AFYA BORA

AFYA BORA Medicines Supplements

🌿 Bawasiri (Hemorrhoids) ni uvimbe wa mishipa ya damu kwenye njia ya haja kubwa (mkundu). Hutokea ndani au nje ya mkundu...
04/03/2026

🌿 Bawasiri (Hemorrhoids) ni uvimbe wa mishipa ya damu kwenye njia ya haja kubwa (mkundu). Hutokea ndani au nje ya mkundu.

✅ *Sababu za kupata bawasiri*

🍡Kujikaza sana wakati wa kujisaidia (hasa ukiwa na choo kigumu).
Kufunga choo (constipation) mara kwa mara.

🍡Kukaa muda mrefu chooni au kukaa sana bila kusimama.

🍡Lishe isiyo na nyuzinyuzi (fiber) – kula vyakula visivyo na mboga na matunda.

🍡Ujauzito – presha kwenye mishipa ya damu huongezeka.

🍡Unene kupita kiasi.
Kuinua vitu vizito mara kwa mara.

⚠️ *Madhara ya bawasiri*

🍡Maumivu makali wakati wa kujisaidia.
🍡Kutoka damu wakati wa haja kubwa.
🍡Kuwashwa au kuungua mkunduni.
🍡Uvimbe au kitu kutoka nje ya mkundu.
🍡Upungufu wa damu (ikiwa damu inatoka mara kwa mara).
🍡Maambukizi k**a haitatibiwa mapema.

🌱 *Jinsi ya kujikinga (kwa ufupi)*
✅Kula vyakula vyenye nyuzinyuzi nyingi (mboga, matunda).
✅Kunywa maji mengi.
✅Epuka kujikaza chooni.
Fanya mazoezi mara kwa mara.

DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI.Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa y...
04/03/2026

DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI.

Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi kadri umri unavyo songa mbele. Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni k**a vile:
▪️Ukavu ukeni
▫️Maumivu wakati wa tendo la ndoa
▪️Kutoa jasho usiku
▫️Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
▪️Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
▫️Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
▪️Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
▫️ Uchovu wa mara kwa mara
▪️Hasira za mara kwa mara
▫️ Kukosa usingizi
▪️Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
▫️Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula
▪️ Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
▫️Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)
▪️Maumivu ya viungo
▫️Upungufu wa nywele kichwani.
▪️Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
▫️Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
▪️Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
▫️Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi
▪️Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini
▫️Kusinyaa na kupauka kwa ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango
▪️Maumivu ya kichwa mara kwa mara
▫️Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
▪️ Kutokupata choo kwa wakati
▫️Misuli hudondoka.

📱📲 #0753190590

Address

255
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255753190590

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA BORA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AFYA BORA:

Shortcuts

Share