Tiba seli shina

Tiba seli shina � Elimu ya afya na ustawi kupitia teknolojia ya Stem Cell kutoka kwenye mimea ya asili. �
� +255 752758078
� +255 659581728
� Karibu kwa ushauri na tiba zetu.

Sio rahisi kila mtu kupata matokeo sawa na mwingine. Lakini ukweli huu utakuweka salama.. K**a ukiamua 100% unapata maji...
14/05/2026

Sio rahisi kila mtu kupata matokeo sawa na mwingine. Lakini ukweli huu utakuweka salama..
K**a ukiamua 100% unapata majibu yako.

Kwa maongezi zaidi DMs "NAHITAJI" Au Piga simu
sasa na mwongozo sahihi!

Call & Whatsapp

0659581728
0752758078

Pata majibu mapema!


‎🧠 Jinsi ya Kudumisha MOOD na CONCENTRATION katika Mihadhara‎‎Hii ni changamoto ya kawaida kwa wanafunzi na watu wengi, ...
13/05/2026

‎🧠 Jinsi ya Kudumisha MOOD na CONCENTRATION katika Mihadhara

‎Hii ni changamoto ya kawaida kwa wanafunzi na watu wengi, lakini unaweza kuiboresha kwa hatua rahisi zinazofanya kazi kila siku.

‎📌 KABLA ya Mhadhara

‎✅ Lala vizuri
‎Ubongo unaochoka hushindwa kuzingatia kwa muda mrefu.

‎✅ Kula chakula chepesi
‎Njaa inaweza kupunguza uwezo wa kufuatilia somo.

‎✅ Jiandae kiakili
‎Jiulize: “Leo nataka kujifunza nini hasa?”

‎✅ Chagua sehemu nzuri ya kukaa
‎Epuka maeneo yenye kelele au marafiki wanaopenda mazungumzo mengi.

‎✍️ WAKATI wa Mhadhara

‎✅ Andika kwa mkono
‎Kuandika kunasaidia ubongo kushiriki kikamilifu katika kujifunza.

‎✅ Uliza maswali
‎Hata swali dogo linaweza kuongeza umakini wako.

‎✅ Piga picha muhimu tu
‎Usitumie muda mwingi kwenye simu; sikiliza zaidi.

‎✅ Kaa mbele darasani
‎Inasaidia kusikia na kuelewa vizuri zaidi.

‎😵 UKIHISI UMEPOTEZA CONCENTRATION

‎🔹 Fumba macho kwa sekunde chache na pumua polepole
‎🔹 Soma tena sentensi ya mwisho uliyoandika
‎🔹 Kunywa maji kidogo
‎🔹 Badilisha mkao wako wa kukaa

‎🚫 MAMBO YA KUEPUKA

‎❌ Kutumia simu wakati wa mhadhara
‎❌ Mazungumzo yasiyo ya lazima
‎❌ Kukaa muda mrefu bila hata kujinyoosha kidogo


‎💡 USHAURI MUHIMU :LIFE & NATURE

‎> Ubongo hauwezi kuwa na CONCENTRATION ya juu kwa masaa mengi mfululizo.

‎Tumia mfumo wa Pomodoro Technique — pumzika kwa sekunde 5–10 kila baada ya dakika 25–30 za kujifunza ili kuongeza ufanisi wa akili yako.

‎> Agiza mchanganyiko wa virutubisho lishe asili ya kahawa ya UG-CAFE LATTE
‎unaoweza kukusaidia kuimarika mood
‎na Concetration ya kudumu na akili.

‎Tumia mawasiliano yaliyopo hapa chini kwa Order yako muhimu ya kirutubisho.

‎📞 Simu:0659581728
‎📩 Whatsapp:0752758078



🌸 Heri ya Sikukuu kwa Mwanamke wa Thamani 🌸Mungu akujalie afya njema, furaha, amani na mafanikio katika kila hatua ya ma...
10/05/2026

🌸 Heri ya Sikukuu kwa Mwanamke wa Thamani 🌸
Mungu akujalie afya njema, furaha, amani na mafanikio katika kila hatua ya maisha yako. Endelea kuwa nuru, nguvu na baraka kwa familia na jamii. 💖✨

‎🌸HESHIMA YA MWANAMKE: FERTILITY BOOSTER BERRY + PACKAGE 🩷‎‎Linda Afya ya Uke na Uzazi Wako kwa Msaada wa Mitishamba Asi...
09/05/2026

‎🌸HESHIMA YA MWANAMKE: FERTILITY BOOSTER BERRY + PACKAGE 🩷

‎Linda Afya ya Uke na Uzazi Wako kwa Msaada wa Mitishamba Asilia.

‎Mchanganyiko wa Mitishamba Asilia:
‎Manjakani • Kacip Fatimah • Mahkota Dewa

‎━━━━━━━━━━━━━━━━━━━

‎💖 Afya ya Uke na Uzazi

‎🟢 Husaidia kuimarisha na kukaza misuli ya uke
‎🟢 Husaidia kupunguza uchafu na harufu mbaya ukeni
‎🟢 Huchangia afya bora ya mji wa uzazi (uterus)
‎🟢 Husaidia kusawazisha homoni za k**e na mzunguko wa hedhi

‎━━━━━━━━━━━━━━━━━━━

‎👩‍🍼 Uzazi na Kunyonyesha

‎🟢 Husaidia kuongeza uzalishaji wa maziwa kwa mama anayenyonyesha
‎🟢 Huchangia kuboresha uwezo wa uzazi kwa wanawake na wanaume

‎━━━━━━━━━━━━━━━━━━━

‎⚡ Nguvu, Hisia na Kujiamini

‎🟢 Husaidia kuongeza hamu na msisimko wa tendo la ndoa
‎🟢 Huchangia kuongeza nguvu na ustahimilivu wa mwili

‎━━━━━━━━━━━━━━━━━━━

‎🛡️ Kinga na Afya ya Mwili

‎🟢 Husaidia kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili
‎🟢 Huchangia kusaidia mwili kudhibiti mafuta yaliyozidi
‎🟢 Husaidia kuunga mkono afya ya moyo

‎━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
‎WASILIANA NASI SASA:

‎📞 Piga 0659 581 728
‎📩 Whatsapp/Tel:0752758078

👉 Au Bofya Link hapa kufahamu bidhaa tiba nyingine kwa changamoto mbalimbali kiafya https://chat.whatsapp.com/J4AljgYXT79AcdB24e6yFM

‎✨ BIDHAA NI HALAL, SALAMA NA RAFIKI KWA MWANAMKE WA KISASA 💃








09/05/2026
09/05/2026

Je, unajisikia mwili kuwa na uchovu au kupungua misuli kadri umri unavyokuwa mkubwa?
Virutubisho vya kahawa ya UG-CAFE itakusaidia kuweka sawa mwili kwa ujumla.
Agiza Au tembelea bidhaa za kisasa katika afya ya jumla.
📩 0752758078 (Whatsapp)
📞 Piga 0659581728

JE, MWILI WAKO UNAHITAJI UKARABATI? 🌱‎Seli shina ndizo "malighafi" za ujenzi wa mwili wako. Ikiwa unajihisi mchovu, una ...
09/05/2026

JE, MWILI WAKO UNAHITAJI UKARABATI? 🌱

‎Seli shina ndizo "malighafi" za ujenzi wa mwili wako. Ikiwa unajihisi mchovu, una changamoto za tishu, au unataka kuimarisha kinga, suluhisho lipo kwenye asili.

‎Pata MPANGO WA LISHE NA VIRUTUBISHO ASILI YA SELI SHINA ZA MIMEA kwa faida zifuatazo:

‎✅ Kurejesha Seli: Husaidia kuzalisha seli mpya kuchukua nafasi ya seli zilizochoka au kufa.

‎✅ Ukarabati (Repair): Inasaidia kurekebisha tishu zilizoharibika kutokana na changamoto za umri na magonjwa.

‎✅ Kinga Imara: Huimarisha mfumo wako wa ulinzi kuanzia ngazi ya seli, hapo ndipo afya bora inapoanzia.

‎⚠️ Unaweza kuwa umegundua athari za mwili
katika magonjwa sugu k**a Presha, Kisukari,
Tezi dume au Fibroids lakini unasaidikaje?

‎👉OFA:Ushauri wa Bure leo!
‎📞 Piga 0659581728 kuzungumza na huduma zinazopatikana kwetu.
‎💬 Au tuma neno "AFYA" kwenda WhatsApp namba 0752758078 kupata mwongozo kamili.




Address

Mwenge
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba seli shina posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share