21/09/2026
Yaani k**a unatafuta cleanser nzuri, gentle na yenye kuheshimu skin barrier yako, Cetaphil ni moja ya zile options ambazo huwezi kujutia 🤍✨
🫧 Cetaphil Cleanser husafisha ngozi vizuri bila kuiacha ikiwa tight, kavu au stripped. Ina ingredients k**a Niacinamide, Panthenol na Glycerin zinazosaidia kutunza moisture ya ngozi wakati unasafisha.
💙 Oily Skin Cleanser - kwa wenye combination mpaka oily skin; husafisha excess oil bila kuondoa moisture yote ya ngozi.
🤍 Gentle Skin Cleanser - kwa normal mpaka dry & sensitive skin; ni gentle zaidi na husaidia kuacha ngozi ikiwa soft na hydrated.
✨ Why uinunue? Kwa sababu cleanser nzuri sio ile inayokausha ngozi mpaka ijisikie “squeaky clean” ni ile inayosafisha huku ikiendelea kuheshimu natural barrier ya ngozi.
📍 Available at Skincare Products
Price: 50,000 Tsh
ORIGINAL PRODUCTS ONLY
📞☎️0689872040
📍Kariakoo Msimbazi A