unapaswa choo kingi kulingana na chakula ulichokula ndani ya masaa 12 hadi 24. ⏰
🍽️ Fahamu unapokula chakula:
Chakula hukaaa kwenye tumbo kwa masaa 3.
➡️ Saa moja baadae chakula hiko huamia kwenye utumbo mwembamba ambapo vitamins na protin huchukuliwa.
➡️ Na baadae chakula hiko huamia kwenye utumbo mpana ambapo majimaji na chumvi hufyonzwa na hapo chakula hiko ubakia k**a takataka tayari kwa kutolewa nje. 🚽
Tunafahamu chakula kilichopikwa huaribika au kuoza baada ya masaa kadhaa, basi hali hiyo pia hutokea kwenye tumbo lako.
Chakula ulichokula huoza na kuwa takataka na kisipotelewa huleta madhara kwenye mfumo wa chakaula. ⚠️
🚨 MADHARA UNAYOWEZA KUYAPATA IKIWA UTAKOSA CHOO KWA MUDA
🔴 Saratani ya utumbo (Colony cancer) ambayo huweza kusababisha utumbo kuoza na kutakiwa kukatwa
❤️ Magonjwa ya moyo
🩸 Kisukari aina ya pili (Diabets)
☠️ Sumu kuzidi mwilini kutokana na damu kufyonza taka zilizopaswa kutolewa
😟 Muonekano mbaya wa ngozi au chunusi kutokea usoni
🩸 Ni chanzo cha ugonjwa wa bawasiri
😮 Kutoa harufu mbaya mdomoni hata ukiswaki
💨 Tumbo kujaa gesi
🔥 Kuzidi kwa Acid au Tindikali ya tumbo
🦴 Maumivu ya viungo
🍽️ Kufeli kwa mmeng’enyo wa chakula
🦠 Kuchochea uwepo wa bacteria wabaya tumboni na kusababisha magonjwa mengi ya tumbo kutokea
🔍 CHANZO CHA TATIZO NI KIPI?
❌ Mtindo mbaya wa maisha (life style)
🍔 Kula vyakula visivyo na ubora
🔥 Ulaji wa chakula venye acid nyingi
🦠 Uwiano mbaya wa bacteria tumboni hivyo kupelekea mmeng’enyo wa chakula kufeli (digestive system failure)
💧 Kutokunywa maji ya kutosha
🚽 Kuzuia hamu ya kwendaa chooni kwa muda mrefu
💡 Kumbuka
99% ya mahitaji ya mwili hasa virutubisho huchukuliwa tumboni hivyo kuwa na changamoto za mmeng’enyo za mfumo wa mmeng’nyo wa chakula hupelekea mwili kukosa mahitaji muhimu na hivyo kuwa chanzo cha magonjwa mbalimbali.
🌿 TUNAKUSAIDIAJE?
JIPONYE AFYA TUNA SULUHISHO LAKO 💚
📞 TUPIGIE AU WHATSAP NAMBA: 0742 25 13 10
💚 JIPONYE AFYA — Afya yako, mtaji wako.

🌿 GASTROFIX – Tiba Asili ya Magonjwa ya Tumbo🚫 Changamoto Unazoweza Kuondokana Nazo: k**a Utachukua Hatua kutumia Gastro...
06/07/2026

🌿 GASTROFIX – Tiba Asili ya Magonjwa ya Tumbo

🚫 Changamoto Unazoweza Kuondokana Nazo: k**a Utachukua Hatua kutumia Gastrofix Leo..
Ni :-
• Vidonda vya tumbo sugu
• Acid Reflux (GERD)
• Kukwama kwa koo baada ya kula
• Maumivu ya tumbo ya mara kwa mara
• Kukosa hamu ya kula
• Constipation (choo kigumu au kuchelewa)

❓Je! Umechoka kuishi kwa maumivu ya tumbo kila siku?

Gastrofix ni tiba ya asili yenye mimea zaidi ya 8 iliyotafitiwa kisayansi, ikilenga kurekebisha mfumo wa mmeng'enyo na kuondoa dalili sugu za tumbo kutoka chanzo, si dalili tu.

✅ Faida Kuu za Gastrofix:

• Hupunguza gesi na kiungulia haraka
• Hutibu vidonda vya tumbo na Acid Reflux
• Hurejesha hamu ya kula na kusaidia choo laini
• Hupunguza maumivu ya tumbo na kukwama kwa koo
• Huimarisha kinga ya utumbo.

✔️ Matokeo ya kudumu
✔️ Detoxification kamili
✔️ Delivery BURE 🚚
✔️ Mwongozo wa lishe buree

Chupa moja ya Vidonge 50 gharama yake ni 23,500

Dozi kamili ni chupa 3 ambapo utazipata kwa elfu 65,000/=

⚡ Stock imebaki chache — ofa inaisha hivi karibuni.

📲 Wasiliana Nasi Sasa:
WhatsApp: 0742 251310

11/06/2026

Waganga wakuu

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jiponye afya herbs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share