Jamii afya bora

Jamii afya bora Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jamii afya bora, Medical and health, Jamii afya bora na urembo, Dar es Salaam.

FAHAMU KUUSU P.I.DP.I.D  inflammatory diseaseKwa kifupi P.I.D Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbu...
04/05/2022

FAHAMU KUUSU P.I.D

P.I.D
inflammatory disease
Kwa kifupi P.I.D Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:-
Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi.
ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua. Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanya ngono zembe.
DALILI ZA UGONJWA WA PID
1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
2️⃣Kuwashwa sehemu za siri
3️⃣Uke kutoa harufu mbaya
4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5️⃣Uke kuwa wa ulaini sana
6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi
8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
🔟Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula

MADHARA YA PID
•Ugumba
•Kansa ya shingo ya kizazi
•Mirija ya uzazi kuziba
•Majeraha kwenye mirija ya uzazi

MATIBABU
inatibika na kupona Kwa haraka
Kwa ushauri au tiba ya tatizo hili waweza Fika ofisini kwetu piga simu 0672789066
# P.I.D

N.b - pia maradhi ya mfumo wa uzazi wa mwanamke yamekuwa Mengi ukiona unasumbuliwa na matatizo haya usisite kuwasiliana nasi
* Fungus sugu ukeni
* U.t.i mara kwa mara
* Tatizo la kutopata hedhi kwa wakati
* Maumivu wakati wa hedhi
* Vimbe kwenye kizazi
* Mirija ya uzazi kuziba
* Kutobeba ujauzito
* Kutokwa na uchafu na majimaji yenye harufu ukeni ..

Tiba ipo unapona kabisa bila kujirudia
Kwa mawasiliano zaid na ushari juu ya afya 0672789066

UGONJWA WA KISUKARI: AINA YA KISUKARI, CHANZO, DALILI NA TIBA!Ugonjwa wa Kisukari au (jina la kitaalamu: diabetes mellit...
20/03/2022

UGONJWA WA KISUKARI: AINA YA KISUKARI, CHANZO, DALILI NA TIBA!

Ugonjwa wa Kisukari au (jina la kitaalamu: diabetes mellitus ) ni kundi la magonjwa yanayohusiana na ufanyaji kazi wa mwili ambapo mtu anakuwa na kiwango kikubwa cha sukari aina ya glucose katika mwili kutokana na mwili wake kukosa uwezo wa kutengeneza insulin ya kutosha au seli za mwili wake haziwezi kutumia insulin iliyopo au pengine mwili kuwa na matatizo yote mawili kwa pamoja. Mgonjwa wa kisukari hupata haja ndogo mara kwa mara (polyuria), kusikia kiu kila wakati (polydipsia) na njaa (polyphagia).

AINA ZA KISUKARI

Kuna aina chache tofauti za ugonjwa wa kisukari:
▪Aina ya ugonjwa wa kisukari ya kwanza ni ugonjwa wa auto. Mfumo wa kinga unashambulia na huharibu seli katika kongosho, ambako insulini inafanywa. Haijulikani kinachosababisha mashambulizi haya. Kuhusu asilimia 10 ya watu wenye ugonjwa wa kisukari wana aina hii.

▪Aina 2 ya ugonjwa wa kisukari hutokea wakati mwili wako unakuwa sugu kwa insulini, na sukari hujenga katika damu yako.
Hutokea wakati sukari yako ya damu ni ya juu zaidi kuliko kawaida.
Homoni za kuzuia insulini zinazozalishwa na placenta husababisha aina hii ya ugonjwa wa kisukari. Ni hali tofauti ambayo figo yako huondoa maji mengi sana kutoka kwenye mwili wako.

Kila aina ya ugonjwa wa kisukari ina dalili za kipekee, sababu, na matibabu. Jifunze zaidi kuhusu jinsi aina hizi zinavyotofautiana.
Dalili za ugonjwa wa kisukari

CHANZO CHA UGONJWA WA KISUKARI

Viko vyanzo mbalimbali, navyo ni

1. Shinikizo la juu la damu (B.P)
2. Viwango vya juu vya triglyceride (Mafuta)
3. Lishe yenye Mafuta mengi na Wanga
4. Utumiaji mkubwa wa Pombe
5. Ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi
6. Mtindo wa maisha usiofaa kiafya
7. Uzito na unene uliozidi
8. Kutoushughulisha mwili
9. Umri
10. Kurithi

DALILI ZA MTU MWENYE KISUKARI

Dalili ya ugonjwa wa kisukari husababishwa na sukari ya damu.
Dalili za jumla

Dalili za jumla za ugonjwa wa kisukari ni pamoja na:

1. Njaa iliyoongezeka
2. Kiu kikubwa
3. kupungua uzito
4. Kukojoa mara kwa mara
5. Maono machafu
6. Uchovu uliokithiri
7. Vidonda ambavyo haviponi
8. Inaweza pia kusababisha maambukizi ya mara kwa mara. Hii ni kwa sababu viwango vya juu vya glucose hufanya iwe vigumu kwa mwili kuponya na kinga ya mwili kushuka.

Dalili katika Wanaume.

Mbali na dalili za jumla za ugonjwa wa kisukari, wanaume wenye ugonjwa wa kisukari wanakuwa na upungufu wa nguvu za kiume au kushindwa kufanya tendo la ndoa (ngono), uume kushindwa kusima/ uharibifu wa erectile (ED), na nguvu za misuli duni.

Dalili kwa wanawake

Wanawake wenye ugonjwa wa kisukari wanaweza pia kuwa na dalili k**a vile maambukizi ya njia ya mkojo (U.T.I, Kichocho, n.k), maambukizi ya chachu, na ngozi kavu.

TIBA YA MAGONJWA YA KISUKARI

Ugonjwa wa Kisukari unatibika kwa hali tofauti, pia kufuatana na muda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakikata tamaa na kuwa wabishi, hii hufanya wagonjwa wengi kupata madhara makubwa au kufa kutokana na kuto kuwa makini na kile tunacho waeleza. Wakati huo wengi huendelea kutumia dawa pamoja na vitu vyenye kemikali na hii hufanya wengi kuendelea kuumwa zaidi. Tiba zinazotumika pamoja Kemikali kali (chemotherapy), mionzi (radiation), au upasuaji (surgery).

DAWA

Tuna dawa ya kutibu Ugonjwa wa Kisukari ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa.

Angalizo: Dawa hiyo hutibu kwa mda mrefu ni programme ya miezi 3; k**a ni tatizo la muda mrefu sana unatakiwa utumie kwa kipindi cha miezi 3 mfululizo, ukianza kutumia baada ya wiki mbili huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao anatakiwa autumie kwasababu kuna mitindo wa maisha inaendelea kuongeza tatizo pia kuna mitindo inapunguza hatari ya ugonjwa. Hizo dawa zinaondoa ugonjwa kabisa k**a ukifuata maelekezo yanayotolea.

Inajulikana kuwa watu wengi hawapendi dawa za muda mrefu wakati wana matatizo ya muda mrefu ambayo ni hatari, ni vigumu kupata dawa ya muda mfupi wakati una ugonjwa wa muda mrefu.

Tunamshukuru Mungu kwa uumbaji wake na kutupa dawa ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya, Mungu hakuumba dawa nyingine zaidi ya mimea na vitu vingine vya asili, japo wengi hudharau.

Mawasiliano:
Kupata ufafanuzi zaidi na tiba. Njoo whatsapp / tuma texts za kawaida 0672789066

UGONJWA WA KIHARUSI : MAMBO MUHIMU KUFAHAMU (STROKE) KIHARUSI (stroke) Kiharusi ni ugonjwa wa dharura na hatari ambao hu...
19/03/2022

UGONJWA WA KIHARUSI : MAMBO MUHIMU KUFAHAMU (STROKE)

KIHARUSI (stroke)
Kiharusi ni ugonjwa wa dharura na hatari ambao hutokea pale seli za ubongo zinapokufa kwa kukosa hewa ya oksijeni na chakula kutokana na kuziba au kupasuka kwa mishipa ya damu kwenye ubongo.

AINA ZA KIHARUSI
Kuna aina kuu mbili za Kiharusi
Kiharusi kinachotokana na kuziba kwa mishipa ya damu ya damu ya ubongo
2. Kiharusi kinachotokana na kupasuka kwa mishipa ya damu ya ubongo
Ukubwa wa tatizo la kiharusi

1. mwaka 2018 kulingana na ripoti maalumu ya Shirika la Afya duniani WHO kuhusu sababu za vifo ilionesha kiharusi kinashika nafasi ya pili kati ya magonjwa yote kwa kusababisha vifo VINGI.
2. Kiharusi husababisha ulemavu kwa wengi: Kiharusi kinashika nafasi ya tatu kati ya visabibishi vya ulemavu duniani. Waathirika wengi huishia kuwa walemavu

DALILI ZA KIHARUSI

1.GANZI
-Mtu anayepata kiharusi hupata ganzi inayoanza ghafla na mara nyingi huathiri upande mmoja wa mwili. Mfano: Upande mmoja wa uso kufa ganzi na kushindwa kuongea vizuri au kutabasamu

2.KUPATA SHIDA KUONGEA
Mgonjwa wa kiharusi hushindwa kuongea vizuri, utoaji wa maneno huwa sio wa kawaida
Mfano: Mgonjwa kushindwa kumaliza sentensi au kuongea k**a amelewa sana
-Pia hali hii huweza kuambatana na kutoka mate(udenda) kwa wingi mdomoni

3.KUSHINDWA KUONA
Mgonjwa wa kiharusi anaweza kushindwa kuona, hali hii hutokea ghafla. Inaweza kuhusisha jicho moja au macho yote mawili.

4.Pia mgonjwa anaweza kupoteza fahamu au kupata degedege

5. Mgonjwa anaweza kushindwa kuzuia haja kubwa au ndogo au vyote viwili

VITU VINAVYOCHANGIA MTU KUPATA KIHARUSI
1. Ugonjwa wa Shinikizo kubwa la damu (presha)
2. Uvutaji sigara
3. Ugonjwa wa kisukari
4. Magonjwa ya moyo hasa ugonjwa wa mtetemo wa moyo (atrial fibrillation)
5. Tatizo la mafuta mengi kwenye damu (Lehemu au cholesterol)
6. Uzito uliopitiliza
7. Unywaji wa pombe uliokithiri
8. Kutokufanya mazoezi

GUNDUA KIHARUSI HARAKA UOKOE MAISHA YA MPENDWA, NDUGU AU JAMAA
Kiharusi ni tatizo la dharura linaloweza kusababisha madhara makubwa ikiwemo kifo au ulemavu k**a mtu asipopata matibabu mapema. Hivyo ni vyema kila mtu akafahamu dalili za kiharusi ili iwe rahisi kuzitambua. na kuchukua hatua mapema.
Ili kurahisha kumbukumbu za dalili za kiharusi kifupisho FAST (Face Arm Speech Time) hutumika k**a ifuatavyo

A-FACE (Uso)
-Angalia k**a upande mmoja wa uso uko tofauti na mwingine. Mwambie mgonjwa. anyanyue kope au akunje ndita au atabasamu. Upande ulioathrika utashindwa kufanya hivyo.

B-HAND. (Mkono)
Mwambie mgonjwa anyanyue mikono juu kwa mbele au juu mara nyingi mkono wa upande ulioathirika hushindwa kunyanyuka au hudondoka unaporudishwa chini.

C-SPEECH (Uongeaji)
Mwambie mgonjwa atamke jina lake, mtu mwenye kiharusi hushindwa kuongea, au huongea k**a. mlevi au hupata shida kutafuta maneno k**a mtu aliyepoteza kumbukumbu

D-TIME (Muda)
Muda ni mali, chukua maamuzi ya kutafuta msaada wa kitabibu haraka maana kadri unavyochelewa ndio kiharusi kinaharibu sehemu muhimu za ubongo

KWA TIBA NASAHA NA USHAURI WASILIANA 0672789066 whatsap/inbox

Address

Jamii Afya Bora Na Urembo
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jamii afya bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share