Namaste_spa_tz

Namaste_spa_tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Namaste_spa_tz, Health spa, Dar es Salaam.

Perfoming 2nd session of ME LINE peel on my client. This treatment is expensive to be honest ila matokeo yake ni balaa. ...
16/05/2026

Perfoming 2nd session of ME LINE peel on my client.
This treatment is expensive to be honest ila matokeo yake ni balaa.
K**a una MELASMA kali invest on this treatment.
For more information about hii huduma please reach out
📞0788636367

Hii ni mashine ya kudeep cleanse ,hivyo vyeupe ndani ya tip ya mashine ni mafuta unaweza zoom ukaona mafuta ambayo yamet...
14/05/2026

Hii ni mashine ya kudeep cleanse ,hivyo vyeupe ndani ya tip ya mashine ni mafuta unaweza zoom ukaona mafuta ambayo yametoka kwenye ngozi yake.
Angalia mpaka mwisho uone video inaonesha vzuri zaidi.

Deep cleansing facial itakusaidia kuondoa mafuta k**a ngozi yako ni ya mafuta sana.
K**a pia unasumbuliwa na chunusi itakusaidia kuondoa mlundikano wa mafuta na uchafu ambao kwa pamoja vinaziba ngozi na kuleta chunusi.

Deep cleansing facial pekeake ni 150,000
lakini pia unaweza ichanganya na facial yoyote

For bookings
📞0788636367

Hii ni mashine ya kudeep cleanse , unaweza zoom ukaona mafuta ambayo yametoka kwenye ngozi yake. Angalia mpaka mwisho uo...
14/05/2026

Hii ni mashine ya kudeep cleanse , unaweza zoom ukaona mafuta ambayo yametoka kwenye ngozi yake.
Angalia mpaka mwisho uone video inaonesha vzuri zaidi.

Deep cleansing facial itakusaidia kuondoa mafuta k**a ngozi yako ni ya mafuta sana.
K**a pia unasumbuliwa na chunusi itakusaidia kuondoa mlundikano wa mafuta na uchafu ambao kwa pamoja vinaziba ngozi na kuleta chunusi.

Deep cleansing facial pekeake ni 150,000
lakini pia unaweza ichanganya na facial yoyote

For bookings
📞0788636367

Everyone can have a good skin .Every skin can be even-toned, glowy, smooth and silky.Some are born with it naturally, I ...
11/05/2026

Everyone can have a good skin .
Every skin can be even-toned, glowy, smooth and silky.
Some are born with it naturally, I agree some people really have good genes.

For some of us we have to put in efforts and be consistent to achieve that. Which is totally fine , what you have to do is not compare yourself with whom genes carry them through .
Keep pushing, it reading does pay off

Your favorite esthetician,
Nyaba

09/05/2026
Unaona tundu za ngozi yake zinavyoonekana?Tunaposema utafanya a DEEP CLEANSING FACIAL, this is what we mean , tunadeep c...
28/04/2026

Unaona tundu za ngozi yake zinavyoonekana?

Tunaposema utafanya a DEEP CLEANSING FACIAL, this is what we mean , tunadeep cleanse kweli, kuacha tundu zako za ngozi zikiwa safi na wazi.
Ukiangalia picha hizi utaona tundu za ngozi zinaonekana kabisa , tena zikiwa safi , haujabaki uchafu wala mafuta.

Wewe mwenye
✅mafuta mengi usoni
✅chunusi
✅blackheads
✅white heads
✅uso upo rough

Njoo ufanye DEEP CLEANSING FACIAL kwetu itakufaa sana
📞0788636367

Do you know this gorgeous lady? This is Miriam Mauki, incase you have been wondering where she gets her flawless skin fr...
31/03/2026

Do you know this gorgeous lady?
This is Miriam Mauki, incase you have been wondering where she gets her flawless skin from ni kwetu
We are her PLUG 😍

This could be your skin too, start your journey today with us
📞0788636367

After facial glow💫The goal is to have a healthy and glowy skin while we keep targeting her other skin concerns ( dark sp...
11/03/2026

After facial glow💫
The goal is to have a healthy and glowy skin while we keep targeting her other skin concerns ( dark spots) .
One step at a time until we get there

Tunatibu tatizo lolote la ngozi
✅acne
✅acne scars
✅melasma
✅large pores
✅hyperpigmentation
✅dull skin
✅rough texture
✅blackheads &white heads

For bookings
📞0788636367

Sio kweli kwamba utakua na a glass and flawless skin siku 365 za mwaka , kuna siku tu chache ambazo utajikuta your skin ...
03/03/2026

Sio kweli kwamba utakua na a glass and flawless skin siku 365 za mwaka , kuna siku tu chache ambazo utajikuta your skin is not flawless.

Hii husababishwa na vitu mbalimbali ikiwemo
✅kubadilisha mazingira
✅hormonal changes
✅kula kitu ambacho kitareact n.k

Story time
Mwezi january mwishoni nilisafiri kwenda Musoma for my friend’s engagement and mahari. Nimetoka Dar my skin ikiwa flawless sina rashes.
Nilisafiri tarehe 30 jan usiku na kurudi tarehe 2 feb usiku. Ilinichukua siku mbili tu kuharibika uso nikatoka rashes tena zinazowasha ( picha ya 2 &3 )

Hali hii ilisababishwa na kubadilisha mazingira, maana niliporudi dar ilichukua siku chache tu ngozi yangu ikawa flawless and glowy yani kioo😃 ( picha ya 4)

Wakati napitia hali hii sikupanic hata nilijua nini kimesababisha na nikafocus kuhydrate zaidi ngozi yangu ili kustrengthen my barrier.
Ndo maana nikaweza kubounce back fasta tu.

Nimeleta picha hizi ili mjifunze , wengi wenu mkipata changamoto ya ngozi mnapanic na kukimbilia kubadilisha products mnazotumia mkihisi ndo zinashida .. kujaribujaribu products mpya kipindi ngozi inareact itakusababishia reaction zaidi na damage kubwa .

Kua mvumilivu ni hali ya muda mfupi ndo maana nimesema SOMETIMES ALL YOUR SKIN NEEDS IS EXTENDED GRACE
Umeelewa sasa ? 😃

Kwa ushauri zaidi na huduma
📞0788636367

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Namaste_spa_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category