07/08/2026
Mtoto kukosa hamu ya kula ni hali ambapo mtoto hapendi kula au anakula chakula kidogo kuliko kawaida. Hali hii inaweza kutokea kwa muda mfupi au kwa muda mrefu kulingana na sababu iliyosababisha.
📞+255677864432
Dalili za kawaida za Mtoto Kukosa hamu ya kula ni pamoja na:
▶️Mtoto kukataa kula chakula
▶️Kula kiasi kidogo sana
▶️Kupungua uzito au kutokuongezeka uzito
▶️Kuchagua sana chakula
▶️Uchovu au udhaifu
▶️Kulia au kukasirika wakati wa kula
Sababu zinazoweza kufanya mtoto akose hamu ya kula ni:
▶️Magonjwa k**a Malaria
▶️Maambukizi ya tumbo au minyoo
▶️Anemia (upungufu wa damu)
▶️Kula vitafunwa vingi kabla ya chakula
▶️Ratiba mbaya ya chakula
▶️Kulazimishwa kula
▶️Mabadiliko ya mazingira au hali ya kisaikolojia
▶️Hatua za ukuaji wa mtoto
Mtoto akikaa muda mrefu bila hamu ya kula anaweza kupata:
▶️Utapiamlo
▶️Kudumaa kwa ukuaji
▶️Kupungua uzito
▶️Kinga ya mwili kupungua
▶️Kuugua mara kwa mara
📞+255677864432
👶
🥗
❤️
🌱
📚