19/08/2026
MADHARA YA KUTOKA UCHAFU UKENI
๐น Muwasho na kuungua sehemu za siri.
๐น Harufu mbaya kutoka ukeni.
๐น Maumivu wakati wa kukojoa au kujamiiana.
๐น Uvimbe, wekundu au vidonda sehemu za siri.
๐น Usumbufu na kupungua kwa kujiamini katika maisha ya kila siku.
๐น Baadhi ya maambukizi ya uke au magonjwa ya zinaa yasipotibiwa yanaweza kusambaa na kusababisha matatizo ya mfumo wa uzazi.