Healthy_linetz

Healthy_linetz TTC & FERTILITY CONSULTATION. Nitakusaidia kuboresha Afya yako ya uzazi na kurejesha usawa wako wa kijinsia. UTASHIKA MIMBA NDANI YA SIKU 30-90.

DAWA LISHE NA MITIDAWA(HERBALS)

.

Are you trying to conceive without any success? We can help you overcome the challenge and hasten the process naturally....
10/06/2026

Are you trying to conceive without any success? We can help you overcome the challenge and hasten the process naturally.

Whatsapp +255766856450
Join our program today. WhatsApp now

Yes there are natural ways of increasing your chances of having an ovulation of more high quality eggs every month and h...
10/06/2026

Yes there are natural ways of increasing your chances of having an ovulation of more high quality eggs every month and helping you increase your chances of conceiving by 70%. You can start using our Fertility boosters package today.
We are committed to helping more than 50 couples to conceive naturally within this month.
Your blessings are around the corner.

Whatsapp +256766856450

twins fertilityjourney WhatsApp now

10/06/2026
10/06/2026

Kila safari ni ya kipekee

Kulinganisha hadithi yako na ya mtu mwingine kunaweza kuiba furaha yako.

Njia yako ni yako mwenyewe.
Muda wako ni wako mwenyewe.
Na hadithi yako bado ni nzuri. 💛

Msaada wa Ugumba
Whatsapp +255766856450 Mimba Peke Yako Wa Kuzaa

10/06/2026

Kwa wanawake HEDHI haipo kwa lengo la kuonekana kila mwezi ili uvae kitambaa chako cheupe na kukufanya uwe mnyenyekevu ndani ya siku kadhaa.

Ikiwa unajaribu kupata mjamzito, au unasumbuka na homoni na matatizo ya kijinsia inaweza kuwa moja ya dalili kuu za uzazi ambazo mwili wako unakupa.
Mzunguko wako wa Hedhi unazungumza kila kitu Kuusikiliza mwili wako ni jambo muhimu.
Je, ni jambo gani linaloudhi zaidi ukiwa katika siku zako za hedhii .
Kwa msaada na mashaurino binafsi.

+255766856450.

10/06/2026

Kwa wanawake HEDHI haipo kwa lengo la kuonekana kila mwezi ili uvae kitambaa chako cheupe nna kukufanya uwe mnyenyekevu ndani ya siku kadhaa.

Ikiwa unajaribu kupata mjamzito, inaweza kuwa moja ya dalili kuu za uzazi ambazo mwili wako unakupa.

Mzunguko wako wa Hedhi unazungumza kila kitu Kuusikiliza mwili wako ni jambo muhimu.

Je, ni jambo gani linaloudhi zaidi ukiwa katika siku zako za hedhii 👇

Kwa msaada na ushauri binafsi
Whatsapp +255766856450.

10/06/2026

Dhamira yetu ni kuwasaidia wanandoa zaidi ya 50 kila mwezi kutimiza malengo yao ya uzazi kwa njia ya asili

Kuna Mpango wa matibabu hujumuisha matumizi ya dawa za uzazi(fertility herbals),matumizi ya virutubisho vya uzazi (fertility supplement),ushauri wa kitaalam na maboresho katika mtindo wa maish na lishe.

K**a Unachangamoto kwenye mfumo wa uzazi yani

✅Kutoshika Ujauzito
✅Homoni imbalance
✅Miwasho,PID,&harufu ukeni
✅Sumu za uzazi wa mapango
✅Uvimbe&mirija kuziba
✅Ute wa uzazi

Basi nimekuwekea na kukuandalia mpango mzuri kwa matibabu waajili ya changamoto hizo

Kwa Ushauri w kitaalam ,usaidizi katika uchaguzi wa dawa za uzazi na virutubisho lishe vya uzazi (Targeted fertility supplement )

Call/Whatsapp +255766856450.

ujauzito tanzania

  mpango wako wa matibabu unajumuisha   matumizi ya dawa  au virutubisho lishe (nutritional supplement)  .huduma zitakuf...
09/06/2026

mpango wako wa matibabu unajumuisha matumizi ya dawa au virutubisho lishe (nutritional supplement) .huduma zitakufikia popote ulipo ndani ya mkoa nje ya mkoa na hata nje ya nchi usiogope kushirikisha hadithi yako.

Whatsapp +255766856450

09/06/2026

Changamoto ya uzazi inaweza kumpata yeyote. Lakini kwa elimu sahihi, uchunguzi wa mapema na matibabu stahiki, tumaini linaendelea kuwepo.

Tembea nasi kila siku natoa maandiko ili ujifunze mambo muhimu kuhusu afya ya uzazi na usawa wa koijinsia na hatua zinazoweza kusaidia safari yako ya kupata watoto.

Kwa msaada na ushauri binafsi
Whatsapp +255766856450
Aibu kutafuta msaada.

N

09/06/2026

Mwili unaweza kukuonyesha dalili hilo ni jambo la kawaida ifahamike Tatizo kubwa si dalili zenyewe...👇

Tatizo ni kuendelea kuishi nazo kwa muda mrefu bila kutafuta chanzo chake.

Kwa sababu kadri muda unavyopita, baadhi ya changamoto za afya ya uzazi zinaweza kuendelea kimya kimya huku zikiongezeka.

Watu wengi husubiri kwa miaka mingi kabla ya kujifanyia tathimini ya uzazi . Ukweli ni kwamba baadhi ya changamoto za uzazi zinaweza kutibiwa mapema ikiwa uchunguzi utafanyika kwa wakati.

Baadhi ya dalili zinazopaswa kukufanya ufikirie kufanya tathimini ya uzazi

- Umeshiriki tendo bila kinga zaidi ya mwaka bila kupata ujauzito
- Mzunguko wa hedhi sio wa kawaid
- Maumivu makali ya tumbo la chini wakati wa hedhi
- Historia ya kuharibika kwa mimba mara kwa mara
- Umri zaidi ya miaka 35 na bado hujapata mtoto

tunafanya tathmini ya kina kwa wanaume na wanamke ili kupata chanzo halisi cha changamoto.

Mapema ni bora zaidi.

Karibu kwa ushauri na uchunguzi.

📍
📞 whatsapp +255766856450

Tanzania

Address

Africana Mbezibeach
Dar Es Salaam

Website

+255766856450

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Healthy_linetz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Healthy_linetz:

Share