Afya na Detox

Afya na Detox Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya na Detox, Medical and health, Dar es Salaam.

โœจNinasaidia kusafisha mwili kwa virutubisho vya mimea (AFYA DETOX PACKAGE) ๐Ÿ†๐Ÿ‰๐Ÿ‹โ€๐ŸŸฉ๐Ÿฅ‘๐Ÿ

โœจTumia Afya Detox package kwa ustawi wa afya yako
+255766696494 kwa ushauri na tiba

10/08/2026

Presha haidhibitiwi na dawa pekee. Mabadiliko ya mtindo wa maisha yana nafasi kubwa pia. Pamoja na kusafisha mishipa na kuondoa wingi wa mafuta

#0766696494 ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ

09/08/2026

Stress inaathri tatizo lako la presha na imekua chanzo cha presha yako

#0766696494 ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ

08/08/2026

Maji yenye ladha yanaweza kuwa sehemu ya safari yako ya kupunguza sukari na kujenga tabia bora za ulaji.

#0766696494 ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ

08/08/2026

Presha inaweza kuhusishwa na mambo mbalimbali k**a ulaji wa chumvi nyingi, uzito kupita kiasi, kutofanya mazoezi, unywaji wa pombe, msongo wa mawazo na vinasaba.

โš ๏ธ Mara nyingi presha haina dalili wazi, ndiyo maana kupima presha mara kwa mara ni muhimu.

#0766696494 ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ

07/08/2026

๐ŸŒฟ Mchanganyiko wa Celery + Mint + Tango + Tangawizi

Kinywaji chenye maji mengi na virutubisho vinavyoweza kusaidia mmengโ€™enyo, kushiba na kuwa sehemu ya mpango wa kupunguza uzito

#0766696494 ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ

07/08/2026

๐Ÿฅ’๐ŸŒฟ Mchanganyiko wa Celery + Mint + Tango + Tangawizi

Kinywaji chenye maji mengi na virutubisho vinavyoweza kusaidia mmengโ€™enyo, kushiba na kuwa sehemu ya mpango wa kupunguza uzito.

๐Ÿ’ช Kumbuka: Uzito hupungua kwa mchanganyiko wa lishe bora + mazoezi + nidhamu ya kila siKu

#0766696494 ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ

07/08/2026

Hii chorus umeitendeaaaa haki bonge la ngomaa

#0766696494 ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ

06/08/2026

Mishipa ya damu inapopoteza unyumbufu au mwili unaposhindwa kudhibiti vizuri mtiririko wa damu, shinikizo la damu linaweza kuongezeka.

โค๏ธ Jali mishipa yako kwa kula vizuri, kufanya mazoezi, kupunguza chumvi na kupima presha mara kwa mara.

#0766696494 ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ

06/08/2026

NJIA YA KUDHIBITI PRESHA โค๏ธ๐Ÿฉบ

Presha haidhibitiwi na dawa pekee. Mabadiliko ya mtindo wa maisha yana nafasi kubwa p

#0766696494 ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya na Detox posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Afya na Detox:

Shortcuts

Share