Malopa Herbal Clinic

Malopa Herbal Clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Malopa Herbal Clinic, Medical and health, Dar es Salaam.

MALOPA HERBAL CLINIC
✅Tiba ya PID, Fangasi, UTI
✅Kuchelewa kupata mimba / ugumba
✅Matatizo ya nguvu za kiume
✅HPV, Vipele & Malengelenge ya siri
📞 WhatsApp: +255 658 977 071

05/06/2026

05/06/2026

05/06/2026

04/06/2026
⚠️ TENDO UNASHIRIKI LAKINI MIMBA HAKUNA? HIZI ZINAWEZA KUWA SABABU 5:1️⃣ Mbegu za mwanaume kuwa dhaifuIwapo idadi ya mbe...
04/06/2026

⚠️ TENDO UNASHIRIKI LAKINI MIMBA HAKUNA? HIZI ZINAWEZA KUWA SABABU 5:

1️⃣ Mbegu za mwanaume kuwa dhaifu
Iwapo idadi ya mbegu ni chache au hazitembei vizuri, uwezo wa kurutubisha yai hupungua.

2️⃣ Matatizo ya ovulation kwa mwanamke
K**a yai halitoki kila mwezi kwa usahihi, nafasi ya kupata mimba huwa ndogo.

3️⃣ Mirija ya uzazi kuziba
Mirija ikiziba, mbegu za mwanaume haziwezi kufika kwenye yai kwa ajili ya urutubishaji.

4️⃣ Matatizo ya homoni
Mabadiliko ya homoni yanaweza kuathiri uzalishaji wa mayai kwa mwanamke na mbegu kwa mwanaume.

5️⃣ Kushiriki tendo bila kuzingatia siku za rutuba
Kufanya tendo nje ya kipindi cha rutuba hupunguza sana uwezekano wa kupata mimba.

📌 K**a mmekuwa mkijaribu kupata mtoto kwa muda mrefu bila mafanikio, ni muhimu kufanya uchunguzi wa afya ya uzazi
0658 977 071

04/06/2026

03/06/2026

03/06/2026

03/06/2026

# #

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Malopa Herbal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Malopa Herbal Clinic:

Share