afya.99

afya.99 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from afya.99, Medical and health, makumbusho, Dar es Salaam.

SULUHISHO LA MARADHI YA MOYO, UZAZI, KISUKARI, VIDONDA VYA TUMBO,KIHARUSI(STROKE) , UZITO MKUBWA NK.�
�Ushauri na Elimu Bure
�Mtindo mzuri wa maisha na
� DAWALISHE(Tiba yauhakika)

K**a una Changamoto ya Ulcers au Vidonda vya tumbo na umejaribu kutumia Dawa mbalimbali pasipo kupona, Tafadhali tuwasil...
23/07/2022

K**a una Changamoto ya Ulcers au Vidonda vya tumbo na umejaribu kutumia Dawa mbalimbali pasipo kupona, Tafadhali tuwasiliane. 0764338612

SULUHISHO LA MARADHI YA MOYO, KISUKARI, VIDONDA VYA TUMBO, KIHARUSI, UZITO MKUBWA NA MATATIZO YA UZAZI KWA VIRUTUBISHO (...
07/12/2021

SULUHISHO LA MARADHI YA MOYO, KISUKARI, VIDONDA VYA TUMBO, KIHARUSI, UZITO MKUBWA NA MATATIZO YA UZAZI KWA VIRUTUBISHO (DAWALISHE)

Dawalishe zetu ni nzuri sana na zinakupa matokeo mazuri ndan ya muda mfupi sanaTupigie  0764338612
07/12/2021

Dawalishe zetu ni nzuri sana na zinakupa matokeo mazuri ndan ya muda mfupi sana
Tupigie 0764338612

Mpangilio wa vyakula ni muhimu Sana katika kujenga Afya Imara kwa kila binadamu. Ni muhimu zaidi pia kwa wagonjwa wenye ...
07/12/2021

Mpangilio wa vyakula ni muhimu Sana katika kujenga Afya Imara kwa kila binadamu. Ni muhimu zaidi pia kwa wagonjwa wenye changamoto tajwa hapo juu ili kuwasaidia kurejesha Afya zao katika Hali ya kawaida na kujisikia Vizuri. Vifuatavyo ni miongoni vya vyakula ambavyo humsaidia Sana Mgonjwa wa Kisukari na wagonjwa wengine kujisikia Vizuri na kupambana na changamoto zao;
🐟Good Proteins; Protini nzuri K**a samaki, dagaa, kuku, choroko, kunde, njegere, mayai ni muhimu na rafiki Sana kwa mgonjwa wa kisukari kuliko nyama nyekundu K**a Mbuzi, Ngo'mbe nak. Pia inashauriwa K**a unakula nyama Bora iwe ya kuchoma kuliko yakukaanga.
🥜🥑 Good fats; Hivi ni vyakula vyenye Mafuta mazuri ambayo hayagandi mwilini kwa urahisi mfano Korosho, Karanga, Almonds, mafuta ya Alizeti, Mzaituni, Mafuta ya N**i na Mafuta yaliyopo kwenye Maparachichi.
🥦🍎🍇 Mbogamboga na matunda aina mbalimbali (Antioxidants) Isipokuwa kwa mgonjwa wa kisukari yapo matunda ambayo sio rafiki kwao K**a Embe mbivu, mananasi na kwa wengine hata Ndizi mbivu huwa zinawaletea shida. Kwahiyo ni muhimu kufuatilia kwa ukatibu kujua matunda gani ukila sukari yako inapanda Sana.
💧Tunashauriwa Kunywa maji mengi ili Kuboresha Metabolism ya mwili angalau Lita 2 Hadi 3 kwa siku.
🍞Kundi jingine la vyakula ni Nafaka zisizokobolewa mfano Dona, Mchele wa Brown, mkate wa Brown, Oatmeal nak.
NB: K**a utalazimika kula wali mweupe hakikisha Portion inakuwa ndogo Sana alafu mbogamboga ziwe nyingi zaidi, Karibia nusu ya sahani ya chakula iwe ni Mbogamboga, Robo wanga na robo protein nzuri.

*UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS) NA SULUHISHO LAKE* *FIBROID NI NINI?*                Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kw...
06/12/2021

*UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS) NA SULUHISHO LAKE*

*FIBROID NI NINI?*
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza HVkuwa ndani ya kizazi (ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama
ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.

*Kuna aina kuu zifuatazo za fibroids:*
1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)
2.intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)
3. Subserosal(nje ya kizaz)

*Watu wafuatao wako hatarini kupatwa na ugonjwa huu fibroids*
1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa
2.miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma
3.kurithi
4.unene
5.kuingia hedhi mapema

Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu huwaga unaongezeka
kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto. Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids.

*Dalili za fibroids*
1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.
2.kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna harufu lakini mwingi na mweupe.
3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa
hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana.
4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.
5.hedhi zisizokuwa na mpangilio
6.maumivu wakati wa tendo la ndoa
7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa
8.maumivu makali wakati wa hedhi

*Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo*

1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo
2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha
mkojo
3.Haja kuwa ngumu
4.miguu kuvimba
5.kupungukiwa damu

Sasa suluhisho lako lipo tuna dawa
ambao imetengenezwa kitalamu katika mfumo wa vidonge na vimetengenezwa kwa mimea baada ya utafiti na majaribio ya kutosha na viwanda vya madawa vikubwa hapa duniani. Utapata suluhisho lako bila madhara kwani ni 100% naturally mimea ambayo
imefanyiwa research.

Hii dawa inaondoa uvimbe bila UPASUAJI na bila madhara k**a donazol. K**a una ndugu au rafiki mwambie suluhisho lipo
na mshilikishe kuokoa afya yake. Call or WhatsApp number 0764338612

Usiwaze dawa zitakufikiaje Hilo ni jukumu letu sisi na Gharama zetu sisi. Wewe lipia tu dozi unayotaka utafikishiwa popo...
06/12/2021

Usiwaze dawa zitakufikiaje Hilo ni jukumu letu sisi na Gharama zetu sisi. Wewe lipia tu dozi unayotaka utafikishiwa popote ulipo Buree iwe dar es salaam au Mkoani.
Vilevile ili kukwepa makato tuna Lipa namba, Kulipa kwa NMB au CRDB. Hakuna kutapeliwa utapata dawazako kwa wakati. Piga hizi namba upate dozi yako Sasa 0764338612

TIBA YA ASILI YA KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO KWA HARAKANi Dawa Malidhawa Kwa kuponya Vidonda Vya Tumbo Aina Nne nazo ni. 1:...
03/12/2021

TIBA YA ASILI YA KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO KWA HARAKA

Ni Dawa Malidhawa Kwa kuponya Vidonda Vya Tumbo Aina Nne nazo ni.
1:Castric Ulcers.
2:Duodenam Ulcers.
3:Peptic Ulcers.
4:Colon Ulcerers.
Magonjwa Mengine ni Gesi na Mchafuko wa Tumbo la chakula,Maumivu,Vichomi Tumboni na Kutapika Damu

WHATSAP/CALL 📞 0764338612

Vidonda vya tumbo(Ulcers) ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi kutokana na staili ya Maisha, Ulaji na Mazingira. Ugonjwa huu kitaalam unasababisha kuwa na michubuko katika kuta za tumbo au utumbo mdogo na hivyo kusababisha maumivu makubwa ya tumbo.

Wakati mwingine vidonda hivi huonekana kati ya tumbo na utumbo mdogo hivyo kitaalam tunaviita PEPTIC ULCERS, aina hii ya vidonda vya tumbo huwaathiri sana Wanaume kuliko wanawake.

DALILI ZA KUWA NA VIDONDA VYA TUMBO

Kuchoka bila sababu maalum
Kuumwa mgongo au kiuno
Kupungukiwa nguvu za kiume
Kizunguzungu
Kukosa Usingizi
Kichefuchefu
Kiungulia
Tumbo kujaa gesi
Tumbo kuwaka moto
Kukosa choo au kupata choo kwa shida
Kutapika nyongo
Kutapika damu au kuharisha
Sehemu za mwili kupata ganzi
Kukosa hamu ya kula
Kusahausahau na hasira bila sababu
Hizo ni baadhi tuu ya dalili za kuwa na vidonda vya tumbo lakini zipo nyingi, hivyo basi pindi uonapo moja kati ya hizo dalili ni vyema ukaenda kupima vidonda vya tumbo mapema.

SABABU KUU ZA KUPATA VIDONDA VYA TUMBO

(1). MSONGO WA MAWAZO(STRESS) : Hii imekuwa sababu kubwa kwa wenye vidonda vya tumbo pindi unapokuwa na msongo wa mawazo au mwili wako unapokosa uwezo mzuri wa kuratibu homoni na vimeng’enya chakula.

Hii itapelekea kuzalishwa kwa wingi Tindikali(Acid) ndani ya tumbo na hivyo kulipelekea ku

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO
Tiba Zetu Ni Bidhaa Za Asili Na Zenye Ubora katika kutibu vidonda vya tumbo na kukupa uhakika kupona kabisa na dawa hiyo ina uwezo wa kutibu vidonda vya tumbo kwa kiwango cha juu na bila kuleta madhara kwa mifumo mingine ya mwili

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when afya.99 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to afya.99:

Share