Njugu Medical

Njugu Medical Huduma Zote Za afya
kutumia Virutubisho Asili.
�buguruni Ilala Dar es salaam
�+255755677474

11/11/2025

# #@ # la tezi dume bila upasuaji

11/11/2025

# #@ suluhisho la tezi dume bila upasuaji

*FAHAMU JUU YA  TATIZO LA PRESHA YA KUPANDA NA YA KUSHUKA PAMOJA NA MATIBABU YAKE**Magonjwa ya moyo, presha ya kupanda/p...
01/12/2024

*FAHAMU JUU YA TATIZO LA PRESHA YA KUPANDA NA YA KUSHUKA PAMOJA NA MATIBABU YAKE*

*Magonjwa ya moyo, presha ya kupanda/presha ya kushuka/presha.*

*Presha ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu, msukumo huo huzalishwa baada ya moyo kusukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili.*

*Aina za presha.*

*Zipo aina kuu mbili za presha, yaani;*
*1️⃣PRESHA YA KUPANDA*
*2️⃣PRESHA YA KUSHUKA.*

*PRESHA YA KUPANDA.*
*Presha ya kupanda ni msukumo wa damu unaosukumwa na moyo kwenda kwenye vishipa vya damu (artery) kuwa mkubwa kuliko njia ya mishipa hiyo.*
*Presha itaitwa kuwa presha ya kupanda ikiwa iko juu zaidi ya presha ya kawaida ambayo ni 120/80mmHg.Presha yaweza kupanda mpaka kufikia 240/120mmHg.*

*SABABU KUU ZA KUPANDA KWA PRESHA*
*1️⃣Utumiaji wa chumvi nyingi kwenye chakula.*
*2️⃣Unywaji wa pombe/sigara uliokithiri.*
*3️⃣Msongo wa mawazo na kutokufanya mazoezi*
*4️⃣Familia zenye matatizo ya moyo pamoja na kurithi.*
*5️⃣uzito mkubwa,unene na kitambi.*

*DALILI ZA PRESHA KUPANDA*
*1️⃣Kushikwa na kizunguzungu*
*2️⃣Kichefuchefu, tumbo kujaa na kutapika kusiko kwa kawaida*
*3️⃣Kuvimba/kujaa maji kwa miguu,uso na mikono.*
*4️⃣Kutokuona vizuri (kuona ukungu).*

*MADHARA YATOKANAYO NA PRESHA KUPANDA*.
*1️⃣ Uvimbe kwenye kuta za vishipa vya damu/kuziba kwa mishipa ya damu(artery) inayopelekea shambulio la moyo (Heart attack).*
*2️⃣Moyo kushindwa kusukuma damu (Heart failure)*
*3️⃣Kiharusi(stroke)*
*4️⃣ Kuharibika kwa ubongo.*

*Kwa upande mwingine;*

*PRESHA YA KUSHUKA.*
*Presha ya kushuka ni ile hali msukumo wa damu unakuwa mdogo kuliko upana (unene) wa vishipa vya damu hali inayopelekea damu chache kufika kwenye ubongo na viungo vingine vya mwili.*
*Presha ikishuka mpaka kufikia 90/60mmHg kutokea 120/80mmHg inatafsiriwa k**a presha iliyoshuka.*
*Presha ya kushuka huchangiwa hasaa na moja ya sababu zifuatazo;*
*🔘Matatizo ya homoni.*
*🔘Maradhi ya moyo pamoja na maambukizo ya vishipa vya damu.*
*🔘Kisukari.*
*🔘Kubeba Ujauzito.*
*🔘Ukosefu wa virutubisho mwilini k**a vile protini,madini ya chuma,Vitamin B-12 n.k*
*🔘Kushikwa na hasira pamoja na msongo wa mawazo.*
*Na moja ya dalili za presha hii ni k**a vile;*
*🔘Mchoko(udhaifu), mwili kukosa nguvu na kuhisi kizunguzungu*
*🔘Maumivu ya kifua pamoja na homa kali*
*🔘Kupumua kwa shida na moyo kwenda mbio (mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida).*
*🔘Maumivu kwenye kifua, bega la kushoto pamoja na kiwiko cha mkono.*
*Moja ya madhara yanayotajwa* *yatokanayo na presha hii ni mshtuko/kifo cha ghafla kunakotokana na* *viungo vya mwili kutokupata oxygen ya kutosha.*
*Epuka,dhibiti moja ya mambo yafuatayo ikiwa unasumbuliwa na tatizo la presha (aina zote) pamoja na athari zitokanazo na magonjwa ya moyo.*
*✔️Kupata wasaa wa kufanya mazoezi ya viungo, kukimbilia au kuendesha baiskeli (wastani wa dk 45 kwa siku)*
*✔️Epuka matumizi ya sigara, pombe na matumizi mengine ya madawa k**a Heroine*
*✔️Tumia kiasi sahihi cha chumvi, sukari au mafuta kwenye chakula chako(Sikiliza miongozo ya wataalamu).*
*✔️Pata wasaa wa kupumzika (Zaidi ya saa 8 kwa siku)*
*✔️Punguza unene au uzito uriokithiri kwa kutumia veggie veggie & Detoxilive *

*MATIBABU YA PRESHA_TUMIA MICRO2 CYCLE NA PURE & BROKEN KUTIBU NA KUPONA KABSA TATIZO LA PRESHA*

*FAIDA ZA MICRO2 CYCLE TABLETS & PURE*
*● Huzuia Damu kuwa nzito isivyo kawaida*
*● Husaidia damu kuzunguka kwenye mishipa (capillary) kwa urahisi*
*● Ni nzuri kwa kukinga na kuondoa stroki,Pumu,Presha na kupona kabsa*
*● Inasaidia oxygen na virutubisho kusambazwa kwa urahisi /Huzuia KUSINYAA KWA MISHIPA YA DAMU*
*● Huongeza ufanisi wa mwili kuweza kujiponya wenyewe*
*● Huondoa mafuta ya Lehemu( Cholestral)kwenye kuta za mishipa ya damu*
*● Huongeza ufanisi wa macho kuona vizuri*
*● Huzuia kuganda kwa damu*
*● Huondoa maumivu ya miguu yanayotokana na kuziba kwa mishipa midogo.*
*● Huimarisha mfumo wa Neva ...*
*● NZURI KWA WASIOPATA USINGIZI *
*● Nzuri kwa wenye MAUMIVU YA KICHWA MARA KWA MARA*

Kwa tiba au ushauri juu ya afya ya mwili wako
Nicheck whas/call
+255755677474

Mapishi ya Emerald Green Fiber SmoothieViungoVikombe 2 mchicha safi au kabichi (iliyojaa)Ndizi 1 iliyoiva (pamoja na vip...
30/11/2024

Mapishi ya Emerald Green Fiber Smoothie

Viungo

Vikombe 2 mchicha safi au kabichi (iliyojaa)

Ndizi 1 iliyoiva (pamoja na vipande vya ziada vya kupamba)

1 kikombe cha maziwa ya mlozi bila sukari (au maziwa yoyote ya chaguo)

1/2 kikombe vipande vya mananasi vilivyogandishwa

1/2 parachichi (hiari, kwa creaminess)

Kijiko 1 cha mbegu za kitani (pamoja na ziada kwa kupamba)

Kijiko 1 cha mbegu za chia

1/2 kikombe cha mtindi wa Kigiriki (au mbadala wa mimea)

Vipande vya barafu (hiari, kwa unene)

Kijiko 1 cha asali au syrup ya maple (hiari, kwa utamu)

+255755677474

Maagizo

1. Changanya Greens: Ongeza mchicha au kale kwenye blender na maziwa ya mlozi. Changanya hadi laini na hakuna vipande vya majani vilivyobaki.

2. Ongeza Matunda na Mbegu: Ongeza ndizi, nanasi lililogandishwa, parachichi (ikiwa unatumia), mbegu za kitani na chia. Changanya tena hadi kuingizwa kikamilifu.

3. Rekebisha Mchanganyiko: Ongeza vipande vya barafu ikiwa unapenda laini laini au maziwa ya mlozi zaidi ikiwa ni nene sana. Changanya tena kwa ufupi.

4. Tamu Ikihitajika: Onja laini. Ikiwa unapenda tamu zaidi, ongeza asali au syrup ya maple na uchanganye tena.

5.

ALMOND, BANANA, AVOCADO SMOOTHIE WITH HONEY 🍌🥑🍯Ingredients:🍌 1 ripe banana🥑 1/2 ripe avocado🥛 1 cup almond milk🍯 1 table...
18/11/2024

ALMOND, BANANA, AVOCADO SMOOTHIE WITH HONEY 🍌🥑🍯
Ingredients:
🍌 1 ripe banana
🥑 1/2 ripe avocado
🥛 1 cup almond milk
🍯 1 tablespoon honey
🌰 1/4 cup raw almonds (or 2 tablespoons almond butter)
🧊 Ice cubes (optional).
Egonga’s secret drink revealed! Men don't joke with these Fruits to be taken once in a while 😘. +255755677474 call 📞/ whsup

suluhisho la PID +255753767954
27/02/2024

suluhisho la PID
+255753767954

Check out Dr.hassan_malick's video.

Address

Ilala Buguruni
Dar Es Salaam

Telephone

+255755677474

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Njugu Medical posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Njugu Medical:

Shortcuts

Share