Tibu Chanzo Care

Tibu Chanzo Care International Accredited Clinical Dietitian 🥗🥗

PIGA +255750229626

13/06/2026
05/06/2026

5 HEALTHY EATING HABITS FOR BETTER YOU!
30/05/2026

5 HEALTHY EATING HABITS FOR BETTER YOU!

    Imeelezwa kuwa kwasasa gharama za kupandikiza figo nchini kupitia Hospitali ya Benjamin Mkapa ni shilingi milioni 75...
21/05/2026

Imeelezwa kuwa kwasasa gharama za kupandikiza figo nchini kupitia Hospitali ya Benjamin Mkapa ni shilingi milioni 75 lakini nje ya nchi ni kati ya shilingi milioni 130 hadi 140.

Wakati huo gharama za kupandikiza Uloto kwa wagonjwa wa Sikoseli au Selimundu hapa nchini ni shilingi milioni 40 huku nje ya nchi ikiwa ni milioni 70 hadi 80.

Hadi sasa wagonjwa 50 wa Sikoseli na wagonjwa 50 wa Figo wanasubiri matibabu ndani ya Hospitali ya Benjamin Mkapa, huku wakiwa hawana uwezo wa kugharamia matibabu hayo.

Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Prof. Abel Makubi leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya miaka 10 ya Hospitali hiyo iliyoanzishwa mwaka 2015.

Usisubiri hali iwe mbaya, tembelea store yetu ijipatie SUPPLEMENTS kwa ajili ya kuboresha FIGO ZAKO

https://www.fukanghealthcare.shop/

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255743303831

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tibu Chanzo Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category