Dr Nasir Mtetezi wa Afya

Dr Nasir Mtetezi wa Afya Tunasaidia kutatua changamoto za kiafya kwa kutumia tiba lishe zisizo na kemikali yoyote

*TATIZO LA MIGUU KUWAKA MOTO, FAHAMU VYANZO, DALILI NA TIBA YA GANZI MIGUUNI, MIKONONI AU VIDOLENI.*Matatizo haya ya kia...
21/06/2023

*TATIZO LA MIGUU KUWAKA MOTO, FAHAMU VYANZO, DALILI NA TIBA YA GANZI MIGUUNI, MIKONONI AU VIDOLENI.*

Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni
mwa mwili (miguuni au mikononi) na hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.

*CHANZO CHA TATIZO*
Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:-
1. Kupungua kwa virutubisho mwilini, hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).
2. Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi.
3.Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu MAUMIVU (pain killer)
4. Uzito mkubwa wa mwili.
5. Ugonjwa wa kisukari(diabetic neuropathy).
6. Shinikizo la damu.(blood Presure)
7. Unywaji wa pombe kupita kiasi.
8. Magonjwa ya figo.

*DALILI ZA UGONJWA WA MIGUU KUWAKA MOTO*
Ugonjwa huu unadalili nyingi zikiwemo;-
1. Kuhisi ganzi.
2. Kuhisi kuchomwa na kitu chenye ncha Kali miguuni.
3. kuhisi miguu kuwa na majimaji kwa ndani.
4. Joto Kali miguuni,kuhisi k**a unaungua miguuni.
5. kushindwa kushika au kubeba vitu na maumivu makali.
6. Maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni/mikononi

*Tuwasiliane Leo tuone namna Gani unavyoweza kuondokana na changamoto hii:*

📞 +255 621672394

TEZI DUME NA MATIBABU YAKE?     Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza  m...
21/06/2023

TEZI DUME NA MATIBABU YAKE?

Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza majimaji ambayo husafirisha mbegu za kiume.

KUPANUKA KWA TEZI DUME

Kupanuka kwa tezi dume ni tatizo la kawaida ambalo halisababishwi na ugonjwa wa saratani(kansa).Miaka inavyoenda,ndivyo tezi dume huzidi kuwa kubwa; na hufinya njia ya mkojo na kuziba mkojo.Hivyo mkojo hutoka polepole .

Ugonjwa wa kutanuka kwa tezi dume ni ugonjwa wa wanaume wazee.

DALILI ZA TEZI DUME

1.Kukojoa mara kwa mara, ama kuhisi kukojoa mara kwa mara
2.Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku
3.Kupatwa na uzgumu kutoa mkojo
4.Mchirizi wa mkojo kuwa dhaifu
5.Mkojo kukatakata unapofika karibu a mwisho
6.Kujichafua wakati wa kukojoa
7.Kushindwa kumaliza mkojo kabisa.
8.Kushindwa kukojoa kabisa.
9.Kupata mkojo mchache sana
10) Damu kwenye mkojo inaashiria kensa

MADHARA YA KUCHELEWA KUTIBU TEZI DUME

1) Kushindwa kabisa kukojoa
2) Kupatwa na maambukizi ya UTI
3) Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu
4) Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea
5) Figo inaweza kuharibika
6) Upungufu wa nguvu za kiume.

TIBA YA HARAKA INAPATIKANA BILA YA UPASUAJI WOWOTE.
Kwa sasa inapatikana kwa bei ya ofa.
Kwa mahitaji tupigie/whatsapp 0621672394

*Mwanaume kuwa na viashiria k**a:*1. Uume kushindwa kusimama unapoamka2. Kupoteza nywele3. Kukosa usingizi4. Kupungua kw...
21/06/2023

*Mwanaume kuwa na viashiria k**a:*
1. Uume kushindwa kusimama unapoamka
2. Kupoteza nywele
3. Kukosa usingizi
4. Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa
5. Hasira za haraka.

Vinaweza kuwa ishara ya kushuka kwa kiwango cha hormone ya testosterone. Tengeneza utaratibu wa kupima.

*NB:Tumia BEDROOM PACK kuongeza kiwango cha homoni za kiume mwilini ili uweze kufanya tendo la ndoa kwa usahihi(Kupata BEDROOM PACK nitafute kupitia namba 0621672394)*👇👇👇

TIBA YA  MIFUPA NA MAUNGIO KWA  WASUMBULIWAO NAMAUMIVU YA NYONGA,  KIUNO, MGONGO NA MAUNGIO (JOINTS)?  MSHAURI: +255 621...
04/04/2023

TIBA YA MIFUPA NA MAUNGIO KWA WASUMBULIWAO NA
MAUMIVU YA NYONGA, KIUNO, MGONGO NA MAUNGIO (JOINTS)?

MSHAURI: +255 621672394
➡▪Hasa maumivu ya kusambaa kutoka kwenye nyonga mpaka kwenye goti

Tatizo hili huweza humpata mtu yeyote. Maumivu ya kiuno huanza chini ya mgongo na kuk**ata katika vifupa vilivyo kwa chini
karibu na makalio. Maumivu haya husambaa kulia na kushoto na wakati mwingine huteremka hadi mapajani. Pamoja na kuwepo katika vifupa hivyo pia ndani zaidi huweza kusababisha maumivu haya yatoke kwa ndani na kusambaa nje yaani katika eneo la kiuno.

Maumivu ya nyonga huweza kutokea sambamba na maumivu ya kiuno au nyonga yakawa peke yake. Nyonga huunganisha miguu na mifupa ya mapaja inayotengeneza kiuno. Nyonga ndiyo inayofanya utembee, inakuwezesha kutoka sehemu moja hadi nyingine, kukaa na kuruka.

SABABU ZINAZOPELEKEA MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA (mifupa kwa ujumla)

1.Kujichua muda mrefu hupelekea maumivu hayo. Zipo dawa za kuacha kujichua na kurudisha nguvu zilizopotea.
2.Namna ya kulala (style) /godoro linaweza kukusababishia maumivu hayo
3.Kubeba mizigo kwa kuinama na mzigo.
4.mawazo (stress).
5.kulala kwa muda mrefu na matumizi mabaya ya mto.

MADHARA YA MAUMIVU HAYO NI K**A YAFUATAYO;

1.Hupelekea miguu na mikono kufa ganzi na kuwaka moto
2.hupelekea kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili na kushindwa kutembea (kupata kilema cha kudumu)
3.hupelekea kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa tendo na kushindwa kurudia.
4.Unaweza kushindwa kutembea kabisa/kunyanyuka, utakaa ukiwa umelala.

Habari njema ni kwamba baada yakufanya utafiti wa kina kwa muda mrefu sasa tiba imepatikana, tiba ya uhakika na ya haraka
Kwa matibabu ya haraka na sahihi wasiliana nasi,+255 621672394

03/04/2023

*SABABU ZA UKE KUWA MKAVU*

Zifahamu sababu za uke kuwa mkavu ni upungufu au uwiano mdogo au mbaya wa homoni za uzazi za mwanamke yaani ESTROGEN HORMONES,ambayo huleta ute na vilainishi vyake

Kwakawaida ute kwa mwanamke unatakiwa uwe wa wastani ambao hufanya uke kubana,kuleta joto na kufanya tendo la ndoa liwe la raha.

VISABABISHI VYA UKE KUWA MKAVU

🥥Upungufu wahomoni za uzazi au uzalishwaji mbaya (HORMONES IMBALANCE)

🥥Magonjwa ya zinaa k**a kaswende,kisonono n.k

🥥Fangasi sugu ukeni

🥥Uke mchafu

🥥U.T.I sugu

🥥Matumizi ya sabuni za antibiotics kusafisha uke

🥥Matumizi ya pedi zisizo za anions

*DALILI ZA UKE KUWA MKAVU*

🍉Maumivu makali wakati au baada ya tendo la ndoa

🍉Kutokwa na damu wajati wa tendo la ndoa

🍉Kukosa au kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa

🍉Maumivu ya chini ya kitovu wakati wa tendo la ndoa

🍉Maumivu ya kiuno,mgongo,na tumbo

🍉Maumivu ya mifupa na viungo

🍉Kuwa na ngozi kavu

🍉Msongo wa mawazo

🍉Hedhi kukosa mpangilio maalmu

🍉Kutofurahia tendo la ndoa

🍉Kutoshika Mimba

*MADHARA YA UKE MKAVU*

∆ Upungufu,kiwango kidogo,uwiano mbaya(HORMONES IMBALANCE)

∆ Kutoshika mimba

∆ Mpangilio mbaya wa Hedhi

∆ Nirahisi kushambuliwa na maambukizi katika mfumo wa uzazi k.m PID, PCOS n.k

Matibabu yapo na kwa bei nafuu tu, kwa mawasiliano tupigie 0621672394

KWA NINI VINATOKA VINYAMANYAMA AU MABONGE YA DAMU WAKATI WA HEDHIKwa asili, wanawake wengi huwa wanapatwa na hali hii ya...
25/03/2023

KWA NINI VINATOKA VINYAMANYAMA AU MABONGE YA DAMU WAKATI WA HEDHI

Kwa asili, wanawake wengi huwa wanapatwa na hali hii ya mabonge wanapokuwa hedhini, ni jambo ambalo huwastusha wengi na hutufanya kuwa na maswali k**a vile •Kwa nini mwanamke anatokwa na damu iliyoganda wakati wa hedhi?
•Ni kipi hasa husababisha damu kuganda wakati wa hedhi?

Leo nipo kwa ajili ya majibu.

~~Kwa ujumla, chanzo cha kuganda kwa damu wakati wa hedhi yako hutokana na kushindwa kutoka kwa ute wenye kemikali unaozuia kuganda kwa damu kibaolojia huitwa anticoagulants......
ambapo kazi ya ute huu ni kuukinga ukuta wa kizazi usiharibike.

Wakati wa hedhi, ute mzito unakuwa kwenye ukuta wa kizazi huanza kutoka. Ute huu unaokuwa na kemikali huanza kuachiliwa ili kuzuia damu isigande wakati wa hedhi. Wanawake wengi wanaotokwa na damu ya hedhi muda mrefu hutoka na damu yenye mabonge kwa sababu damu inayotoka kwenye ukuta wa mfuko wa kizazi(uterus) hutoka kwa kasi kuliko ute wenye kemikali ya kuiyeyusha isigande. Hali hii ndio husababisha damu kuganda na hedhi kutoka na mabonge ya damu kwa muda mrefu.

Visabibishi vya kupungua kwa ute huu (anticoagulants) ni uwepo wa tatizo katika kizazi mfano.

1. Uvimbe Katika Kizazi (Uterine Fibroids)
Uvimbe mmoja au zaidi ambao huwa sio saratani, kwa kawaida huota ndani ya kizazi cha mwanamke. Hata hivyo kwa kuwa sio saratani, huwa havionyeshi kuwa vimetulia tu. Dalili za kawaida anazozipata mwanamke mwenye uvimbe aina ya fibroids ni k**a ifuatavyo:
•Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
•Maumivu wakati wa tendo la ndoa
•Kutokwa na damu ya hedhi muda mrefu
•Tumbo kujaa gesi ama kukosa choo

2. Matumizi ya njia za Kisasa za Uzazi Wa Mpango

Dhumuni kuu la njia za kisasa za Uzazi wa mpango ni kuvuruga mpangilio wa homoni za mwanamke. Kivurugika kwa homoni hauharibu tu ukomavu wa mayai bali huharibu vichochezi vya homoni hasa oestrogens na progesterone ambazo ni muhimu katika kuzalisha ute, mayai na ujauzito kwa ujumla.
JICHUNGUZE
Ikiwa k**a unapaswa kubadilisha pedi zaidi ya mara moja kila baada ya masaa mawili au k**a mtiririko wa damu yako ya hedhi una mabonge makubwa ya damu yasiyokuwa ya kawaida, basi ina maanisha kwamba unatokwa na damu nyingi mno.
Endapo k**a utagundua kuwa mtiririko huo wa damu ulianza tu kipindi ulipoanza kutumia aina mpya ya vidonge vya mpango wa uzazi, basi unapaswa umweleze daktari wako akupe usahuri kuhusu jambo hilo.

3. Kuporomoka Kwa Mimba

5. Maambukizi
Aina ya kwanza ya maambukizi yanayoweza kusababisha hali hii ya kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi ni maambukizi katika via vya uzazi(P.I.D). Maambukizi ya aina hii huathiri viungo vya uzazi kwa mwanamke, na k**a tatizo hili litaendelea bila kufahamika vizuri, basi linaweza kusababisha uharibifu mkubwa katika mfumo wa uzazi wa mwanamke.

Uonapo dalili za kuwa mabonge wakati wa hedhi unaweza kumuona daktari wako kwa vipimo zaidi ila k**a umegundua tayari una mojawapo ya magonjwa hapo juu au umewahi kutumia uzazi wa mpango, jitahidi kutumia vyakula au vinywaji vyenye kukusaidia kuweka homoni sawa na kuyeyusha damu ili isikwame katika mfumo wa uzazi.

Muhimu k**a umegundua una matatizo katika uzazi ni vyema kuanza dozi yako ya kusafisha NJIA za Uzazi na kuweka homoni sawa ili uendelee kuwa na mrejesho mzuri siku zote.

Yapo mengi ya kuzungumza kuhusu uzazi hatuwezi kumaliza leo, endelea kufuatilia mafundisho haya pia unaweza kuwasiliana nami kwa mazungumzo zaidi....

0621672394

22/03/2023

Ondoa kitambi, nyama uzembe, mafuta yaliozidi na uzito mkubwa bila kuharisha wala kutapika

22/03/2023

Kwa matibabu ya tezi dume bila upasuaji. Wasiliana nasi kwa mambar zilizopo ktk video yako.
Na kwa sasa kuna ofa ya punguzo la 10%.
Wahi mapema mzigo ni mchache.

22/03/2023

Kwa matibabu ya viungo na mifupa. Wasiliana nasi kwa mambar zilizopo ktk video yako.
Na kwa sasa kuna ofa ya punguzo la 10%.
Wahi mapema mzigo ni mchache.

21/03/2023

Fahamu kuhusu maambukizi ya uke na dalili zake

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Nasir Mtetezi wa Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dr Nasir Mtetezi wa Afya:

Share