BONGOAfya

BONGOAfya Karibu BONGOAfya, jamvi la kupeana ujanja kuhusu afya, uhuru na fursa za kuongeza kipato

05/08/2026
19/07/2026
18/07/2026

"Nakula kidogo lakini sipungui uzito..."

K**a umewahi kusema maneno hayo, basi hauko peke yako.

Kwa muda mrefu nimekuwa nikipokea maswali k**a:
❓ Nianzie wapi?
❓ Kwa nini uzito wangu hausogei?
❓ Je, nifunge kula au nibadilishe chakula?

Ndiyo maana nimeandaa BongoAfya Starter Workbook

Hii siyo diet.
Hii siyo meal plan ya maneno mengi.

Hii ni workbook ya dakika 10 itakayokusaidia kuelewa makosa ya msingi ambayo huwafanya watu wengi washindwe kupunguza uzito, na kukupa hatua rahisi za kuanza leo.

🎁 Kwa wiki hii tu nimeamua kuigawa BURE ili watu wengi zaidi waanze safari yao ya afya.

Ikiwa unaitaka...

👉 Comment neno "RESET" chini ya post hii.
Nitakutumia maelekezo ya jinsi ya kuipata na kukuunganisha na BongoAfya Support Community, ambapo utapata tips, motivation na support ya kuendelea na safari yako.

17/07/2026

"Nakula kidogo lakini sipungui uzito..."

K**a umewahi kusema maneno hayo, basi hauko peke yako.

Kwa muda mrefu nimekuwa nikipokea maswali k**a:

❓ Nianzie wapi?

❓ Kwa nini uzito wangu hausogei?

❓ Je, nifunge kula au nibadilishe chakula?

Ndiyo maana nimeandaa BongoAfya Starter Workbook

Hii siyo diet.

Hii siyo meal plan.

Ni workbook ya dakika 10 itakayokusaidia kuelewa makosa ya msingi ambayo huwafanya watu wengi washindwe kupunguza uzito, na kukupa hatua rahisi za kuanza leo.

🎁 Kwa wiki hii tu nimeamua kuifanya BURE ili watu wengi zaidi waanze safari yao ya afya.

Ikiwa unaitaka...

👉 Comment neno "RESET" chini ya post hii.

Nitakutumia maelekezo ya jinsi ya kuipata na kukuunganisha na BongoAfya Support Community, ambapo utapata tips, motivation na support ya kuendelea na safari yako.

Usiahirishe afya yako. Safari huanza kwa hatua ya kwanza sahihi.

"Ninakula vizuri, lakini uzito haupungui."Nimesikia kauli hii mara nyingi sana.Na ukweli ni kwamba.Tatizo linaweza lisiw...
04/07/2026

"Ninakula vizuri, lakini uzito haupungui."

Nimesikia kauli hii mara nyingi sana.

Na ukweli ni kwamba.Tatizo linaweza lisiwe chakula. Watu wengi hujikita kubadilisha breakfast, lunch na dinner.

Lakini husahau USINGIZI.

Usingizi unapokuwa hafifu kwa muda mrefu, mwili unaweza kuongeza stress, kupandisha "cortisol" kuongeza hamu ya kula na kufanya safari ya kupunguza uzito iwe ngumu zaidi.

Hii ndiyo sababu sisi BongoAfya hatuangalii chakula pekee.

Tunaangalia lifestyle yote.

Kwa sababu mwili unafanya kazi k**a mfumo mmoja.

👉 Swipe ujifunze zaidi.

K**a ungependa kuanza kurekebisha metabolism yako hatua kwa hatua kupitia mfumo rahisi unaoweza kuufuata hata k**a uko busy sana.

Comment "RESET" au nitumie DM neno RESET.

Nitakuelekeza hatua ya kwanza.

Watu wengi wanahangaika kupunguza uzito…Lakini wanaangalia sehemu moja tu: chakula.Ukweli ni huu 👇😴 Usingizi wako unaath...
21/04/2026

Watu wengi wanahangaika kupunguza uzito…

Lakini wanaangalia sehemu moja tu: chakula.

Ukweli ni huu 👇

😴 Usingizi wako unaathiri:

👉 Hormones zako
👉 Metabolism
👉 Namna mwili unavyohifadhi mafuta

Ukilala vibaya:

❌ Njaa inaongezeka
❌ Sukari haidhibitiwi vizuri
❌ Mwili unahifadhi mafuta zaidi

Hivyo hata ukila vizuri… hupungui.

💡 Weight loss ya kweli inaanza pale unaporekebisha mwili wako, sio chakula pekee.

Hivyo hata ukila vizuri… hupungui.

💡 Weight loss ya kweli inaanza pale unaporekebisha mwili wako, sio chakula pekee.

🔥 Jiunge na Metabolic Reset Challenge
👉 Comment “RESET” au DM nikusaidie kuanza

I used to be 120kg.Not “a bit overweight.” I was struggling.Low energy.Belly fat that wouldn’t move.Tried different thin...
12/04/2026

I used to be 120kg.

Not “a bit overweight.” I was struggling.

Low energy.
Belly fat that wouldn’t move.
Tried different things… nothing lasted.

Today I’m 87kg.
And more importantly…👉 I’ve kept it off.

Let me say something most people don’t want to hear:

If you want to lose fat,
you need to listen to someone who has actually DONE IT.
Not just theory.
Not just motivation.
But real, sustainable results.

Because here’s what I learned the hard way:

Fat loss is not about starving yourself.

It’s about:
• Fixing your metabolism
• Building the right habits
• Eating in a way body responds to
• Supporting your body (not fighting it)

Most people fail because they:
❌ Cut calories too hard
❌ Do random workouts
❌ Ignore sleep and stress
❌ Expect fast results

And then they burn out… and regain everything.

What worked for me was a SYSTEM.

Simple. Structured. Repeatable.

That’s exactly why I created:

The 7-Day Metabolic Reset Challenge

This is not a diet. It’s a guided reset to help your body start responding again.

👉 If you’re serious about changing your body this time,

DM “RESET” or send “RESET” to WhatsApp 0742001003

Let’s do it the right way.

🚨 Hii ndio sababu hupungui uzito… Pamoja na jitihada zako zote. Watu wengi wanadhani: 👉 Weight loss = Calorie deficit tu...
26/03/2026

🚨 Hii ndio sababu hupungui uzito… Pamoja na jitihada zako zote.

Watu wengi wanadhani:

👉 Weight loss = Calorie deficit tu

Hapo ndipo wanakosea.
Ukweli ni huu:
👉 Weight loss = Deficit
👉 Fat loss = Deficit + High protein
👉 Fat loss + toned body =
      Deficit + Protein + Resistance training

Tatizo huwa nini?
Watu wengi wanafanya deficit PEKEE.

Matokeo yake:
• Wanapungua uzito…
• Lakini wanapoteza muscles
• Metabolism inashuka (uchovu muda wote)
• Wanakuwa skinny fat
• Na uzito unarudi tena chap

Ndio maana utasikia:
“Nilipungua…..lakini nikarudi nilipoanza.”

Ukweli ni huu sasa:
👉 Muscle ndio engine ya kuchoma mafuta
👉 Bila muscle, mwili wako hauchomi mafuta vizuri

Mimi nilipunguza zaidi ya 30kg — na nimezi keep off mpaka leo hii.

Sio kwa diet kali. BALI kwa mfumo sahihi.

K**a ningekuwa naanza upya, ningefocus vitu 4:
✔ Protein ya kutosha kila siku
✔ Resistance training (sio cardio pekee)
✔ Movement (steps 8K–10K) KILA SIKU
✔ Usingizi wa kutosha (7–8 hrs)

Ukifanya hivi kwa pamoja:
👉 Mwili utachoma mafuta
👉 Utajenga muscles
👉 Energy ya mwili itaongezeka
👉 Na uzito hautorudi tena

Lakini ukweli ni huu:

Watu wengi hawawezi kutengeneza wala kufuata mpango sahihi wao wenyewe.

Ndiyo maana nimeanzisha:
🔥 7-Day Metabolic Reset Challenge
Program ya siku 7 ambapo:
• Nitakuongoza step by step
• Utarestart metabolism yako
• Uanze kuona mabadiliko ndani ya siku chache

👉 Sasa k**a uko serious this time,
Tuma “RESET” WhatsApp: 0742001003

Nafasi ni chache.

Address

Tress Blng, Mwenge
Dar Es Salaam
14130

Opening Hours

Monday 00:00 - 20:00
Tuesday 00:00 - 20:00
Wednesday 00:00 - 20:00
Thursday 00:00 - 20:00
Friday 00:00 - 20:00
Saturday 10:00 - 21:00
Sunday 10:00 - 21:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BONGOAfya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share