21/12/2025
OFA OFA OFA Kwako wewe mtanzania mwenye changamoto ya afya ya uzazi:
(PID,UTI SUGU, FUNGUS SUGU,UVIMBE,SARATANI,KUTOPATA UJAUZITO)
Elewa kwa ufupi nini maana ya P.I.D
P.I.D PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (P.I.D).
💧Ni Maambukkizi ya bakteria kwenye via vya uzazi (P.I.D) imekuwa maarufu sana katika jamii yetu miongoni mwa wanawake wengi huambukizwa PID.
Vimelea aina ya Neisseria Gonorhoere Chlamydia Trachomatis ndivyo vinavyo ongoza kusababisha PID kwa kinamama.
💧MWANAMKE ANAAMBUKIZWA vipi P.I.D
Kuna njia kadhaa ambazo hupelekea mwanamke kupata maambukizi ya P.I.D÷
📌Kutoa mimba (Abortion)
📌Maambukizo katika njia za uzazi Mara baada ya kujifungua
📌Matumizi ya njia za uzazi wa mpango k**a vidonge,kitanzi,sindano n.k
📌Kukaa na infection k**a U.T I na FUNGUS sugu kwa mda mrefu bila kutibiwa
📌Kuvaa Pedi kwa muda mrefu bila kubadilisha unapoingia Period(hedhi)
📌Kutumia PUBLIC TOILET(Vyoo vya kushea)
💧DALILI ZA P.I.D÷
Moja ya dalili za PID kwa mwanamke ni
🌷Kutokwa na uchafu mweupe k**a mziwa mtindi sehemu za siri sometimes inaweza kuwa rangi ya kijani,kahawia,brown hata njano.
🌷 Maumivu chini ya kitovu,upande wa kulia au kushoto wa tumbo,nyonga,kiuno na mgongo
🌷 Maumivu wakati wa tendo la ndoa
🌷 Kukosa hamu ya tendo la ndoa
MADHARA YA KUKAA NA PID÷
📌 Husababisha Kizazi kulegea
📌 Husababisha UVIMBE kwenye mayai(polycystic ovarian syndrome na ovarian cysts)
📌 Mvurugiko wa homoni(Hormones imbalance)
📌 Husababisha Kizazi kujaa maji maji sometime unakuta chupi imelowa
📌 Husababisha saratani ya shingo ya Kizazi
📌 Husababisha mimba kuporomoka kabla ya mda (miscarriage)
📌Husababisha UGUMBA (infertility) kuziba Kwa mirija ya uzazi
💧Ni Fact mwanamke mwenye PID hulalamika kutokunasa ujauzito kwa haraka hi ni Kwasababu PID huathiri kizazi na Utafiti unaonyesha Katika wanawake 8 wenye PID Mmoja anakuwa MGUMBA sikutishi Ila nimekupa Fact
💧Tuwasliane kwa Tiba na USHAURI kupitia number za ofisi:
-0797333822
JAKAYA AFYA care TUNAIJALI Na Kuilinda afya yako.😇🙏🙏