Hafford Hospital

Hafford Hospital Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hafford Hospital, Medical and health, Chang'ombe Maduka Mawili Changa Road, Dar es Salaam.

33 Bed Hospital
Services:
Obstetrics and Gynaecology
Paediatrics
General Surgery
Urology
Internal Medicine
Imaging Services
Clinical Laboratory
Dental and Orthodontics
Emergency Medical Services
Ambulance 24hrs
Pharmaceutical Services

Kwikwi kwa Mtoto MchangaKwikwi za mtoto mchanga ni jambo la kawaida kabisa, halina madhara, na mara nyingi huanza hata a...
15/04/2026

Kwikwi kwa Mtoto Mchanga

Kwikwi za mtoto mchanga ni jambo la kawaida kabisa, halina madhara, na mara nyingi huanza hata akiwa tumboni. Husababishwa na mshtuko wa ghafla wa diaframu (misuli ya kupumua). Mara nyingi hutokea baada ya kunyonya, hasa mtoto akinyonya haraka, kula kupita kiasi, au kumeza hewa. Kwa kawaida hudumu kwa dakika chache na hazimsumbui mtoto. Mara nyingi huisha zenyewe au baada ya kumburpsha, kumbadilisha mkao, au kumpa pacifier.
Sababu za Kawaida za kwikwi kwa Mtoto Mchanga
• Unyonyeshaji: Kunyonya haraka, kula kupita kiasi, au kumeza hewa husababisha msisimko wa diaframu.
• Diaframu changa: Mfumo wa neva na misuli ya kupumua bado haujakomaa vizuri.
• Reflux (kurudi kwa chakula tumboni): Baadhi ya watoto hupata kwikwi mara kwa mara, lakini si kila Kwikwi ina maana ya tatizo.
• Msisimko au mabadiliko ya joto: Kuchochewa kupita kiasi au baridi ya ghafla kunaweza kusababisha kwikwi.
Jinsi ya Kutuliza kwikwi
• Mburpshe mtoto: Sitisha kunyonyesha kwa muda ili kutoa hewa aliyomeza.
• Badilisha mkao: Mweke mtoto wima kwa dakika 20–30 baada ya kunyonya.
• Tumia pacifier: Kunyonya husaidia kulegeza diaframu.
• Mpigie/umsugue mgongoni taratibu: Husaidia kumtuliza.
Wakati wa Kumwona Daktari
Kwa kawaida kwikwi si hatari, lakini wasiliana na daktari ikiwa:
• Kwikwi zinatokea mara kwa mara sana na zinaambatana na dalili nyingine.
• Mtoto anatapika sana, hasa kwa nguvu (inaweza kuashiria Hypertrophic Pyloric Stenosis).
• Kuna dalili za shida ya kupumua, kunyonyesha vibaya, au kukosa uzito unaostahili.
• Kwikwi zinamfanya mtoto awe na usumbufu mkubwa, kulia kupita kiasi, au kushindwa kulala.
Kwa ujumla, kwikwi kwa watoto wachanga ni hali ya kawaida inayopotea kadri mtoto anavyokua na mfumo wa kupumua kukomaa.

Ni mwaka mmoja sasa tangu mpendwa wetu Matilda alipotwaliwa na Bwana tarehe k**a ya leo mwaka jana wa 2024. Pumzika kwa ...
24/12/2025

Ni mwaka mmoja sasa tangu mpendwa wetu Matilda alipotwaliwa na Bwana tarehe k**a ya leo mwaka jana wa 2024. Pumzika kwa amani Matilda

23/12/2025

Address

Chang'ombe Maduka Mawili Changa Road
Dar Es Salaam
15103

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hafford Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hafford Hospital:

Shortcuts

Share