27/08/2026
Mfiziotherapia Emmanuel Jacob kutoka Taaasisi ya Mifupa - MOI
Ameshauri kuwa mtu anapokaa ahakikishe makalio yamegusa mwisho wa kiti ndipo aegemee ili
Kuepuka mkao mbaya unaoweza kusababisha maumivu ya mgongo.
Pia mikao k**a ya kukunja nne, kulalia kiti au kuegemea meza kwa muda mrefu ni...
Mibaya kwa afya ya mgongo na inapaswa kuepeukwa.