07/07/2026
Baadhi ya wanaume huahirisha kuoa kwa hofu ya kutoridhisha mwenza au kwa sababu ya changamoto za afya ya uzazi.
Hali hizo zinaweza kuwa na sababu mbalimbali na ni vyema kutafuta ushauri wa kitaalamu mapema badala ya kuendelea kuishi na hofu.
Usikae kimya. Tafuta ushauri wa kitaalamu ili ujue chanzo cha changamoto yako na hatua zinazofaa kuchukua.
# canada