Koudijs Animal Nutrition - Tanzania

Koudijs Animal Nutrition - Tanzania Koudijs is an organization with a leading position in the Animal nutrition industry, focused on the

Ahsante kwa kututembelea mabanda yetu, msimu wa NaneNane.Endelea kutumia bidhaa kutoka Koudijs kwa matokeo yenye tija ka...
11/08/2026

Ahsante kwa kututembelea mabanda yetu, msimu wa NaneNane.

Endelea kutumia bidhaa kutoka Koudijs kwa matokeo yenye tija katika Ufugaji wako.


www.koudijs.co.tz

08/08/2026

Tunawatakia wakulima na wafugaji wote Nanenane yenye mafanikio na tija zaidi.

Karibu utembelee Mabanda ya Koudijs Dodoma, Arusha, Mbeya na Mwanza.
Utakapotembelea mabanda yetu utakutana na wataalamu , ambapo utapata elimu juu ya chakula bora na ulishaji sahihi kwa matokeo yenye tija katika ufugaji wako.

07/08/2026

Karibu NaneNane, Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma, uweze kupata zaidi ya Chakula.
Wataalamu wetu wapo tayari kukuhudumia.

Je, bado hujafika kwenye Maonesho ya NaneNane?Usikose kutembelea mabanda ya Koudijs katika mikoa ya Dodoma, Arusha, Mwan...
05/08/2026

Je, bado hujafika kwenye Maonesho ya NaneNane?

Usikose kutembelea mabanda ya Koudijs katika mikoa ya Dodoma, Arusha, Mwanza na Mbeya, ambapo utapata fursa ya kujifunza kutoka kwa wataalamu wetu kuhusu lishe bora ya mifugo na mbinu za kuongeza tija kwenye ufugaji wako.
Wataalamu wetu wapo tayari kukuhudumia.

Je, bado hujafika kwenye Maonesho ya NaneNane?Usikose kutembelea mabanda ya Koudijs katika mikoa ya Dodoma, Arusha, Mwan...
05/08/2026

Je, bado hujafika kwenye Maonesho ya NaneNane?

Usikose kutembelea mabanda ya Koudijs katika mikoa ya Dodoma, Arusha, Mwanza na Mbeya, ambapo utapata fursa ya kujifunza kutoka kwa wataalamu wetu kuhusu lishe bora ya mifugo na mbinu za kuongeza tija kwenye ufugaji wako.

Wataalamu wetu wapo tayari kukuhudumia.

TUPO NANENANEKaribu kwenye mabanda yetu msimu huu wa NaneNane ujifunze siri za ufugaji wa kibiashara wenye faida.Utajifu...
02/08/2026

TUPO NANENANE

Karibu kwenye mabanda yetu msimu huu wa NaneNane ujifunze siri za ufugaji wa kibiashara wenye faida.

Utajifunza, jinsi ya kuongeza tija katika ufugaji wako, kupunguza gharama za ulishaji, na mengine mengi.

Tunakusubiri!

15/07/2026

K**a unataka kuku wako watage kwa kiwango cha juu, usisubiri waanze kutaga ndipo uanze kuwajali. Mafanikio ya utagaji hujengwa tangu hatua za mwanzo za ukuaji.

Koudijs tupo nawe, kuhakikisha unapata tija katika mradi wako.

NDAGA FIJO MBEYA🙏🏽Tunapenda kuwashukuru wafugaji wote mliohudhuria Semina ya Ufugaji wa Kuku na Nguruwe kibiashara leo T...
04/07/2026

NDAGA FIJO MBEYA🙏🏽

Tunapenda kuwashukuru wafugaji wote mliohudhuria Semina ya Ufugaji wa Kuku na Nguruwe kibiashara leo Tarehe 4/7/2026, katika ukumbi wa TUGHIMBE, Mbeya

Endelea kutumia bidhaa kutoka Koudijs kwa matokeo yenye tija katika ufugaji wako🔥

Ahsanteni sana.

Address

Vingungguti Vawandani, Ilala Municipal Council
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Koudijs Animal Nutrition - Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share