Dr. Kijaji

Dr. Kijaji MEDICAL HEALTH

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa...
07/05/2023

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya Mkutano wa dharura wa Troika plus wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zinazochangia Vikosi kwenye Force Intervention Brigade (FIC) leo tarehe 07 Mei, 2023.

Mkutano huo utajadili hali ya usalama Mashariki mwa Nchi ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
. Hanc Tz updates

Test. Official. Hanc TzOfficial. Hanc Tz Hanc Tz
07/05/2023

Test. Official. Hanc TzOfficial. Hanc Tz Hanc Tz

Fact!!!!!
26/07/2022

Fact!!!!!

Kwa habari mbalimbali za michezo yote na kutoka ligi zote duniani, follow blog ya  Instagram. Hapo unaweza kuburudika na...
13/05/2021

Kwa habari mbalimbali za michezo yote na kutoka ligi zote duniani, follow blog ya Instagram. Hapo unaweza kuburudika na habari mbalimbali za michezo.

Address

Dar Es Salaam
GOD

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Kijaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dr. Kijaji:

Shortcuts

Share