29/07/2026
Ulishawahi kujiuliza k**a hizo bidhaa ni sahihi kulingana na aina ya ngozi yako? Au je, bidhaa hizo zimehakikiwa na mtaalamu kabla hujazipaka? π€·ββοΈ
Ngozi yako ni kiungo kikubwa na muhimu sana mwilini. Kila unachopaka kinaingia ndani ya mwili wako... ndio maana unahitaji bidhaa zilizothibitishwa na salama.
Ndio maana AfyaDepo inakuunganisha moja kwa moja na Mtaalamu wetu wa Dawa (Pharmacist) ili:
β
Kukusaidia kuchagua bidhaa Original 100%
β
Kupata bidhaa zilizohakikiwa na mamlaka (TMDA)
β
Kupata ushauri wa kitaalamu unaoendana kabisa na ngozi yako
Usibatishe na afya ya ngozi yako.
Karibu tuongee kitaalamu! π©Ίβ¨
β